Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,093
what happens kama hawatambuliwi. nini hakiendi kwa mfano?Hadi sasa hawatambuliwi
what happens kama hawatambuliwi. nini hakiendi kwa mfano?Hadi sasa hawatambuliwi
Mkuh mimi nakuelewa vzr sana,shida ni mkuu yule kukuelewa hiki usemacho ndio shughuli.Hawapaswi kunyamaza
Waende beyond hata kuwa na vikao vya kumpika
Ukifika zimbabwe miundombinu ni mizuri sana lakini mwisho wake mmeuona wote.
Tukubali kwamba still tunatawaliwa as africa bado hatujawa tangible kujitawala kwa mambo mengi
Sasa tusifike huko tukarudishwa nyuma
naNi kichaa tu ndiyo anaweza kushiriki uchaguzi huu wa kihuni
Kwahiyo unataka kutuaminisha kwàmba mwaka huu ndio uchaguzi wa kwanza wa serikali za mitaa kwa vyama vya upinzani kushiriki?na
Ukweli na kwamba ingawa kumekuwa na baadhi ya watendaji kujiingiza kwenye kile kinachoonekana kama ushabiki wa kisiasa wagombea wa upinzani wamekuwa hawana muelekeo na matokeo yake ni kukosa haki yao.
Kwa upande mwingine, vyama vya upinzani hawana base kubwa kwenye mashina na hata hivyo mashina yao siyo mengi kushindana na yale ya chama tawala. Mimi nilidhani kuwa upinzani ungekuwa na mpango mkakati wa kumekuwa na usaidizi mdogo kwa wagombea wao kwenye kujaza hizo fomu.
Kuna kesi moja niliona ambapo kwenye fomu ya kugombea wa chama fulani, kwenye wadhamini wake kuna wengine wametanguliza jina la pili na mwengine ameweka jina moja rasmi na jingine la utani[ambalo ni maarufu]. Kwenye hali kama hii, wakulaumiwa na pande zote na ninadhani kipindi hiki cha rufaa wakitumie kurekebisha dosari hizo kwa msaada wa viongozi wao vinginevyo upepo wa kisulisuli unaweza kuwakumba vibaya sana. Suala la kususa halisaidii kwani chakula hakiwezi kuachwa mezani kikidoda ni lazima kitapata walaji. Asitokee mmoja wetu akalia njaa baadaye.
Endelea kukamua makamasi. Baada ya uchaguzi uliopita niliwatahadharisha kwamba bila ya umoja wenu na kuwa na genuine and practical SP hamuwezi ku-sustain level ya ushindi kwa sababu JPM ameenda chini kwa wananchi tangu day one sana sana mlinibeza. Maandamano siyo tija na kwa hivi sasa mmechelewa kwani kuna migongano ndani ya vyama na vile vile hakuna umoja kati ya vyama pinzani and for sure there is no way mkapata kura kama mlivyopata miaka 4 iliyopita.Kwahiyo unataka kutuaminisha kwàmba mwaka huu ndio uchaguzi wa kwanza wa serikali za mitaa kwa vyama vya upinzani kushiriki?
Hivi humo kichwani umejaa makamasi?
Jaffo tusimlaumu jaman mbona ni kiongozi mzuri tu kilichomponza nape wataka kimkute na jaffo???mwache alinde kibarua ana familia yamtegemeaMajuzi niliandika uzi nikisema kuwa sitapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ya majibu mepesi ya viongozi husika hasa Mr. Suleiman Jafo. Haiwezekani uhuni utendeke nchi mzima na kiongozi hakemei wala kufuta zoezi zima badala yake anasema ni RAFU ZA KISIASA na kwamba tuchukulie poa tu.
Jana CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimesusia uchaguzi na Jafo anaibuka na kuongea mambo mepesi mpaka unaanza kujiuliza kuwa huyu mtu alipimwa IQ yake kabla hajapewa cheo kikubwa namna ile?
Ndio njaa ya madaraka na fedha ndio vinamfanya autupe utu mbali kabisa na kuanza kutimiza matakwa ya aliyemtuma.
Mr. Suleiman Jafo historia haidanganyi, utadharaulika mpaka siku utaingia kaburini. Sasa una jambo moja tu la kufanya ili kuendelea kuiimarisha heshima yako kwa watanzania(si kwa viongozi).
Mimi nilijitoa mapemaa kwa kutojiandikisha!
Endelea kukamua makamasi. Baada ya uchaguzi uliopita niliwatahadharisha kwamba bila ya umoja wenu na kuwa na genuine and practical SP hamuwezi ku-sustain level ya ushindi kwa sababu JPM ameenda chini kwa wananchi tangu day one sana sana mlinibeza. Maandamano siyo tija na kwa hivi sasa mmechelewa kwani kuna migongano ndani ya vyama na vile vile hakuna umoja kati ya vyama pinzani and for sure there is no way mkapata kura kama mlivyopata miaka 4 iliyopita.
Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
Hatupo china na mwalimu hayupo. Hutaki acha.Acha unafiki sasa
Ndio maana nikawauliza kuhusu hilo.Hawaaminiki Hawa. Walisema hawamtambui Magufuli, hatuoni muendelezo. Bungeni ndio kila siku wanatoka nje Ila hatuoni matokeo chanya.
Nimesema Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa.Mhuri si mali ya Mwenyekiti wa ccm