Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sgr imegotea Dodoma hapo huko mbele hamna chochote kinachoendelea by now phase 5 inabidi iwe imekamilika 100% awamu 3 na 4 zinafaa ziwe zaidi ya 60% ila serikali na trc wapo kimya ili jambo tunalikwepa kwepa umu ila ndio uhalisia wenyewe ila kila mwaka tunaskia budget imeongezeka
Bimkumbwa wenu angekuwa magu sasa hivi ingekuwa tunaserereka tu
 
Sgr imegotea Dodoma hapo huko mbele hamna chochote kinachoendelea by now phase 5 inabidi iwe imekamilika 100% awamu 3 na 4 zinafaa ziwe zaidi ya 60% ila serikali na trc wapo kimya ili jambo tunalikwepa kwepa umu ila ndio uhalisia wenyewe ila kila mwaka tunaskia budget imeongezeka
Ujenzi unaaendelea ila baada ya uchaguz nahisi utasimama kabisa
 
Tajiri hashindwi kulipa mishahara
Kwa kweli mnahitaji financial literacy walai 🤣🤣🤣.., delayed salaries may occur occasionally due to many factors sio ukosefu wa hela per'se, even delayed national govt disbursement to the counties, legislative impasse, or some economic crisis etc., ata USA inakosa kulipa wafanyikazi wake at times, so ni maskini kuliko Tanzania eti? Mko hovyo ki fikra🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250606-193054.jpg
 
View attachment 3358295
Acha kusingizia , Tanzania tarehe 15 ya mwezi maafisa utumishi wanakuwa washaanza kuprocess mishahara , deadline tarehe ya 25 Kila gov. employee anakuwa ameshapat a salary . Mnashindwaje kulipa kalipa ya deadline, Ina maana mna incompetent human resource personels🤣🤣🤣
 
Ndio maana inaitwa budget, kila kitu Kiko na mpangilio wake., na budget yetu ni zaidi ya hiyo Tshs.74trilion., how we finance our projects sio hoja,
Siyo hoja. Hoja ni nini sasa?
kwa sasa Kenya inajenga affordable housing na haitoki kwa hiyo revenue ata shillingi moja, na sio mkopo, unajua hilo?
Affordable housing ni deductions kutoka salary slip za wafanyakazi.

Wizi tu, mmekubali.
it's eing financed by housing levy kando na budget.., barabara ziko na fuel levy, kando na budget ., SGR ni PPP, funded by both Chinese and Kenyan govt as investors, Kenyan banks and other foreign investors, mostly from china, where pesa zao zitarudiashwa by the revenue recouped from SGR operations, including Kenya's govt money itarudishwa, so Kenya sio Tanzania., hatufanani., tafuta uelewa, Wacha kujifananisha na Kenya, elewa different financial models, or seek financial knowledge, most of you here are financial illiterates, mna guess tu maneno, hamna uelewa wowote.,
The issue ni kwamba your tax money is HEAVILY eaten by your political CLASS.
 
Kwa kweli mnahitaji financial literacy walai 🤣🤣🤣.., delayed salaries may occur occasionally due to many factors sio ukosefu wa hela per'se, even delayed national govt disbursement to the counties, legislative impasse, or some economic crisis etc., ata USA inakosa kulipa wafanyikazi wake at times, so ni maskini kuliko Tanzania eti? Mko hovyo ki fikra🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3358295
Hakuna mwez Tanzani mtu anapata salary baada ya tarehe 30 otherwise hujajaza mfumo vizuri
 
Kwa kweli mnahitaji financial literacy walai 🤣🤣🤣.., delayed salaries may occur occasionally due to many factors sio ukosefu wa hela per'se, even delayed national govt disbursement to the counties, legislative impasse, or some economic crisis etc., ata USA inakosa kulipa wafanyikazi wake at times, so ni maskini kuliko Tanzania eti? Mko hovyo ki fikra🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3358295
Taarifa za US, unaleta source ya Indian blogger.

MFs
 
Je, kuna rich mwenye hunger? kwikwikwikwikwikwi?

