Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo ni fala, first anacompare Ksh 3 trillion na Tsh 3 trillion, then anacompare 47 counties na 31 regions in a country that's almost twice in size.
Kuna exchange rate hapo umewekewa what matters ni square kilometer per county na tunaangalia administrative area mfano marsabit ni size ya most regions. Mfano njombe Ina sq km 21,000 huku tana river ikiwa na 37,000 lakini tana river haiwez fikia hata robo ya osr ya njombe region🤣🤣🤣🤣
 
Haha per capital income haiwez kuwa measure ya economic activity sababu itategemeana na population ya eneo husika .
Mfano marsabit ilikuwa na estimated population ya 459,000 huku rukwa region Ina 1.5mil people , hivyo lazima tukija kwenye GDP per capital lazima marsabit itakuwa GDP/ capital kubwa hata kama total production ya rukwa ni kubwa kuliko marsabit .
Kitakacho determine economic activity ni total revenue ya eneo husika ambayo utaipata kwa kuangalia makusanyo ya revenue ya local government au county kwa Kenya.
Mfano kama marsabit itakuwa na economic activity nyingi tutegemea kutakuwa na ubora wa maisha hivyo kupelekea kuwepo kwa private vehicle nyingi sana ambazo zitapelekea uhitaji wa parking hivyo kupelekea kuwepo na makusanyo yatokanayo na parking fee kuwa mengi in the long-run resulting to multiplier effect ambayo itaa affect sectors nyingine.
Huwez tegemea per capital income kwa kuangalia makusanyo ya kra tu sababu inabeba pool kubwa na nyinyi hugawa mapato kwa kutegemea formula ambayo imeandaliwa tayar na bunge.
Per Capita ya revenue inaonyesha uhalisia wa uchumi wa eneo🤣🤣🤣, watu wengi faida kidogo, ni dhahiri huduma zitakua hafifu., hizi ni pato la eneo kutokana na mchango wa kodi., sio ile ya economic output(GDP - total market value of all goods and services produced), ni pesa zilizo kusanywa za kufanyia jamii kazi kwa ku finance govt services.., picha kamili inayo onyesha mko hovyoo!!, watu wengi revenue kidogo!!., mbona wewe ni mbumbumbu hivi?🤣🤣🤣🤣., sasa unaelewa ni kwa nini IMF inakariri bado mnachezea LDC..,
 
Hata Tanzania nikikuwekea total revenue collection baada ya dividend kutoka serikali kuu , ni more than ya hiyo niliyokuwekea ila hatuzihesabu hizo kwa sababu makusanyo yake yanakuwa kama dividend tu.
Mfano salaries kwenye local government inatoka central gov huwez ziona kwenye hiyo hesabu na nara nyingi inakuwa 4 times ya hiyo osr
 
Hizo zote nazijua ( osr) Ina include produces cess, entertainment permit, billboard ,business licence, na kadhalika.
Revenue from vat , corporate tax au Yale makusanyo ya kra na tra hayako included kwenye osr both Tanzania na Kenya.
Hata Tanzania port collection na taxes haziko included kwenye osr
Kenya Kuna dividend toka serikali kuu kama Tanzania , hizi zote not included kwenye osr .

HAPA TUNAZUNGUMZIA OSR TU
OSR" refers to Own Source Revenue, which is the income generated by county governments from sources within their jurisdiction, including local taxes, fees, fines, and charges for services. This revenue is distinct from funds transferred from the national government. Counties are constitutionally mandated to generate OSR to fund their operations and development projects.
Here's a more detailed breakdown:
What it is:
OSR encompasses all income earned by county governments directly, such as property taxes, entertainment taxes, business permits, and charges for services like public health clinics or waste management.
Why it's important:
Effective OSR collection is crucial for fiscal decentralization, giving county governments greater financial autonomy and accountability. It also allows counties to fund development projects and improve service delivery, as OSR can supplement intergovernmental transfers and grants.
Legal basis:
The Kenyan Constitution (2010) empowers county governments to levy taxes and charges, and the Public Finance Management Act, the County Government Act, and the Urban Areas and Cities Acthttps://www.pfmr.go.ke/cost-of-own-source-revenue-study-tour-of-kwale-county/ provide further regulations.
Examples:
Some common examples of OSR include property taxes, entertainment taxes, land revenue, business permits, fees for services like registration and licensing, and penalties for infractions.
Sasa point yako ni ipi? Ulienda google and simply copy-pasted what it says concerning county government, of which Tanzania haina. So what's your point?.., sioni tatizo, but hiyo revenue yenyewe ya county on average is beating ya your regions in per Capita na bado ni ile kidogo limited ya county., meaning Kenya is far richer than Tanzania economically, Tanzania is richer than Kenya in natural resources. Huo ndio ukweli., same way Tanzania is richer than DRC economically, ila DRC is far richer than Tanzania, Kenya na pia tukijumuisha na Ethiopia kwa pamoja, ikija rasilmali.., but economically Kenya, Ethiopia na Tanzania zimeizidi DRC.., nimetumia mfano ili upate kuelewa.
 
