concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Umewekewa mpaka attachment hapo, Tena full budget umeshindwaRefer back., ama leta ya Tanzania top 10 kama ulivyo leta list ya Kenya ujionee , kazi rahisi..,
Umewekewa mpaka attachment hapo, Tena full budget umeshindwaRefer back., ama leta ya Tanzania top 10 kama ulivyo leta list ya Kenya ujionee , kazi rahisi..,
Zaidi ya mwaka mmoja uliopita mradi ulikua 54% mwaka huu 63 % sijui huu ndio umefika hapo sijui umenielewa broo na mwaka huu bajeti ishatoka63% last 3 months report.
Population?.., ama unaona jina county unadhani ni kiashiria ya idadi na ukubwa wa uchumi?.., Nakuru county's GDP is bigger than Burundi's GDP., Burundi ni nchi sio Jimbo, so nikitumia hizi fikra zako nikishangaa GDP ya Burundi inakuaje kidogo kuliko ya counties kadhaa(nikilinganisha na Kenya) nitakua mpumbavu..,Hivi inakuwaje county nzima ikawa na osr ya 713,000 usd /year
Uongo wangu huko wapiJitahidi kuwa unasoma habari na kutembelea miradi. Achana emotions
Mkome kwa kupinga mambo tunayo waambia tutafanya, kwa vile tunasema na kutenda.., haukuelewa what was on the table, umedandia train kwa mbele kilaza🤣🤣🤣🤣🤣.,Tukome wapi wakati na sisi tunajenga Samia stadium Arusha?😂
Uliza wenzako..,Mimi nishaleta ya osr wewe leta yako maana nikiangalia nyuma sion kama uliwahi leta
Hii ndio unaita official store ya Xiaomi in Kariakoo. 🤣 🤣 🤣 Watu wa informal economy mutatuonyesha mambo.
View: https://www.instagram.com/p/DDrtv9_sk1S/?utm_source=ig_web_copy_link
Xiaomi Store in Nairobi
![]()
Yeah empty talks hizi hapa.,Empty talks za nini my fool bro.?
Ziko wapi miradi.? Za hizo village center zenu zenye mnaita cities tulinganishe na miradi za Dodoma.?
Kama hukuna sema. Ashindwae pia ni mume.
Nani ali post hizi👇👇..,Umewekewa mpaka attachment hapo, Tena full budget umeshindwa
Unajirurahisha tu ndugu. Facts ni kuwa, Wakenya ni masikini wa kutupa, chakula tu ni mbinde!Still Kenya beats you either way on average iwe county ama national., wewe ndio uliweka list ya per Capita, nikaweka top 10 Kenya nikalinganisha na ile top 5 ya Tanzania mlio post., yaani in Kenya top five yenu majority mtaanzia number 15.., ukooo
Siku ile utaskia jiji yenu yoyote nje ya Dar ama kuanzia hiyo Dar inatajwa same sentence na other heavyweights nitag.., Mombasa to the world, "Peter Drury"..Empty talks za nini my fool bro.?
Ziko wapi miradi.? Za hizo village center zenu zenye mnaita cities tulinganishe na miradi za Dodoma.?
Kama hukuna sema. Ashindwae pia ni mume.
Once mtakapo malizana na IMF kuhusu kudivalyuet your overrated karensi hizi nyange zote zitaisha.Sisi na uchumi wetu wa makaratasi "as you say" we still collect more revenue than bongoslum. So hata sijui unajaribu kutuambia nini.
Fikra za vijiweni hizi, a pedestrian reasoning.., feel good argument 🤣🤣🤣🤣Unajirurahisha tu ndugu. Facts ni kuwa, Wakenya ni masikini wa kutupa, chakula tu ni mbinde!
But this is exactly what IMF recommended KCB to do, tunajua wazee wa proud mmegoma but very soon reality shall kick in kama Wajeuri Nigeria walivyotoka from %500B GDP to $100B.Fikra za vijiweni hizi, a pedestrian reasoning.., feel good argument 🤣🤣🤣🤣
Show us a project valued at $300M and fully funded by Kenyan government, Na kwanini serikali yenu inashindwa kufund viprojects vya hela ndogo?The dimwit does not know counties' revenue is a paltry 58B., including what Nairobi county collects, which is a portion permitted by law, and they collect and spend, it doesn't go to the national Treasury., national government revenue collection from across the country(from those counties )is not even included., na bado many counties are doing far better than Tanzanian regions, ndio ujue Tz is still an LDC in reality.., wana anika ufukara wao na hawajui🤣🤣 numbers never lie!!!., yaani anakinganisha Tana River county with smaller population na Kigoma ya over 1.5 million people 🤣🤣🤣., so per Capita in reality Tana River is far better🤣🤣🤣., (including national govt revenue from the place and the share)..
Leta hapa acha empty talks 🤣🤣🤣🤣Uliza wenzako..,
Definition of terms;Ubungo and two rivers are two very different establishments and by all standards, two rivers is more impressive. From Ferris wheel to go-karting to modern stores. The number of shops doesn't matter considering most of your 2000 shops are simply duplications of each other - i.e, they sell the same thing.
Tunauza chai kisha tunakuja kununua mahindi yenu (which you also lament so much every time we purchase from outside the region). The thing is, tea is a high-value crop compared to maize farming. Yani tea has good ROI compared to maize. You labour to produce a low-value crop while we engage in tea and flower farming which gave high returns. We use that money to buy your maize.Nyie ni watu wajinga sana. Anzeni na food security kwanza, haya machai hamuwezi kuyala.
Hawa watashusha tu subiria uoneBut this is exactly what IMF recommended KCB to do, tunajua wazee wa proud mmegoma but very soon reality shall kick in kama Wajeuri Nigeria walivyotoka from %500B GDP to $100B.