Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

ha

haya ndo maamuzi sasa ya Chama na hiki sasa ndiyo chama cha Siasa kilichokomaa kisiasa na si kidola. ni heri kukabiliana na matokeo ya mbinu chafu zozote zitakazochukuliwa na dola sababu ya uamuzi huu kuliko kuendelea kubakia na hawa wanawake. chadema mngefanya kosa kuwasamehe mngejipoteza. mmecheza karata vizur hata kama mtateseka kwa muda fulani kukosa ruzuku kidiketa ni heri mara alfu moja, kumbukeni kuwa kuliko kuwa huru ndani ya ubaguzi wa rangi na uonevu wa wachache dhidi ya wengi, mandela nelson madiba alichagua kukaa gerezani miaka 27 na alipotoka akalikomboa Taifa lake. wananchi tumewaelewa cdm na dunia imewaelewa. Hongereni Sana!! hongera sana Mhe Mwenyekiti wa Chama. Mbowe una kipaji sana vizazi vijavyo vitakukumbuka
Naunga mkono hoja yako kwa 100% bila Mbowe kuwafukuza covid 19 wanandungai leo chadema ingefariki ghafla na kuwa kama TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Mdee, Salome Makamba na Matiko tuliona clip walivyonyanyasika. Salome alifuatwa na ocd nyumbani kwake usiku akitaka kumbambikia kosa kwamba alichana picha ya mgombea urais wa ccm. Mdee alisimamishwa kampeni, Matiko tabu pia kapata hadi kutukanwa. Hawa wote ni wasomi lakini hawajitambui. Mama Kaboyoka ni mtu mzima sana kuliko wenzake wote lakini kaweka tamaa mbele pia.
 
Haya maamuzi yamenifurahisha kwa kiwango cha juu sana. Waende ccm wakapewe hiyo backup waliyoahidiwa, lakini cdm imecheza Heko kwa faida ya chama.
Naunga mkono hoja yako kwa 100% kwani bila chadema kuwafukuza ingekufa kifo cha ghafra kama UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Kuna mtu ameandika swali zuri Sana kwenye Uzi Fulani ANAOMBA USHAHIDI WA CHADEMA KUMPENDEKEZA MAHABUSU AKAWE MBUNGE PIA APATIWE BARUA YA DPP INAYOTOKA CHADEMA ILI MAHABUSU AKAWE MBUNGE hivi mapenzi haya ya CCM kwa chadema yameanza lini Yani MAHABUSU wa chadema amepewa ubunge khaaaaaa kwa huruma ipi?
 
Viongozi wa dini watu wenu mnaowaombea kila siku kwenye madhabahu ya Mungu ndio hawa wanafoji nyaraka nyeti ?
 
Walivyoenda kuapa walipata muda wa kujieleza,ccm akili zenu huwa mmezikalia
Kwani CCM ni chademaa?? Mmewaonea kwa kuwa ni wanawakeee. Maaana sababu wamezitoa na wameomba ifanyike siku nyingine maaana kiukweli mazingira hayakua salama kwao, watu walikua na hasira na Mbowe akasema mazingira yalikua salama na huku wafuasi wengi wachadema waliandamana huku wakiwashikia mabango yaliyokuwa na matusi ya kuwalinganisha na gonjwa baya la korona covid 19. Hivyo mazingira hayakua salama kwao. Kamatii kuuu ilipaswa iahishishe mpaka hapo wao walipo omba wafike mkutanoni.
 
Mdee, Salome Makamba na Matiko tuliona clip walivyonyanyasika. Salome alifuatwa na ocd nyumbani kwake usiku akitaka kumbambikia kosa kwamba alichana picha ya mgombea urais wa ccm. Mdee alisimamishwa kampeni, Matiko tabu pia kapata hadi kutukanwa. Hawa wote ni wasomi lakini hawajitambui. Mama Kaboyoka ni mtu mzima sana kuliko wenzake wote lakini kaweka tamaa mbele pia.
Njaa zao wamesahau kuwa kuna wanachama zaidi ya 400 wa chadema wapo jela kwa kesi za kubambikiwa kipindi cha kampeni wao hawajali hilo wameamua kujitoa fahamu zote kuangalia matumbo yao binafsi
 
