Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuwaita hawa jamaa nyang’au😎😂
Kenya ni nchi ya ovyo.

Imagine kipindi hicho tunapambana kwa kushirikiana na kila mtu mwema anayepambana kuwaunga mkono Africa Kusini na utawala wa ubaguzi wa Rangi.

Kenya wao walikuwa wanafanya biashara na makaburu.

Hiyo tabia mpaka leo wanayo.

M23 wanafanya vikao Kenya.

Kuna genge linapigana na serikali ya Sudan, RSF wanafanya vikao wanafanyia Kenya.
 
Labda air tanzania iwe stunted na iache kutumia Dar kama hub ya ku conncet
Jana kuna mahali nimesoma tayari imeishaipiku na itabaki hivyo mpaka hiyo Air Tanzania ianze kuruka kwenda ulaya!

IMG_1986.png
 
Kenya ni nchi ya ovyo.

Imagine kipindi hicho tunapambana na kioa.mtu mwema anapambana kjwaunga mkono Africa Kusini na utawala wa ubaguzi wa Rangi.

Kenya wao walikuwa wanafanya biashara na makaburu.

Hiyo tabia mpaka leo wanayo.

M23 wanafanya vikao Kenya.

Kuna genge linapigana na serikali ya Sudan, vikao wanafanyia Kenya.
According to 👇🏾👇🏾👇🏾


images (72).jpeg
 
Hua wanacheka Kenya yet they are at the bottom of the pit.🤣🤣 Yani bongoslum has budgeted for Ksh 36 billion for development. 🤣🤣🤣 Ohhh sijui GDP yao iko understated, lakini the budget never lies. LDC ni LDC tu.


View: https://x.com/MwangoCapital/status/1930527581482463432?t=6t9GEJwgW6KobKhqgJcFhw&s=19

Fool that is Ministry of finance budget! Keep being desperate by pushing lies!


View: https://x.com/dailynewstz/status/1930512704143241712

U even got answered by GROK

View: https://x.com/grok/status/1930555658296037413
 
Ministry of Finance accounts for half of your entire national budget. The narrative is still the same. You are in the pits.
Mzee jifunze kuhusu nchi zinavyojiendesha. Malipo yote ya madeni ya nchi yanafanywa na wizara ya fedha. Sasa unataka malipo ya madeni yafanye na wizara ya ulinzi? Stupid Kundudweller
 
Back
Top Bottom