Hivi kwa nini makampuni mengi ya kuagiza magari hawana ofisi jiji la Mwanza?

Ni Dar, Arusha, Dodoma.

Last time I checked ilikuwa ni Beforward pekee!
Nyie mnaamini usafiri wa baiskeli
 
IFAHAM MITSUBISHI PAJERO (1999-2006)

Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Utangulizi
Iliundwa kati ya mwaka 1999 mpaka 2006 na katika mataifa mengine inafahamika kama Mitsubishi Montero au Mitsubishi shogun ikiwa imeboreshwa zaidi kwenye chasis inayoifanya itulie zaidi barabarani.

Injini
Diesel: Cc 2800 na nyingine ina Cc 3200. Inayopatikana zaidi ni ya Cc 3200 ikiweza kwenda mpaka km 11 kwa lita.

Petrol: kuna ya Cc 3000 na Cc 3500, inayoshauriwa zaidi ni ya Cc 3000 sababu ya matumizi ya afadhari ya mafuta ya kiasi cha mpaka kilomita 8 kwa lita.

Vifaa
Vinapatikana zaidi katika miji ya Mwanza, Arusha na Dar es Salaam kwa gharama za juu kiasi ingawa uzuri ni kwamba vifaa vyake vinadumu mda mrefu

Utulivu na Uimara
Katika mwendo mkali gari imetulia sana, kinachoisaidia zaidi ni mgawanyo mzuri wa uzito baada ya tanki lake kuwekwa kati kati na pia kuchanua kwa tairi za nyuma kunaokoongeza balance.

Katika Vumbi pia inafanya vizuri haswa kwa kua ipo juu juu na muundo wake chini unaiwezesha kukimbia haswa ikiwa na mzigo ndani.

Maoni/ Ushauri
Kutegemea na bajeti ya mteja, kama itakuruhusu tunashauri zaidi upate ya Diesel sababu ya kudum kwake, matumizi mazuri ya mafuta na kutengenezeka kirahisi. Ikiwa bajeti inaruhusu kupata ya petrol basi ni vizuri upate ya Cc 3000 ili kupunguza matumizi ya mafuta

Gharama
Gari ya Diesel inagharim kati ya 26m mpaka 28m wakati ya Petrol hugharim kati ya 20m mpaka 22m

Mawasiliano
0746 267740 au 0719 989 222 au fika ofisi zetu za Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya au Dar- Magomeni Mapipa

BH670502_1a5d79.jpg
BH670502_e0081f.jpg
BH670502_318d3e.jpg
BH670502_df1cfa.jpg
BH670502_293f6e.jpg
BH670502_706f45.jpg
BH670502_c2567d.jpg
BH670502_79c8b6.jpg
BH890226_f9241d.JPG
BH890226_95f177.JPG
BH670502_2901de.jpg
 
Mitsubishi sijawahi kuwakubali kwa gari ndogo hasa SUV. Nadhani ndio maana gari zao ni bei rahisi
 
Maelezo na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari

Gari pichani inafaa zaidi kwa kazi za Tours, Safari ndefu haswa milimani na Safari za wastani sababu inakimbia sana ikisaidiwa na hiyo Turbo.

Ina injini ya 1HD-T Cc 4200. Air Suspension na Kilomita 60,000 tu.

Gharama zote ni 43,000,000. Malipo ya awali 25,000,000

Tembelea ofisi zetu za Dar- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya

Zaidi piga 0746 267740 au 0719 989 222

20210416_125427.jpg
20210416_125437.jpg
20210416_125449.jpg


20210416_125510.jpg
 
Maelezo na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari


Gari pichani inafaa zaidi kwa kazi za Tours, Safari ndefu haswa milimani na Safari za wastani sababu inakimbia sana ikisaidiwa na hiyo Turbo.


Ina injini ya 1HD-T Cc 4200. Air Suspension na Kilomita 60,000 tu.


Gharama zote ni 43,000,000. Malipo ya awali 25,000,000


Tembelea ofisi zetu za Dar- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya


Zaidi piga 0746 267740 au 0719 989 222

PhotoGrid_Plus_1618567106411.jpg
20210416_125427.jpg
20210416_125437.jpg
20210416_125449.jpg
20210416_125510.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom