Utingo
Reaction score
473

Profile posts Latest activity Postings About

  • Asante sana Brother Utingo kwa taarifa hiyo. Mimi kwa sasa ninafanya Ph. D. mada ikiwa "Approaches to the translation studies in Tanzania: Curriculum Design for the training of professional translators". Ninatafuta wafasiri ili niweze kuwapitishia questionnaire. Nitafurahi ikiwa utanisaidia na ikiwa unawaelewa wafasiri wengine naomba uniunganishe nao.
    Jengine ni kuwa unaweza kuangalia kazi za tafsiri kwenye mitandao yawww. translatorsCafe na www. Proz.Com, hasa katika hiyo ya mwanzo. Kila la heri na Asante sana.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top