Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inabidi tuende kiuhalisiaa kaka tuachane na porojo za viongozi mradi kwa sasa umezorota kwa spidi tuliyonayo sasa mfano mzuri ni awamu 5 inafaa iwe imekamilika by now ila ndio kwanza tupo 50% sijui 60% sasa sijui mwenzangu unaona nini cha tofauti
Awamu zote mpaka sasa zilitakiwa ziwe above 60 ila basi Tena
 
Nyinyi yenu ata matumaini hamna bado mnasubiria huruma kutoka kwa mchina siku mkindoa iyo fikra angalau mnaweza ata kuifikisha naivasha
Matumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,
 
Why now can't you fund even a small project with own source?
Why can't you fund your education sector with own source revenue na si kutegemea donations? Yani ka nchi kadogo kama kenya kanaspend mara 6 yenu kwenye education kisha mnajigamba 'tumenunua ndege kwa fedha zetu'. Ndo maana nchi imejaa school droupouts kuanzia rais
 
Inabidi tuende kiuhalisiaa kaka tuachane na porojo za viongozi mradi kwa sasa umezorota kwa spidi tuliyonayo sasa mfano mzuri ni awamu 5 inafaa iwe imekamilika by now ila ndio kwanza tupo 50% sijui 60% sasa sijui mwenzangu unaona nini cha tofauti
Last 3 months mradi wa phase 5 ulikua 63% sahii utakua umesonga mbele sana. Na tayari pia wameshaanza kujaribu njia za reli mkuu. 👇🏾
View: https://youtu.be/rdEE6mDK2uA?si=4H3ip6OpkjSBl7OP.
 
Matumaini ipi na tutakamilisha kama bado mnasua sua ., we don't behave like you., hatukurupuki na mradi tu, tuna angalia viability kwanza, vile Uganda wali launch upande wao from Malaba, sasa Kenya ilitafuta PPP model ya kukamilisha hadi Malaba border and succeeded in getting mkataba,., where revenue yetu haitaguzwa kulipa, project itajilipa yenyewe, 30% inalipwa kwa serikali ya Kenya, 30% kwa ya China, na 40% Kenyan banks and Chinese banks wanagawana, because hivyo ndivyo wana contribute kwa ujenzi, yaani pesa mingi itabaki Kenya SGR ikianza kazi, a better deal than ya Uhuru na yenu ya Magufuli, kukopa kisiri., sasa ni finalizing mapping for compensation of affected people along the line., ujenzi wa SGR ni faster than roads., mko hapa mtashuhudia vile Kenya inapaa kwa kasi, going forward.., kama vile Talanta imejengwa., na housing project..,
Empty talks 🚮 hapa si mahali pa kujifariji. 🤣🤣🤣🤣 sisi tunakuonyesha maendeleo ya mradi we unaleta blah blah.
 
Kama mna economic activity nyingi how come tana river yenye ukubwa kama kigoma inakuwa na mapato ambayo hayafikii hata nusu ya kigoma🤣🤣🤣. Mmeshindwa kuuza hata mchanga🤣🤣🤣
Idadi ya watu wa Tana River ukilinganisha na Kigoma ni ngapi??.., tuweke list uone vile mko hovyo? You do per Capita one by one, latest data, fyata utulie kimya kimya nisikuaibishe bure, ni wewe ulikurupuka humu na list siku moja?🤣🤣🤣🤣., Tanzania hamuna lolote ukanda huu.., yaani kama Dar ndio inalingana na Kiambu na Nakuru county kwa revenue unatuambia nini wewe?🤣🤣🤣.,
 
Blah blah. 🤣🤣🤣🚮
 
Tana river 456,000 kigoma 1.5 mil according to 2019
 
Empty talks 🚮 hapa si mahali pa kujifariji. 🤣🤣🤣🤣 sisi tunakuonyesha maendeleo ya mradi we unaleta blah blah.
Maneno ya wachawi na warogi wa South haina nguvu kushinda nia ya Wakenya, itakua tu kama mlivyo nena eti "Talanta haitajengwa..," sasa mko wapi? mtalilia kwa choo, tuko hapa sote kushuhudia SGR., mtakoma!!
1749146150144_Untitled_design_-_2025-06-05T205414.996.jpg

ff73c2d1-d959-4645-a760-f17049c92a2b.jpg
 
Idadi ya watu wa Tana River ukilinganisha na Kigoma ni ngapi??.., tuweke list uone vile mko hovyo? You do per Capita one by one, latest data, fyata utulie kimya kimya nisikuaibishe bure, ni wewe ulikurupuka humu na list siku moja?🤣🤣🤣🤣., Tanzania hamuna lolote ukanda huu.., yaani kama Dar ndio inalingana na Kiambu na Nakuru county kwa revenue unatuambia nini wewe?🤣🤣🤣.,
Nairobi county revenue collection was 12bil , dar es salaam revenue collection( local osr) 246bil tsh 2023/2024 🤣🤣🤣
Kwa mwaka huo kati 47 counties ni 17 counties tu ndo zilikusanya above 1bil ksh wakat Tanzania ni region 5 tu ndo zilikuwa below 1bil ksh kati ya regions 30
 
Kwani Tanzanian bureau of statistics ni waongo eti?.., Dar ni fukara, uswazi ni 80% ya jiji unatarajia nini?.., Kiambu iko na total revenue zaidi ya Dar, jua hilo.,
 
Last 3 months mradi wa phase 5 ulikua 63% sahii utakua umesonga mbele sana. Na tayari pia wameshaanza kujaribu njia za reli mkuu. 👇🏾
View: https://youtu.be/rdEE6mDK2uA?si=4H3ip6OpkjSBl7OP.

