Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,701
- 107,136
You are right kuhusu Biashara , lakini pia Mainland esp coastoal areas kama Dar investement sio kubwa sana kwenye tourism sijui ni kwanini , mainland esp Dar has good beaches of course sidhani kama imezidi Zanzibar but i know Dar should some how rival Znz kwa tourisim and we are not doing it. Ni kama imeachwa commercial cityHii maneno ya biashara ndio inaweza kui-keep Dar alive kumbuka tangu serikali ihamie Dodoma jiji limekuwa stagnant na siku uwanja wa ndege wa Msalato unafunguliwa hata JNIA airport routes zitakuwa affected!
Utakojoa wewe heb amka 🤣🤣🤣Great question, so much Bongo ignorance at work.
Malindi and kilifi county alone have more luxury apartments than all of Tanzania . Hata Nanyuki Ziko, rented to British Army and other foreigners.
BasicNairobi ICD Road
![]()
Ukweli wanaujua. Angalia hata sasa ships in port na expected ships.who is timothy? is this ur official source yani in 2 yrs increase of 10m hahaha na wewe inakuingia akilini kabisa 😂😂😂😂
ila wakenya akili zenu ni matope ndio maana munaendeshwa na politician kwa ajili ya uwongo ambao hata akilini hauingii
Huwez kuwa na makusanyo ya 21tr ksh halafu akawa na 19.5 trilio ksh . Ila uwe umemzid uchumi kwa mara mbili , kwa scenario hiyo economic activities zako ambazo ndo source ya Kodi inayotokana na uzalishaji ( total production ) haiendani na hali halisi.Ukweli wanaujua. Angalia hata sasa ships in port na expected ships.
Ask yourself why do kenyans still envy on Tanzania pamoja na kuwa papers zinasema GDP is $131b and last year waliongeza $29b kwenye GDP.
Ukweli wanaujua wenyew kwa ground. Mkenya yeyote mwenye akili anajua the truth na huwezi mkuta mitandaoni anakuwa narcissistic kama wakenya mbulula walio wengi
Namba tu za kupika. 🤣🤣🤣Huwez kuwa na makusanyo ya 21tr ksh halafu akawa na 19.5 trilio ksh . Ila uwe umemzid uchumi kwa mara mbili , kwa scenario hiyo economic activities zako ambazo ndo source ya Kodi inayotokana na uzalishaji ( total production ) haiendani na hali halisi.
Kenya Ina GDP itakuwa 130 huku Tanzania itakuwa na 85bil. Sasa huo uzalishaji usioendana na makusanyo unatokana na Nini?
Leo nilikuwa city moja hivi, marafiki zangu Senegalese, Ethiopians wenye maduka mengi ya nguo na viatu South Africa waliomba sana msaada wa taarifa wakidai kwa sasa watu hawaendi China kustock kwakua bei ya flight ni kubwa na ni gharama sana na wengi wa Senegalese hapo Johqannesburg wanaenda Tanzania.
Nilishangaa sana, but I was very proud!
Hii ni habari njema sana, we are winning. Lets keep on pushing!
Marcelly Chamoto The best 007 Mkaruka Wordsworth Kosugi coodip1 AMARII NairobiWalker Nicxie babayao255 Sama boy 255 Teargass nairobae Mgagaa na Upwa Magonjwa Mtambuka Fundi kitasa Don Y chongchung game over Fundi kitasa ichoboy01 Lewis254 IamLee concordile 101 Reborn Ktb NDINDA
Poor planning Kigamboni had serious potentials kama ule mradi wa Tibaijuka ungetekelezwa!You are right kuhusu Biashara , lakini pia Mainland esp coastoal areas kama Dar investement sio kubwa sana kwenye tourism sijui ni kwanini , mainland esp Dar has good beaches of course sidhani kama imezidi Zanzibar but i know Dar should some how rival Znz kwa tourisim and we are not doing it. Ni kama imeachwa commercial city
Kuhusu Msalato i beg to differ , it will not rival Dar(JNIA) even in next 50years .
Alot of flights to Dar sio hata goverement personell , i think business men fill most sits kwenye Emirates, Qatar , KLM , Turkish
Hii si kweli.Hii maneno ya biashara ndio inaweza kui-keep Dar alive kumbuka tangu serikali ihamie Dodoma jiji limekuwa stagnant na siku uwanja wa ndege wa Msalato unafunguliwa hata JNIA airport routes zitakuwa affected!
Binafsi siyo muumini wa miradi ya aina ile.Poor planning Kigamboni had serious potentials kama ule mradi wa Tibaijuka ungetekelezwa!
Kigamboni tulichemsha sana, ni ni bounge la pitential.Poor planning Kigamboni had serious potentials kama ule mradi wa Tibaijuka ungetekelezwa!
Ona hawa mbwa wanavyojidanganya huko.....yani mtu anapost uongo kuhusu Tanzania 🇹🇿 sijui ili apate nini...au ile gap ya $3 T kwenye bajeti zetu mwaka huu ndo zinawaumiza??
Inchi inajigamba GDP yao ni dabo na yetu ila bajeti tofauti ni $3 T🤣🤣. Kwa mwendo huu tunaweza kuwashinda kwa bajeti mwakani tu!! Waache waemdelee kula hiyo jiidiipii yao.....🤣🤣
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1930527581482463432?t=vTCF-hay5guXyADWuYKH5A&s=19
Soon tu.IMF tayari wameshaanza kuwaambia kuwa value ya hela yao ni overrated. Hii JeeDEEpee itashuka kama Nigeria walivyotoka from $500B to $100B ndio tatizo ya hivi viikonomi uchwara.
View attachment 3357123