Unajua shida sio udogo wa bajeti,shida ni mipango ya matumizi ya hiyo bajeti.
Unajinadi una bajeti kubwa,je umefanikisha nini ama utafanikisha nini juu ya hiyo bajeti kubwa??
Unajua shida sio udogo wa bajeti,shida ni mipango ya matumizi ya hiyo bajeti.
Pole kwako. So hii Ship iko Dar is slum ama Lamu?
inaonesha how modern building zipo kila kona ya tanzania imagine hapo ni shinyanga over 1000km from dar 😂😂😂Hii inasaidia Tanzania aje kwenye juhudi zake za kutoka LDC?
Pole kwako. So hii Ship iko Dar is slum ama Lamu?
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1930933481959215474
No wonder Tanzania itabaki LDC milele.inaonesha how modern building zipo kila kona ya tanzania imagine hapo ni shinyanga over 1000km from dar 😂😂😂
Hii ni meli ama sio meli? Na iko Lamu Port ama haiko Lamu Port?😂😂😂🤣hakuna meli itafanya safari zake bila kua na taarifa humu 😂😂😂
View attachment 3358782View attachment 3358784
Next generation malls include logistics kama hujuiSo does that make it a mall? Ulisoma wapi kwamba malls engage in logistics, import and export business?
Hiyo singeli tumeshaizoea toka kwa nyang'au😁😁😁😁No wonder Tanzania itabaki LDC milele.
Linganisha lamu na mtwara buanahakuna meli itafanya safari zake bila kua na taarifa humu 😂😂😂
View attachment 3358782View attachment 3358784
Hii ni meli ama sio meli? Na iko Lamu Port ama haiko Lamu Port?😂😂😂🤣
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1930933481959215474
Bila Lamu Port Dar Port will collapse pangla punglu.
View: https://x.com/Kenya_Ports/status/1930933481959215474
Maumivu yakizidi muone daktari Bwana govi.Hii inasaidia Tanzania aje kwenye juhudi zake za kutoka LDC?
According to who? For your information Logistics center is not a mall.Next generation malls include logistics kama hujui
Kwani ni uongo kwamba Tanzania ni LDC?Hiyo singeli tumeshaizoea toka kwa nyang'au😁😁😁😁
Evidence please 😁Hotel haiko included hapo we mzee.