CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Jamani jamani kweli nimeamini ujinga ni mzigo yaani chama cha wasomi kama chadema hamjui kama malalamiko ya uchaguzi wa serikali za mitaa mpeleke kwenye mamlaka gani??? Kweli mnatia hurumaaa
Kwani hapo ni malalamiko au ni majibu yamejibiwa kulingana na barua iliyopokelewa yenye hiyo anuani?
 
Hawa CCM wana leta mambo ya darasa la pili, kuibia wenzao penseli na kusiaidia kuitafauta eeeh?! WAKOME... #
 
manung'uniko ni makubwa sana kwa wagombea wao maana kuna baadhi ya wagombea wamewekeza vitu vingi sana kwa ajiri ya uchaguzi alafu wewe mwisho wa siku unatangaza kujitoa. kama inawezekana chama irudishe gharama za wagombea wake
 
Back
Top Bottom