REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,676
- 11,690
These fools are school-less na pia wako funded na opposition parties. Mtu anajiita Neywa mitego, ni Wakednya tu wanaweza tegwa nae.
Hua wanacheka Kenya yet they are at the bottom of the pit.🤣🤣 Yani bongoslum has budgeted for Ksh 36 billion for development. 🤣🤣🤣 Ohhh sijui GDP yao iko understated, lakini the budget never lies. LDC ni LDC tu.
View: https://x.com/MwangoCapital/status/1930527581482463432?t=6t9GEJwgW6KobKhqgJcFhw&s=19
100% correct ila ukweli ni kuwa hamna uwezo wa kutegemea chakula cha kumiport ndio maana mnategemea chakula cha msaada since independence. Ni taifa la watu malofa ndio wanategemea chakula cha msaada.The thing is, tea is a high-value crop compared to maize farming. Yani tea has good ROI compared to maize.
Mnauza chai kama individuals au corporates ambazo zinamilikiwa na foreigner's ila nyinyi mnakuwa vibarakaTunauza chai kisha tunakuja kununua mahindi yenu (which you also lament so much every time we purchase from outside the region). The thing is, tea is a high-value crop compared to maize farming. Yani tea has good ROI compared to maize. You labour to produce a low-value crop while we engage in tea and flower farming which gave high returns. We use that money to buy your maize.
Huna hoja leta evidence ya revenue collection au total production by counties na kama ulivosema in comparison na Ile ya Tanzania🤣🤣🤣Uliza wenzako..,
Huyu ni single producer wa tea Africa
Kwahyo unahisi hilo ndo jengo la kwanza lenye roof top parking
Unajifanya blindKwahyo unahisi hilo ndo jengo la kwanza lenye roof top parking
East Africa commercial and logistic center. The largest shopping center 🏬 in the region. ipo connected to BRT stations. You will only have to take your brt bus wherever you’re from straight to the mall. 🤣🤣🤣 kunyans wanalia tu. Kitu hiko. 👇🏾View attachment 3354967View attachment 3354969View attachment 3354970View attachment 3354972View attachment 3354973
Note: hio Ndio facility pekee in the whole region enye iko na rooftop parking lots.
Vipi mwaiofhawaii Nicxie mnayo comeback.? 🤣🤣🤣![]()
Whatever! Mganga na Kiatu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3358472
Babu jinga usiekua na marinda umeripoti kliniki leo?
Can you imagine this beauty is exactly 1 year and 2 months old!Maneno ya wachawi na warogi wa South haina nguvu kushinda nia ya Wakenya, itakua tu kama mlivyo nena eti "Talanta haitajengwa..," sasa mko wapi? mtalilia kwa choo, tuko hapa sote kushuhudia SGR., mtakoma!!
View attachment 3358394
View attachment 3358395
Maamuzi ya Mkapa yameiharibu sana Oysterbay.Inland Container Depot project opposite French Embassy !
Ndege zetu kushtakiwa ilikuwa ni globalist agenda ya kujaribu kumdhoofisha na kumdhalilisha Magufuli, kwasababu aliwapa the middle finger.Kwa vile tuna uwezo wakulipa madeni, ndege zetu hazitashikwa na mkulima kisa medeni., jaribu muwe na uchumi wenye uwezo wa kulipa madeni angalau kwa kiwango kikubwa, sio kusamehewa kila wakati. ,mko hovyoooo!
We ndugu yetu, sijui ulinyimwa teuzi, siyo wewe ulikuwa ukimpinga sana Magufuli hapa, imekuwaje tena?Bimkumbwa wenu angekuwa magu sasa hivi ingekuwa tunaserereka tu
Yoyote anapingw tu pale ambapo inaonekana hajaperfom, miaka ya mwisho bimkumbwa kajisahai ni kama Kila kitu kimesimama. Naiona Zanzibar ikikufa sanaWe ndugu yetu, sijui ulinyimwa teuzi, siyo wewe ulikuwa ukimpinga sana Magufuli hapa, imekuwaje tena?
Hapa kweli "mmejaribu" nawapa kongole mashemeji zetu ila ukome kuita watu wachawi.Mtaendelea kushangaa., mlianza na expressway tulipo leta renders, ikakamilika kwa haraka sana., mkanena Talanta pia haitajengwa , sasa mnasema eti SGR to Malaba ni ndoto, nakuhakikishia itakamilika kabla ya yenu.,
A case study👇👇🤣🔥🔥
View attachment 3358443
Mbona mi naona ZnZ kama imezidi kuchanua? Angalia ndege zinazo tua pale, flyovers na mpango wa kujenga reli.Yoyote anapingw tu pale ambapo inaonekana hajaperfom, miaka ya mwisho bimkumbwa kajisahai ni kama Kila kitu kimesimama. Naiona Zanzibar ikikufa sana
Ndio inapendezeshwa huku bara karibia miradi mingi imesimama. Mfano ni sgr ilikuwa karibia mwaka imesimama wakat den lilikuwa linaongezekaMbona mi naona ZnZ kama imezidi kuchanua? Angalia ndege zinzo tua pale, flyovers na moago wa kujenga reli.
Ndo maana Jussa amekuwa kimya siku huzi.Ndio inapendezeshwa huku bara karibia miradi mingi imesimama. Mfano ni sgr ilikuwa karibia mwaka imesimama wakat den lilikuwa linaongezeka
Apts in Nairobi will have you second guessing
View: https://www.instagram.com/reel/DKJbi6CIEB0/?igsh=MWQ3ZWh5NXJmdWMwOA==
View: https://www.instagram.com/reel/DKhmI46IcPL/?igsh=NXQ2cGVyOGw2MTkz
View: https://www.instagram.com/reel/DJjUifJojI-/?igsh=dW5raXFjZnVhMjVx
View: https://www.instagram.com/reel/DJE1JOYIVZj/?igsh=bjN6MW1lbDdpYmt0
View: https://www.instagram.com/reel/DI9bBQBo3JG/?igsh=azl5Zm4yY3FpYWdm
View: https://www.instagram.com/reel/DJBLyGaokB9/?igsh=MWVtZDRzYmN3amd4aA==
View: https://www.instagram.com/reel/DI6B9dkoLWP/?igsh=cHR5ZWtzeHdvODl1
View: https://www.instagram.com/reel/DIZDgC8oZl7/?igsh=MXc3ZXc4MGYyNHhpOQ==
Speed imeongezeka kidogo hata ukiangalia idadi ya vyuma vya reli vinavodafirishwa kwa mgr vimekuwa vingi tofauti na miez sita ya nyumaKusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035