View attachment 3358285
An appeal based on draught projections in likely affected areas, a business for such NGOs to make a kill, and did it happen as was projected? jibu....,
kisha Kenya inanunua mavuno kutoka kwa wakulima wenu fukara na kwa wale wakenya wanao kodesha mashamba Tanzania, huu mwaka sijui fukara wenu watatoa wapi hela, kwa vile mavuno ni mengi Kenya, production has increased sana we might not need any addition, maybe we buy and repackage for export, tuwatafune vilivyo, ufukara loading in Tanzania!., akili ndogo ni mbaya sana, 🤣 🤣
 
Hakuna foreigner anaruhusiwa kununua ardhi Tanzania otherwise awe investor , mtu aliyeforge hawez hesabika kuwa ni investor , hakuna mkenya wa kawaida ambaye anafanya kilimo tanzania
 
An appeal based on draught projections in likely affected areas, a business for such NGOs to make a kill, and did it happen as was projected? jibu....,
kisha Kenya inanunua mavuno kutoka kwa wakulima wenu fukara na kwa wale wakenya wanao kodesha mashamba Tanzania, huu mwaka sijui fukara wenu watatoa wapi hela, kwa vile mavuno ni mengi Kenya, production has increased sana we might not need any addition, maybe we buy and repackage for export, tuwatafune vilivyo, ufukara loading in Tanzania!., akili ndogo ni mbaya sana, 🤣 🤣
Taja kampuni ya kikenya inayofanya kilimo tanzania
 
Kwikwikwi. Nchi ya kenya inapata msaada wa chakula toka saudi Arabia kwenye jangwa.
 
Wacha nikusaidie ndio ujue wewe ni kilaza., kwa hiyo list get into google earth(link hiyo: Google Earth )sasa hivi, zoom the following Kisha uniambie kama uswazi zenu zinakaribia hizo eneo, usiogope, tazama aerial views from google earth uzunguke Nairobi yoote, iko wazi sana, tazama hayo maeneo yametajwa kila Kona Kisha uje na wewe utoe ushuhuda kama Baba levo.,
1.Ruai(kama hii ni slums, Mikocheni ni slum 🤣🤣🤣, just get into google earth udhibitishe)
2.Ngumba estate
3. Uthiru
4. Riruta
5. Githurai kwa ujumla
6. Kawangware yote
Tazama vast area ya hizi eneo, zoom all angles kisha uje., tujue mwehu ni nani..,

and who was the source for that 👆map?
30302.png

Shida unaongea sana,hivi vitu wala avihitaji maneno mengi,tuletee mikocheni ikiwa kwenye hali kama hii
 
Taarifa za US, unaleta source ya Indian blogger.

MFs
Wewe ni mpumbavu, liboya🤣, umeona hiyo news paper ni blog eti?.., 🤣🤣🤣🤣 yaani unajaribu kutetea your financial illiteracy mlishajianika humu tayari, hauna pakutokea🤣🤣🤣🤣., delays happens due to several factors, hilo halina ubishi.,
 
Unaandika maelezo mengi mno. Tuambie njaa itaisha lini kundustan?
 
View attachment 3358307
Shida unaongea sana,hivi vitu wala avihitaji maneno mengi,tuletee mikocheni ikiwa kwenye hali kama hii
Hii ni google earth image 2025 eti🤣🤣🤣🤣,mwehu limekwepa🤣🤣🤣🤣., leta google earth ya hizo list kila eneo, Anika humu wazi wazi tujionee, mbona unaogopa??
Kwa ground 2025 hakuna sehemu inafanana hivyo, this👇 is that pipeline leo hii, na sehemu zingine, mmeshindwa kabisa, ukweli inawaumiza mnatamani tufanane ila mko peke yenu kwa ufukara wa kutupwa
figure-1.jpg

images-4.jpg

picture1.jpg

jujanhkb749j9z572ee3dfb5214.jpg

Screenshot_20250603-000341.jpg

Screenshot_20250603-000237.jpg

Screenshot_20250603-000700.jpg
Screenshot_20250603-000046.jpg

Screenshot_20250603-000714.jpg
 
Back
Top Bottom