Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Per Capita sio Capital, na naongelea ya counties.., ama umekurupuka tu bila kusoma na kuelewa? Mbona zezeta hivi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Kundudweller siku zote ni kundudweller tu. Acha kukimbilia spelling. Tueleze njaa lini inaisha kenya?
 
Na tunaona matokeo.,
Mnaona matokeo wapi?
nyie mnatafunwa na miradi haisongi.,
Miradi ipi haisongi?
maisha ni yale yale, uswazi zinazidi kusambaa taifa mzima.,
Toka hapo Murang'a, utoke tongotongo
hamna nafuu yoyote.,
Dunia siyo Murang'a, toka upate akili
Kisha serikali imewabana hamna sauti., mtafinywa mkipiga kelele jiangalie sana,
Kenya mna sauti gani?
- Desperate slum dwellers ndio wana sauti?

Wamebadilisha nini sasa??
 
Kundudweller siku zote ni kundudweller tu. Acha kukimbilia spelling. Tueleze njaa lini inaisha kenya?
Nilikuuliza swali kwanza haukujibu umekwepa, nilikubana sasa unatafuta pakutokea, go back and respond accordingly Kisha uje, unaendelea kujiingiza kidole "penyewe" Kisha unanusa mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
 
Nilikuuliza swali kwanza haukujibu umekwepa, nilikubana sasa unatafuta pakutokea, go back and respond accordingly Kisha uje, unaendelea kujiingiza kidole "penyewe" Kisha unanusa mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
Sasa hivi hii ni page ya nane ninakuuliza huko kundustan njaa ni wimbo wa taifa lenu? Hutaki kujibu
 
Jibu yangu kwanza.., google earth ya hayo maeneo picha yako imetaja eti ni slums..,Kisha niambie source ya hiyo map yako ni nani? nilikupea list na link ya google earth ama hauna bando?

Screenshot_20250606-204250.png

.
 
Mnaona matokeo wapi?

Miradi ipi haisongi?

Toka hapo Murang'a, utoke tongotongo

Dumia siyo Murang'a, toka upate akili

Kenya mna sauti gani?
- Desperate slum dwellers ndio wana sauti?

Wamebadilisha nini sasa??
Unajua ni ukweli, vumilia mtapata nafuu siku moja. ,
Kutoka vijijini hadi miji.., tunaona massive transformation happening ya housing kwa mfano..,
Tokea Bomet hadi Ruiru..., etc.,
1749060688000.jpg

1749060683335.jpg

Screenshot_20250606-204605.jpg

FB_IMG_1745604537796.jpg

Screenshot_20250511-152503.jpg

1747912774258.jpg

1748597231063.jpg

1747199862294.jpg

1748776687552.jpg

1746967388476.jpg

1748020023387.jpg

1747577820599.jpg

1747912781096.jpg

1748586971326.jpg

ruiru-housing-1.-KIAMBU-AFFORDABLE-HOUSING-PHOTO-1-1200x630.jpg

images-9.jpg

IMG-20250531-WA0004.jpg

Sijaweka ujenzi wa Kibera, Nakuru, Nanyuki, Eldoret West area, Mombasa, Kakamega.., ushuru ni wetu nyumba ziko Kenya., miradi ni ya Kenya, irrigation amefaulu sana!!., sijui mtauzia nani mazao yenu!
 
Kusimama huwezi kusimama ila utatuchukua mdaa sana kuliko tulivyotarajia, tutegemee treni ya kwanza kufika mwanza kunzia 2032 huko kigoma 2035
Very realistic., wengine wanakariri ndoto za alinacha.., tuko humu tutaona hadithi za vijiweni zinavyo umbuliwa na ukweli.,
 
Hizi nikama ndoto za alinacha., kushirikisha ubongo hauna.., if I put here county by county with per Capita income tulinganishe na Tanzania utaona aibu mlio nayo.., yaani on average Kenya imewaacha mbali.,
Haha per capital income haiwez kuwa measure ya economic activity sababu itategemeana na population ya eneo husika .
Mfano marsabit ilikuwa na estimated population ya 459,000 huku rukwa region Ina 1.5mil people , hivyo lazima tukija kwenye GDP per capital lazima marsabit itakuwa GDP/ capital kubwa hata kama total production ya rukwa ni kubwa kuliko marsabit .
Kitakacho determine economic activity ni total revenue ya eneo husika ambayo utaipata kwa kuangalia makusanyo ya revenue ya local government au county kwa Kenya.
Mfano kama marsabit itakuwa na economic activity nyingi tutegemea kutakuwa na ubora wa maisha hivyo kupelekea kuwepo kwa private vehicle nyingi sana ambazo zitapelekea uhitaji wa parking hivyo kupelekea kuwepo na makusanyo yatokanayo na parking fee kuwa mengi in the long-run resulting to multiplier effect ambayo itaa affect sectors nyingine.
Huwez tegemea per capital income kwa kuangalia makusanyo ya kra tu sababu inabeba pool kubwa na nyinyi hugawa mapato kwa kutegemea formula ambayo imeandaliwa tayar na bunge.
 
huko mbali mno mkuu. Sidhani kama phases zote hadi KG zitafika 2030. We are going to have all phases done before 2030.
Inabidi tuende kiuhalisiaa kaka tuachane na porojo za viongozi mradi kwa sasa umezorota kwa spidi tuliyonayo sasa mfano mzuri ni awamu 5 inafaa iwe imekamilika by now ila ndio kwanza tupo 50% sijui 60% sasa sijui mwenzangu unaona nini cha tofauti
 
Per Capita sio Capital, na naongelea ya counties.., ama umekurupuka tu bila kusoma na kuelewa? Mbona zezeta hivi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,
Kama mna economic activity nyingi how come tana river yenye ukubwa kama kigoma inakuwa na mapato ambayo hayafikii hata nusu ya kigoma🤣🤣🤣. Mmeshindwa kuuza hata mchanga🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom