nafikiri unapaniki bure tu, labda hawataki tui wale keki yao, kuna direct flight kati ya amsterdam-nairobi ya kenya airways/klm/airfrance na kenya airways inaoperate pia mombasa-nairobi kwa nini waruhusu mwingine achukue hiyo ruti? nafikiri siyo wajinga kama unavyofikira, fikiria tanzagiza ruti ambazo klm, katar, emirate inapiga ktk dar- europe/north amerika walipaswa wagawane angalau na air tanzagiza lkn kama kawaida tanzagiza hamjui how a capitalistic economy functions.
unajua wangapi wanakula keki yetu? wageni wanaokuja tanzagiza kutokea ulaya au north amerika ilipaswa air tanzagiza inufaike angalau hata kidogo tu hata thru joint venture labda katar iwalete mpaka doha halafu air tanzagiza iwafikishe dar huo mfano tu …