hata mamayako ni mhuni tu ndiyo maana ukazaliwa kwenye choo cha barMhuni ni babako
hata mamayako ni mhuni tu ndiyo maana ukazaliwa kwenye choo cha barMhuni ni babako
Tatizo tulizoea siasa za ulaghai
Amekuja Mzalendo Magufuli yeye ni kutenda sio kuongea!
Mtakuja kuelewa kwamba Magufuli Ni jiniasi mkiwa mmeshasambaratika
Badilisheni aina ya siasa, Magufuli is there for more years to come
Nakuhakikishia magufuli haendele 2020,kuna mambo mawili tu.
1. Atashindwa uchaguzi na akubali awe salama.
2.Atashindwa uchaguzi akatae ni kifo
Tabia ya kususa ni sawa na ile ya wizi kulingana na wataalumu wa psychology inakua kama mimba chadema hawakuanza kususia Leo
Nilifikiri nia yenu ni kushinda kwa njia yeyote ile mpate ushindi wa kishindo. Sasa mpinzani wenu mkuu kajitoa, mnalalamika nini? Nilitarajia kusikia vigelegele na mwimbo wetu ule wa CCM mbele kwa mbele.Mbowe amezungukwa na washauri wabaya
toka dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Mkuh mimi nakuelewa vzr sana,shida ni mkuu yule kukuelewa hiki usemacho ndio shughuli.
CHADEMA kama chama kikubwa cha siasa, nategemea wawe na viongozi wao na wanachama huko huko mitaani. Hawa ndio askari wa kutegemewa kuikomboa nchi.Kumbuka ni marufuku kwa watoto wa kambo kushiriki mchezo wa "kombolela" sasa watachezaje na wenzao?