Empty office blocks kwa wingi🤣🤣🤣🤣,. Dodoma apartments estate eti city🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., ndoto za alinacha, sema Tanzania usitaje Kenya🤣🤣🤣🤣.,
Blah blah 🚮. And guess what zipo miradi ambazo hujawahi kuzishuhudia hapo kunya. Hopefully mungoje hiyo 30 years enye unasema. 👇🏾
IMG_8472.jpeg
IMG_8477.jpeg
IMG_8476.jpeg
miradi kama hio ndio hutawahi kuiona hapo mombasa na village center zingine hadi kiama. 🤣🤣🤣 nane nane exhibition 👇🏾
View: https://youtu.be/LXE1rDJ0hY4?si=Ch7pM9tcVHOprLC7
IMG_8465.jpeg
IMG_8466.jpeg
.. Dom stadium 👇🏾
IMG_8462.jpeg
Msalato airport 👇🏾
IMG_8479.jpeg
IMG_8460.jpeg
mombasa your second city itapata miradi kama hii next century. Hizo town zingine hazitawahi pata projects of this magnitude.
 
Per Capita ya revenue inaonyesha uhalisia wa uchumi wa eneo🤣🤣🤣, watu wengi faida kidogo, ni dhahiri huduma zitakua hafifu., hizi ni pato la eneo kutokana na mchango wa kodi., sio ile ya economic output(GDP - total market value of all goods and services produced), ni pesa zilizo kusanywa za kufanyia jamii kazi kwa ku finance govt services.., picha kamili inayo onyesha mko hovyoo!!, watu wengi revenue kidogo!!., mbona wewe ni mbumbumbu hivi?🤣🤣🤣🤣., sasa unaelewa ni kwa nini IMF inakariri bado mnachezea LDC..,
Per Capita income inachukua total production / population .
Kunaweza kukawa na kiwanda kimoja kinachozalisha output ya 750,000,000 ksh na kimeajiri watu 45 ila population ya eneo husika ikawa ni 200,000 halafu kukawa na eneo jingine ambao Kuna wakulima 600,000 waozalisha letsay korosho ya 2,000,000,000 ila total population ikawa 1.5 , hapa per capital income ya eneo a lazima lionekan kubwa huku wanaonufaika wakiwa 45 kwa per Capita ya 3,750 huku eneo b ambalo kimenufaisha watu 600,000 na limezalisha twice ya eneo a likiwa na per Capita income ya 1,333 . In the long run eneo b watu watafanya maendeleo kuliko a sababu ya multiplier effect ambayo imegusa eneo kubwa la watu wengi tofauti na a
 
Hata Tanzania nikikuwekea total revenue collection baada ya dividend kutoka serikali kuu , ni more than ya hiyo niliyokuwekea ila hatuzihesabu hizo kwa sababu makusanyo yake yanakuwa kama dividend tu.
Mfano salaries kwenye local government inatoka central gov huwez ziona kwenye hiyo hesabu na nara nyingi inakuwa 4 times ya hiyo osr
Still Kenya beats you either way on average iwe county ama national., wewe ndio uliweka list ya per Capita, nikaweka top 10 Kenya nikalinganisha na ile top 5 ya Tanzania mlio post., yaani in Kenya top five yenu majority mtaanzia number 15.., ukooo
 
Sasa point yako ni ipi? Ulienda google and simply copy-pasted what it says concerning county government, of which Tanzania haina. So what's your point?.., sioni tatizo, but hiyo revenue yenyewe ya county on average is beating ya your regions in per Capita na bado ni ile kidogo limited ya county., meaning Kenya is far richer than Tanzania economically, Tanzania is richer than Kenya in natural resources. Huo ndio ukweli., same way Tanzania is richer than DRC economically, ila DRC is far richer than Tanzania, Kenya na pia tukijumuisha na Ethiopia kwa pamoja, ikija rasilmali.., but economically Kenya, Ethiopia na Tanzania zimeizidi DRC.., nimetumia mfano ili upate kuelewa.
Osr haipimi resource bali kinachokusanywa na local government kumbuka local government ndo serikali yenyewe kwa kiwango cha constituencies.
Kumbuka kwa mfano kama Nairobi kwenye const. 85 vikao vyote na maendeleo yote ya county ya Nairobi kama street roads yanategemea makusanyo katika county husika na SI dividend kutoka central gov.
Sasa ukiwa na makusanyo kidogo hizo taa za barabaran za dangoret zitatengenezwaje?
 
