Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -;
Ndo imeishia hapo?
 
Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka” -;
Hawana haja na uongozi, haha yao NI ubunge na uanachama. Kama mmewavua uongozi na mmewaacha ni wanachama wanauwezo wa kugombea Tena.
Njaa mbaya.
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Jumatatu Wiki ijayo wataenda Kuyapinga Maamuzi haya Mahakamani tena kwa Hoja kabisa ambapo kwakuwa wana Legal Guru kama Halima Mdee haya Maamuzi yao yatatenguliwa. Kesi yao ( Shauri lao ) ikiwa inaendelea ( linaendelea ) bado watatambulika kuwa ni Wabunge ambapo huenda sasa Kesi yao ikawa inarushwarushwa tarehe za mbali ambapo Hukumu yao ya mwisho itatolewa Oktoba 2025. CHADEMA mmejimaliza Wenyewe.
Wamevuliwa uongozi.. lakini ni wanachama.. well played. :)
 
Mjinga wewe mwenye bakuli huyo mlevi, nyumbu mmeambiwa na mwenye saccos hawawatambui hao covid 19.
Hayo maamuzi kwa ajili ya nyumbu tu HAKUNA adhabu yoyote.
Halafu mtatapatapa kwa kushangilia mr dj zero kwa kusema tu hawawatambui!
Nyumbu walitegemea Dj atawafukuza kumbe Dj kabadili biti tu ila cd ni ile ile
 
Kuendekeza uvunjaji wa sheria, kanuni na taratibu tulijiwekea kama nchi ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa letu. Nchi yoyote hujiita Taifa kwa sababu ya sheria na kanuni mbali mbali. Ni sheria hizo huweka umma katika utulivu( public order). Bila public order, hata mwenye nguvu hushindwa kutawala.
Mimi nashauri tusiendekeze sana uvunjaji wa taratibu zinazoleta order yoyote iwe ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni au kijamii.
Wanasiasa wetu waache kufikiria haki ya sasa tu. Nchi ipo hata kesho na kesho kutwa.
Figisu za kisiasa zaweza kufanyika bila uvunjaji wa national order and arrangements.
 
-"Kamati kuu imewavua nyadhifa zao zote ndani ya chama na kuanzia sasa wasijihusishe kwa namna yoyote na masuala ya chama. Wako waliokuwa viongozi Bawacha na wengine Bavicha. Kamati tendaji za mabaraza hayo zikutane kujaza nafasi hizo-; Mbowe
 
-"Kamati Kuu imeazimia kuwavua uanachama wake wote 19 wakiongozwa na Halima Mdee , walioapa kule Dodoma.-Mbowe
 
Mbowe hana uwezo wakuwafukuza bado ana hitaji ruzuku zao.
Alichokifanya Mbowe ni kunawa uso wakati miguu inamatope then akapanda kitandani akalala
Hii kali.. Imebidi niwe makini kucheka maana mbavu hazina spare.
 
#BREAKING:Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua Wanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge wa Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu”
 
Back
Top Bottom