Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upumbavu wewe ukitoa hotel na office space hakuna eneo linafikia Ubungo logistic center! 2000 shops!
Ubungo and two rivers are two very different establishments and by all standards, two rivers is more impressive. From Ferris wheel to go-karting to modern stores. The number of shops doesn't matter considering most of your 2000 shops are simply duplications of each other - i.e, they sell the same thing.
 
Leo nilikuwa city moja hivi, marafiki zangu Senegalese, Ethiopians wenye maduka mengi ya nguo na viatu South Africa waliomba sana msaada wa taarifa wakidai kwa sasa watu hawaendi China kustock kwakua bei ya flight ni kubwa na ni gharama sana na wengi wa Senegalese hapo Johqannesburg wanaenda Tanzania.
Nilishangaa sana, but I was very proud!

Hii ni habari njema sana, we are winning. Lets keep on pushing!
Marcelly Chamoto The best 007 Mkaruka Wordsworth Kosugi coodip1 AMARII NairobiWalker Nicxie babayao255 Sama boy 255 Teargass nairobae Mgagaa na Upwa Magonjwa Mtambuka Fundi kitasa Don Y chongchung game over Fundi kitasa ichoboy01 Lewis254 IamLee concordile 101 Reborn Ktb NDINDA
Ona jaba
Screenshot 2025-06-05 204905.png
 
Ndo tuboreshe sasa road au metro system maana population inazidi kuwa kubwa by 2028 atleast wawe wameanza li develop metro rail
Metros zipo kwenye masterplan ya TRC.

Ni suala la funding tu ndio shida.

Population ya Dar inakuwa kwenda Kibaha na Bagamoyo.
 
Hivi Unadhani sisi tunanunua wapi hizi vitu? Ndio maana huwa nakwambia hujui Kenya kama unavyodhani. Wewe unaongelea Osmo 3 kuisha, hapa Nairobi there's no single day hiyo kitu itaisha. Osmo pocket 3 yangu combo nimenunua kwa kijana mdogo sana hapa Nairobi mwenye miaka 23. Anataka pia kuniuzia Drone but hiyo process ya kupata kibali inanikasirisha. Hili hapa duka nililonunua. Just a small shop run by a 23 year old who imports these cameras from china.
View attachment 3356421
So, mtu akiwa dukani anauza basi tayari ni duka lake, wakenya bhn huu usenge sijui mtaacha lini. Anyway, na wewe siku hz ni vlogger? (Kazi mpya ya wakenya) Kazi hakuna wakenya wote mmeacha betting mnaingia kwenye content creation wazembe nyie.
 
Nimesema DJI pocket 3 zimeisha Dar? Au kwenye dula langu pendwa? And who told you 23 years old in Tanzania don't run shops. Just why I şaíd you didnt visit Kariakoo. Ungetembelea Kariakoo ungekuta hata watoto wa 12 years running shops and they know everything

Do you know why I ignore you most of times. Unapenda kutwist my words, you always find something to be proud for ego boosing. We call it NARSISSISM. And That's a big problem in Kenya.

Ok back to the main topic, tell us the cost of DJI OSMO Pocket 3 combo in Nairobi. Just be honnest.

I speak this because, Metrozone shop City mall is sending many DJI pocket cameras to Kenya, Uganda and Rwanda, because that camera in those countries is overpriced. So they prefer buying in Dar.
Mwenyewe anaona miaka 23 midoogoooo kumbe huku kwetu tayari wewe ni babu.
 
So, mtu akiwa dukani anauza basi tayari ni duka lake, wakenya bhn huu usenge sijui mtaacha lini. Anyway, na wewe siku hz ni vlogger? (Kazi mpya ya wakenya) Kazi hakuna wakenya wote mmeacha betting mnaingia kwenye content creation wazembe nyie.
Taifa zima la kunya sahii wamekua vloggers. 🤣🤣🤣
 
nafikiri unapaniki bure tu, labda hawataki tui wale keki yao, kuna direct flight kati ya amsterdam-nairobi ya kenya airways/klm/airfrance na kenya airways inaoperate pia mombasa-nairobi kwa nini waruhusu mwingine achukue hiyo ruti? nafikiri siyo wajinga kama unavyofikira, fikiria tanzagiza ruti ambazo klm, katar, emirate inapiga ktk dar- europe/north amerika walipaswa wagawane angalau na air tanzagiza lkn kama kawaida tanzagiza hamjui how a capitalistic economy functions.

unajua wangapi wanakula keki yetu? wageni wanaokuja tanzagiza kutokea ulaya au north amerika ilipaswa air tanzagiza inufaike angalau hata kidogo tu hata thru joint venture labda katar iwalete mpaka doha halafu air tanzagiza iwafikishe dar huo mfano tu …
Ni kweli ila kumbuka shirika letu bado changa. Mkakati uli1kuwa kutawala soko la nyumbani na nchi za karibu. Usisahau, ndege zenyewe za masafa marefu hatuna, au ulitaka tukope kama wakenya?
 
Back
Top Bottom