Still Kenya beats you either way on average iwe county ama national., wewe ndio uliweka list ya per Capita, nikaweka top 10 Kenya nikalinganisha na ile top 5 ya Tanzania mlio post., yaani in Kenya top five yenu majority mtaanzia number 15.., ukooo
Weka top 10 ya osr ya Kenya niweke ya Tanzania tuone 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Still Kenya beats you either way on average iwe county ama national., wewe ndio uliweka list ya per Capita, nikaweka top 10 Kenya nikalinganisha na ile top 5 ya Tanzania mlio post., yaani in Kenya top five yenu majority mtaanzia number 15.., ukooo
Sijaweka list ya per Capita bali ya osr ambayo Nairobi tu Iko chini ya dar kwa tsh 6 bil.
Kumbuka hapo ni kabla billboard na land, building and parking fees hazijaingizwa
 
Hata Tanzania nikikuwekea total revenue collection baada ya dividend kutoka serikali kuu , ni more than ya hiyo niliyokuwekea ila hatuzihesabu hizo kwa sababu makusanyo yake yanakuwa kama dividend tu.
Mfano salaries kwenye local government inatoka central gov huwez ziona kwenye hiyo hesabu na nara nyingi inakuwa 4 times ya hiyo osr
Sisi na uchumi wetu wa makaratasi "as you say" we still collect more revenue than bongoslum. So hata sijui unajaribu kutuambia nini.
 
Still Kenya beats you either way on average iwe county ama national., wewe ndio uliweka list ya per Capita, nikaweka top 10 Kenya nikalinganisha na ile top 5 ya Tanzania mlio post., yaani in Kenya top five yenu majority mtaanzia number 15.., ukooo
Hivi inakuwaje county nzima ikawa na osr ya 713,000 usd /year
 
Blah blah 🚮. And guess what zipo miradi ambazo hujawahi kuzishuhudia hapo kunya. Hopefully mungoje hiyo 30 years enye unasema. 👇🏾View attachment 3358478View attachment 3358476View attachment 3358477miradi kama hio ndio hutawahi kuiona hapo mombasa na village center zingine hadi kiama. 🤣🤣🤣 nane nane exhibition 👇🏾
View: https://youtu.be/LXE1rDJ0hY4?si=Ch7pM9tcVHOprLC7 View attachment 3358479View attachment 3358480.. Dom stadium 👇🏾View attachment 3358481Msalato airport 👇🏾View attachment 3358487View attachment 3358482mombasa your second city itapata miradi kama hii next century. Hizo town zingine hazitawahi pata projects of this magnitude.

Nilikuambia taja Tanzania sio Kenya, Mombasa yenyewe in Tanzania mwenzake ni Dar pekee, ata hauijui, kile imekamilisha miaka mingi vijiji vyenu havifiki Karne hii..., yaani ndio mnaonza kuona estates kando na uswazi mnadhani mko level ya Kenya.., Wacha wageni wawaumbue tu🤣🤣🤣., wanafika kwa grounds upande zote na kutoa verdict., kisha inawauma🤣🤣🤣
 
Bado Umeendelea kuleta blah blah..? Haya enda upumzike huna comeback, sibishani kwenye hakuna mimi. Huna cha kulinganisha unapiga kelele tu. 🤣🤣🤣🤣
 
A week before na hamjawahi leta evidence yoyote zaid ya maneno ebu tupostie collection za counties tuone🤣🤣🤣🤣
Where were you when I posted pdf link ya KNBS?.., nikalinganisha na yenu., yaani hamtoshi, Tanzania ni taifa fukara sana., all information is available in the internet., both for Tz and Kenya.., I don't know why you are arguing? Unajaribu kusema nini or what us your point?.., kwa vile ukweli unabakia pale pale.., or prove me otherwise..,
 
Back
Top Bottom