Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
We ndugu yetu, sijui ulinyimwa teuzi, siyo wewe ulikuwa ukimpinga sana Magufuli hapa, imekuwaje tena?Bimkumbwa wenu angekuwa magu sasa hivi ingekuwa tunaserereka tu
We ndugu yetu, sijui ulinyimwa teuzi, siyo wewe ulikuwa ukimpinga sana Magufuli hapa, imekuwaje tena?Bimkumbwa wenu angekuwa magu sasa hivi ingekuwa tunaserereka tu
Yoyote anapingw tu pale ambapo inaonekana hajaperfom, miaka ya mwisho bimkumbwa kajisahai ni kama Kila kitu kimesimama. Naiona Zanzibar ikikufa sanaWe ndugu yetu, sijui ulinyimwa teuzi, siyo wewe ulikuwa ukimpinga sana Magufuli hapa, imekuwaje tena?
Hapa kweli "mmejaribu" nawapa kongole mashemeji zetu ila ukome kuita watu wachawi.Mtaendelea kushangaa., mlianza na expressway tulipo leta renders, ikakamilika kwa haraka sana., mkanena Talanta pia haitajengwa , sasa mnasema eti SGR to Malaba ni ndoto, nakuhakikishia itakamilika kabla ya yenu.,
A case study👇👇🤣🔥🔥
View attachment 3358443
Mbona mi naona ZnZ kama imezidi kuchanua? Angalia ndege zinazo tua pale, flyovers na mpango wa kujenga reli.Yoyote anapingw tu pale ambapo inaonekana hajaperfom, miaka ya mwisho bimkumbwa kajisahai ni kama Kila kitu kimesimama. Naiona Zanzibar ikikufa sana
Ndio inapendezeshwa huku bara karibia miradi mingi imesimama. Mfano ni sgr ilikuwa karibia mwaka imesimama wakat den lilikuwa linaongezekaMbona mi naona ZnZ kama imezidi kuchanua? Angalia ndege zinzo tua pale, flyovers na moago wa kujenga reli.
Ndo maana Jussa amekuwa kimya siku huzi.Ndio inapendezeshwa huku bara karibia miradi mingi imesimama. Mfano ni sgr ilikuwa karibia mwaka imesimama wakat den lilikuwa linaongezeka
Apts in Nairobi will have you second guessing
View: https://www.instagram.com/reel/DKJbi6CIEB0/?igsh=MWQ3ZWh5NXJmdWMwOA==
View: https://www.instagram.com/reel/DKhmI46IcPL/?igsh=NXQ2cGVyOGw2MTkz
View: https://www.instagram.com/reel/DJjUifJojI-/?igsh=dW5raXFjZnVhMjVx
View: https://www.instagram.com/reel/DJE1JOYIVZj/?igsh=bjN6MW1lbDdpYmt0
View: https://www.instagram.com/reel/DI9bBQBo3JG/?igsh=azl5Zm4yY3FpYWdm
View: https://www.instagram.com/reel/DJBLyGaokB9/?igsh=MWVtZDRzYmN3amd4aA==
View: https://www.instagram.com/reel/DI6B9dkoLWP/?igsh=cHR5ZWtzeHdvODl1
View: https://www.instagram.com/reel/DIZDgC8oZl7/?igsh=MXc3ZXc4MGYyNHhpOQ==
Speed imeongezeka kidogo hata ukiangalia idadi ya vyuma vya reli vinavodafirishwa kwa mgr vimekuwa vingi tofauti na miez sita ya nyumaKusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035
Kenyan sgr imeanza ujenzi 2013 ,huu sasa ni mwaka 11 ila mpaka sasa hamjafanikiwa hata kufika malaba, mpaka sasa kwa miaka 10 mmejenga less than 600kms na mmeshindwa hata ujenzi wa km300+ zilizobakia.Matumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,
Shule kwenu ngumu🤣🤣😞😞, hapo umewekewa sample tu ya bajeti ya wizara mbili tu ambazo development expenditure ni more than 90% ya total bajeti wizara ambayo Ina recurrent expenditure ya above 50% ni hiyo wizara ya fedha ambapo 14trilion ni kwa ajili ya kulipa madeni tu huku dev ikifanywa na wizara nyingine.Kwa hivyo unacompare Ksh 3 Trillion na Tsh 3 Trillion. Sasa ona shida ya kua primary school dropout.
yani hata mwendawazimu hawezi kuwaza upumbavu huo yani ndani ya miaka miwili ambayo economy yao inasuasua wameweza kuongeza mizigo 10tons tena wanashangilia kabisa uwongo wanaodanganywa na politicians wao😂😂Ukweli wanaujua. Angalia hata sasa ships in port na expected ships.
Ask yourself why do kenyans still envy on Tanzania pamoja na kuwa papers zinasema GDP is $131b and last year waliongeza $29b kwenye GDP.
Ukweli wanaujua wenyew kwa ground. Mkenya yeyote mwenye akili anajua the truth na huwezi mkuta mitandaoni anakuwa narcissistic kama wakenya mbulula walio wengi
yani tumechelewa sana na sijui kwann serekali hua inasubiri population ishakua kubwa ndio wanaanza kufikiria jambo kama hilo ile njia ya kutoka ubungo kwenda mbezi mwisho ilitakia iwe imepanulia na iko ready hata miaka 5 iliopita sio tunaanza ujenze hvi karibuni wakat tayar population iko kwenye kooNdo tuboreshe sasa road au metro system maana population inazidi kuwa kubwa by 2028 atleast wawe wameanza li develop metro rail
alaf ajabu mashamba yote ni mali ya wazungu mpaka leo ndio kitu yakushangaza dunia hii😂😂😂Don’t waste your time showing to Kenya anything tea related, especially hako ka nyumba kake kadogo … come to Kenya and see tea millionaires . They are all over the highlands.
View attachment 3357523
Bila Lamu Port Dar Port will collapse pangla punglu.
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1930933481959215474
Upuuzi mtupu.Mkome kwa kupinga mambo tunayo waambia tutafanya, kwa vile tunasema na kutenda.., haukuelewa what was on the table, umedandia train kwa mbele kilaza🤣🤣🤣🤣🤣.,
alaf fundi maico ndio alikua fundi welder akisaidiwa na fundi kalonzo musyoka😂😂Mwenyekiti, Hili ni Kopo la kimbo la Wakundustan? 😂 , Square pipes na angle pipes 😂
biggest and modern mosque 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View: https://www.instagram.com/reel/DKg2n2Ot0C0/?igsh=dzJueGRlMjBuMjBz
Kwahiyo sasa mradi mnaojivunia sasa kenya nzima ni AHP???Unajua ni ukweli, vumilia mtapata nafuu siku moja. ,
Kutoka vijijini hadi miji.., tunaona massive transformation happening ya housing kwa mfano..,
Tokea Bomet hadi Ruiru..., etc.,
View attachment 3358343
View attachment 3358344
View attachment 3358363
View attachment 3358352
View attachment 3358350
View attachment 3358345
View attachment 3358348
View attachment 3358347
View attachment 3358342
View attachment 3358346
View attachment 3358341
View attachment 3358340
View attachment 3358339
View attachment 3358338
View attachment 3358360
View attachment 3358361
View attachment 3358362
Sijaweka ujenzi wa Kibera, Nakuru, Nanyuki, Eldoret West area, Mombasa, Kakamega.., ushuru ni wetu nyumba ziko Kenya., miradi ni ya Kenya, irrigation amefaulu sana!!., sijui mtauzia nani mazao yenu!