Pointi yangu ndio iyo broo kwamba tupo njee ya mda sana huu mradi unafaa uwe umekamilika mpaka sasa kwa asilimia 100 ila tupo nyuma kwa asilimia 40 hapo bado njia na mifumo kunyiwa majaribio ongeza mwaka mmoja kwa makadirio yangu tutarajie mwishoni 2027 huko awamu ya 3 na 4 sijui zimefikia wapi ila kwa updates za mara ya mwisho,ata robo tulikuwa hatujafika alafu ndio vipande virefu
 
Maneno ya wachawi na warogi wa South haina nguvu kushinda nia ya Wakenya, itakua tu kama mlivyo nena eti "Talanta haitajengwa..," sasa mko wapi? mtalilia kwa choo, tuko hapa sote kushuhudia SGR., mtakoma!!
View attachment 3358394
View attachment 3358395
Wewe unapiga kelele tu, utawezana na miradi ya Bongo wewe.? 🤣🤣🤣🤣

We are building 2 stadiums in two different cities. Una lingine.? Ona halafu hizo cities si Dar.

Wewe piga kelele tu. Sisi sio nyinyi mjomba. 🤣🤣🤣
 
Why can't you fund your education sector with own source revenue na si kutegemea donations? Yani ka nchi kadogo kama kenya kanaspend mara 6 yenu kwenye education kisha mnajigamba 'tumenunua ndege kwa fedha zetu'. Ndo maana nchi imejaa school droupouts kuanzia rais
Na uswazi zinazidi sana., this mikwara are not escaping poverty soon, ni mindset imekataa ku change!.,🤣🤣🤣
 
Pointi yangu ndio iyo broo kwamba tupo njee ya mda sana huu mradi unafaa uwe umekamilika mpaka sasa kwa asilimia 100 ila tupo nyuma kwa asilimia 40 hapo bado njia na mifumo kunyiwa majaribio ongeza mwaka mmoja kwa makadirio yangu tutarajie mwishoni 2027 huko awamu ya 3 na 4 sijui zimefikia wapi ila kwa updates za mara ya mwisho,ata robo tulikuwa hatujafika alafu ndio vipande virefu
Sasa hapo mkuu utakua unakosea. Yani miezi mitatu iliyopita mradi ulikua 63% halafu unasema utaisha mwishoni mwa 2027.? 🤣🤣🤣🤣 🙌🏾🙌🏾🙌🏾.
 
In Kenya's Fiscal Year (FY) 2025/26, recurrent expenditure is allocated a total of KSh 3.1 trillion (16.2% of GDP). This figure represents the government's spending on day-to-day operations and essential services.
Key Points:
Total Budget:
The FY 2025/26 budget is a significant increase from the previous year, with a total allocation of KSh 4.23 trillion

Sasa ujenzi wa reli itakuwaje maana mpaka hapo tu imebaki 1.1 trillion.
VERSUS
.
The Tanzania budget for 2025/2026 allocates TZS 2.75 trillion for the Ministry of Transport, with a focus on major infrastructure projects like the SGR, Air Tanzania, ports, airports, and maritime safety. This allocation includes recurrent expenditure for TZS 125.44 billion, with TZS 96.65 billion for staff salaries and TZS 28.78 billion for other operational costs. Additionally, TZS 2.62 trillion is allocated for development projects, with TZS 2.45 trillion from domestic sources and TZS 168.53 billion from external sources.

Here's a more detailed breakdown:

  • Recurrent Expenditure:
    TZS 125,438,950,000
    • Salaries: TZS 96,654,340,000
    • Other Operational Costs: TZS 28,784,610,000

  • Development Expenditure:
    TZS 2,621,046,068,000
    • Domestic Sources: TZS 2,452,512,444,000
    • External Sources: TZS 168,533,624,000
    Tunachukua wizara mbili tu
  • Tanzania’s Ministry of Energy Proposes TZS 2.2 Trillion Budget for 2025/2026 Focused on Power Generation, Rural Electrification, and Clean Cooking Energy The Ministry of Energy has proposed a TZS 2.2 trillion budget for the fiscal year 2025/2026, focusing on power generation, rural electrification, and clean cooking energy projects. The budget also prioritizes the development of oil and gas infrastructure, ensuring reliable energy access for economic growth. APRIL 29, 2025 2 MINUTE READ On April 28, 2025, Deputy Prime Minister and Minister of Energy, Dr. Doto Biteko, presented the Ministry of Energy’s 2025/2026 budget to the Parliament of Tanzania. The budget is set at TZS 2.2 trillion, with 96.5% allocated for development projects and 3.5% for recurrent expenditure.
Read more at: Tanzania’s Ministry of Energy Proposes TZS 2.2 Trillion Budget for 2025/2026 Focused on Power Generation, Rural Electrification, and Clean Cooking Energy and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
Wizara ya fedha KAZI yake ni kulipa na kupanga sio kufanya miradi ya maendeleo
Kwa hivyo unacompare Ksh 3 Trillion na Tsh 3 Trillion. Sasa ona shida ya kua primary school dropout.
 
Wewe unapiga kelele tu, utawezana na miradi ya Bongo wewe.? 🤣🤣🤣🤣

We are building 2 stadiums in two different cities. Una lingine.? Ona halafu hizo cities si Dar.

Wewe piga kelele tu. Sisi sio nyinyi mjomba. 🤣🤣🤣
Hatuwezi kukua nyinyi kabisaaa!!!, hatutafanana duniani kamwe!!., mbona liko wazi sana kilaza punguani!🤣🤣🤣🤣🤣🤣., kwa hizi fikra zenu zilizochoka!!., kha! hatufanani kamwe🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom