Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,820
- 4,573
Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo.
Upi utabiri wako wa mechi hiyo?
===========
Timu ya taifa ya #Tanzania ‘TaifaStars’ inatarajiwa kuanza ushiriki wake wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2023) kwa kukipiga dhidi ya Morocco katika mchezo wa Kundi F, leo Januari 17, 2024.
Baada ya mechi ya Morocco, Tanzania inayonolewa na Kocha Adel Amrouche inatarajiwa kukutana na Zambia (Januari 21, 2024) kisha dhidi ya DR Congo (Januari 24, 2024).
Jikumbushe historia ya mechi zilizopita baina ya wababe hao wawili; Tanzania 0-2 Morocco (2023), Morocco 2-1 Tanzania (2013), Tanzania 3-1 Morocco (2013), Morocco 3-1 Tanzania (2011), Tanzania 0-1 Morocco (2010).
22' Himidi Mao anaoneshwa kadi ya njano.
Dakika ya 29 Morocco 0 - 0
Dakika ya 30 Morocco wanapata goli la kwanza.
31' Novatus anaoneshwa kadi ya njano.
Dakika ya 33 Morocco 1 -0 Tanzania
Dakika 38 anatoka Tarryn anaingia Msuva.
HT: Morocco 1 - 0 Tanzania
46' Anaingia Morice Abraham anatoka Mudathir
70' Novatus Dismas anaoneshwa kadi ya njano ya pili
77' Gooooooal Ounachi: Tanzania 0 - 2 Morocco
80' Goooal El Nesry: Tanzania 0 - 3 Morocco.
FT: Tanzania 0 - 3 Morocco