Kwani ccm nichademaa?? Mumewaonea kwa kua niwanawakeee. Maaana sababu wamezitoa, na wameomba ifanyike sikunyingine maaana kiukweli mazingira hayakua salama kwao , watu walikua na hasira na mbowe akasema mazingira yalikua salama na huku wafuasi wengi wachadema waliandamana huku wakiwashikia mabango yaliyokuwa na matusi ya kuwalinganisha na gonjwa baya la korona covid 19. Hivyo mazingira hayakua salama kwao. Kamatii kuuu ilipaswa iahishishe mpaka hapo wao walipo omba wafike mkutanoni.
Membe mlimpa nafasi ya kujitetea,mwenyekiti alikuja na uamuzi mfukoni...kama mnauchungu nao sana wachukueni kwenye zile nafasi 10 za meko
 
Mumechemushaaaaa. Maaamuziiii yenu niyakibabeee, kuwakandamiza wanawake na kuwanyanyasaaa. Mumefanya unyanyasaji mkubwa.
Wana siku thelathini za kuomba msamaha. Ila kama wanaona wameonewa, wana siku hizo hizo thelathinu za kukata rufaa na kupeleka suala lao kwenye Baraza Kuu la chama kilichokuwa chao. Aidha, wanaweza kwenda Mahakamani kukishitaki chama kilichokuwa chao kwa kutowatendea haki. Mahakama inaweza kutoa zuio ambalo litadumu kwa miaka mitano. Njia rahisi katika zote ni kumsikiliza Spika atakachosema na kujiunga na wakina Silinde na Mollel bungeni kutetea wananchi wa taifa letu la Tanzania. Baada ya miaka mitano wataweza kuwafuata wenzao rasmi kwenye chama cha Spika.

Amandla...
 
Kuna mtu ameandika swali zuri Sana kwenye Uzi Fulani ANAOMBA USHAHIDI WA CHADEMA KUMPENDEKEZA MAHABUSU AKAWE MBUNGE PIA APATIWE BARUA YA DPP INAYOTOKA CHADEMA ILI MAHABUSU AKAWE MBUNGE hivi mapenzi haya ya CCM kwa chadema yameanza lini Yani MAHABUSU wa chadema amepewa ubunge khaaaaaa kwa huruma ipi?
Hili swala la Nusrat Hanje, milele DPP Biswalo hawezi kuliongelea, ni kitendo cha ajabu kupita maelezo.
 
Kwani ccm nichademaa?? Mumewaonea kwa kua niwanawakeee. Maaana sababu wamezitoa, na wameomba ifanyike sikunyingine maaana kiukweli mazingira hayakua salama kwao , watu walikua na hasira na mbowe akasema mazingira yalikua salama na huku wafuasi wengi wachadema waliandamana huku wakiwashikia mabango yaliyokuwa na matusi ya kuwalinganisha na gonjwa baya la korona covid 19. Hivyo mazingira hayakua salama kwao. Kamatii kuuu ilipaswa iahishishe mpaka hapo wao walipo omba wafike mkutanoni.
Kitendo cha kuitwa covid 19 maana yake hawakutenda vitendo vizuri kwenda kuiba nyaraka kughushi kujiteua ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku wanachama wa chadema wapo jela kwa kesi za kubambikiwa kipindi cha kampeni ndicho kimepelekea watanzania kuwachukia wakike 19 wanandungai kwa kipimo cha kutisha mno, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kabsa anaweza kukaa kuwatetea akina mdee waganga njaa pasipo kujali wanachama wanaoteseka magerezaccm kwa kuwatetea wao
 
Jumatatu Wataenda High Court
Halafu Ndugai Atawakumbatia Mpaka 5 Years
hahahahaha halafu hata wakitembea barabaranimbuzi akisema meeeee wataona anwazomea..kwa kifupi kama lengo la hawa kuwepo pale ni kuonyesha kwamba hii nchi ni ya vyama vingi ya kidemokrasia tayari lengo limefeli hata wakipewa u naibu waziri ili wawe safe side wahamamie tu ccm wakaseme ccm oyee
 
Kitendo cha kuitwa covid 19 maana yake hawakutenda vitendo vizuri kwenda kuiba nyaraka kughushi kujiteua ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku wanachama wa chadema wapo jela kwa kesi za kubambikiwa kipindi cha kampeni ndicho kimepelekea watanzania kuwachukia wakike 19 wanandungai kwa kipimo cha kutisha mno, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu kabsa anaweza kukaa kuwatetea akina mdee waganga njaa pasipo kujali wanachama wanaoteseka magerezaccm kwa kuwatetea wao
Huelewiii chochote. Hata maada hujasoma ukaelewaaaa.
 
Back
Top Bottom