CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Nakuhakikishia magufuli haendele 2020,kuna mambo mawili tu.
1. Atashindwa uchaguzi na akubali awe salama.
2.Atashindwa uchaguzi akatae ni kifo
Tatizo tulizoea siasa za ulaghai

Amekuja Mzalendo Magufuli yeye ni kutenda sio kuongea!

Mtakuja kuelewa kwamba Magufuli Ni jiniasi mkiwa mmeshasambaratika

Badilisheni aina ya siasa, Magufuli is there for more years to come
 
Hahaha kijana kabla hujachangia mjadala hakikisha umeshiba

Hivi vicoment vyako utavikataa kesho tu
Nakuhakikishia magufuli haendele 2020,kuna mambo mawili tu.
1. Atashindwa uchaguzi na akubali awe salama.
2.Atashindwa uchaguzi akatae ni kifo
 
Mnasemaga ohh upinzani uko mitandaoni tu..huko vijijini wanampenda sana magu na serikali lake...looh!poleni...leo asbh niko kw usafiri nikakuta hizi stry wanamjadili mzee mmoja huko chato naskia alijifanya kuwa upinzani kindaki ndaki..jana kakamatwa na kusomewa makosa zaid ya 28!endeleen kujidanganya kuwa upinzan uko jf tu!watu wamemchoka sana Magufuli...!
 
Katiba iheshimiwe..
20190511_163943.jpeg
 
Tabia ya kususa ni sawa na ile ya wizi kulingana na wataalumu wa psychology inakua kama mimba chadema hawakuanza kususia Leo
Mbowe amezungukwa na washauri wabaya
toka dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
Nilifikiri nia yenu ni kushinda kwa njia yeyote ile mpate ushindi wa kishindo. Sasa mpinzani wenu mkuu kajitoa, mnalalamika nini? Nilitarajia kusikia vigelegele na mwimbo wetu ule wa CCM mbele kwa mbele.
 
Hii move imeongeza sana excitement kwenye hili game.
Wapinzani endeleeni kujifunza kucheza chess. Huenda siku za usoni mkaweza kum-checkmate petro.
 
CDM wapo makini sana; kwa mfano wangetangaza tu kwamba kila mwanachadema apambanie haki yake..aisee damu ingemwagika sana.
Ni busara tu imetumika kuwaacha wachaguane wee hadi wachoke.... kwanza uchaguzi wenyewe ushachacha tiari.....nakwambia siku ya uchaguzi wale wapigishaji kura watashida wanasinzia..nani akapoteze muda wake kujipanga mifoleni, kheri nihangaikia ugali wa wanangu.
 
"Nina taarifa kuna chama kimejitoa, ni imani yangu chama hicho kinaweza kuwa na mipango ya kuvuruga amani ya nchi hii, nitoe onyo hakutakuwa na nafasi ya chama cha siasa kuratibu kuvuruga amani, Serikali tumejipanga kutumia nguvu hakuna amani inavurugwa"- Waziri Kangi Lugola
 
Mkuh mimi nakuelewa vzr sana,shida ni mkuu yule kukuelewa hiki usemacho ndio shughuli.

Mimi nadhani hana uwezo wa kushinda watangulizi wake. Tanzania hii sio nyepesi kama mtu anavyodhani labda kama watu hawasomi historia.
Tanzania hii inaogopeka na watu wengi sana kaa usalama wake pia kaa siasa za kistaarabu.

Wazee wanapaswa kabisa kutoka mafichoni
Katibu mkuu wa chama
Mwenyekiti wa chama
Na wazee watangulizi wake.
Ukiona moshi unafukuta tambua chini kuna moto.

Watu wanaweza wakanyamaza kimya sana lakini watamfanya aishi kwa hofu zaidi na kujutia.

Tunaomashauri haya kwanza tunamtakia yeye mwenyewe amani ya moyoni.
 
Kumbuka ni marufuku kwa watoto wa kambo kushiriki mchezo wa "kombolela" sasa watachezaje na wenzao?
CHADEMA kama chama kikubwa cha siasa, nategemea wawe na viongozi wao na wanachama huko huko mitaani. Hawa ndio askari wa kutegemewa kuikomboa nchi.

Hao viongozi waliopo makao makuu ya chama na mikoana/wilayani ndio wanaotakiwa kusimamia zoezi la ukombozi kwa kuwa na mipango thabiti ya kuelekeza mapambano sehemu zote nchini.

Ni swala la kuwa na mpangilio mzuri tu wa kazi.
 
Back
Top Bottom