NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,048
- 19,248
Hii ni mikocheni?Hii ni google earth image 2025 eti🤣🤣🤣🤣,mwehu limekwepa🤣🤣🤣🤣., leta google earth ya hizo list kila eneo, Anika humu wazi wazi tujionee, mbona unaogopa??
Kwa ground 2025 hakuna sehemu inafanana hivyo, this👇 is that pipeline leo hii, na sehemu zingine, mmeshindwa kabisa, ukweli inawaumiza mnatamani tufanane ila mko peke yenu kwa ufukara wa kutupwa
View attachment 3358316
View attachment 3358315
View attachment 3358317
View attachment 3358318
View attachment 3358319
View attachment 3358320
View attachment 3358321View attachment 3358322
View attachment 3358323
Per capita ipi mzee.? ile uliweka juzi nikakuaziri.?🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hizi nikama ndoto za alinacha., kushirikisha ubongo hauna.., if I put here county by county with per Capita income tulinganishe na Tanzania utaona aibu mlio nayo.., yaani on average Kenya imewaacha mbali.,
Mbona unasema ukweli humu, utanyongwa na wenzio🤣🤣🤣🤣Sgr imegotea Dodoma hapo huko mbele hamna chochote kinachoendelea by now phase 5 inabidi iwe imekamilika 100% awamu 3 na 4 zinafaa ziwe zaidi ya 60% ila serikali na trc wapo kimya ili jambo tunalikwepa kwepa umu ila ndio uhalisia wenyewe ila kila mwaka tunaskia budget imeongezeka
Jibu yangu kwanza.., google earth ya hayo maeneo picha yako imetaja eti ni slums..,Kisha niambie source ya hiyo map yako ni nani? nilikupea list na link ya google earth ama hauna bando?Hii ni mikocheni?
Mzee hujanipa jibu kuhusu njaa ya kenya, itaisha lini?Jibu yangu kwanza.., google earth ya hayo maeneo picha yako imetaja eti ni slums..,Kisha niambie source ya hiyo map yako ni nani? nilikupea list na link ya google earth ama hauna bando?
Google Earth
earth.google.com
Na tunaona matokeo., nyie mnatafunwa na miradi haisongi., maisha ni yale yale, uswazi zinazidi kusambaa taifa mzima., hamna nafuu yoyote., Kisha serikali imewabana hamna sauti., mtafinywa mkipiga kelele jiangalie sana,Siyo hoja. Hoja ni nini sasa?
Affordable housing ni deductions kutoka salary slip za wafanyakazi.
Wizi tu, mmekubali.
The issue ni kwamba your tax money is HEAVILY eaten by your political CLASS.
Ukweli imeingia penyewe 🤣🤣Kundudwellers kujipa umuhimu wa kijinga. 98% ya wakenya ni wavuta bangi
Unapata moyo.? 🤣🤣🤣 maumivu ni yale yale. Hii ni video ipo released 2 weeks ago. From Morogoro to Makutopora 👇🏾Mbona unasema ukweli humu, utanyongwa na wenzio🤣🤣🤣🤣
Ukweli upi. Ukimuona mkenya anasema jambo kuwa ni ukweli ujue njaa imemshika. Umekula?Ukweli imeingia penyewe 🤣🤣
Nionyeshe njaa ilikua lini mwisho Kenya?.., nitaendelea kuwa aibisha humu na facts mtanyooka mpende msipende..Mzee hujanipa jibu kuhusu njaa ya kenya, itaisha lini?
Tueleze, njaa lini itapotea kundustan?Na tunaona matokeo., nyie mnatafunwa na miradi haisongi., maisha ni yale yale, uswazi zinazidi kusambaa taifa mzima., hamna nafuu yoyote., Kisha serikali imewabana hamna sauti., mtafinywa mkipiga kelele jiangalie sana,
Per capital income inajumlisha hela inayotoka central government inamaaanisha makusanyo ya kra. Hii haikasi uhalisia wa eneo husika bali county revenue inaakisi hali halisi ya economic activity husikaHizi nikama ndoto za alinacha., kushirikisha ubongo hauna.., if I put here county by county with per Capita income tulinganishe na Tanzania utaona aibu mlio nayo.., yaani on average Kenya imewaacha mbali.,
Lini njaa imeisha kundustan? KwikwikwikwiNionyeshe njaa ilikua lini mwisho Kenya?.., nitaendelea kuwa aibisha humu na facts mtanyooka mpende msipende..
Miradi ipi ambayo haisongi we mpumbavu.? 🤣🤣🤣🤣 nikishusha miradi ya bongo utakua na comeback yoyote we kichaa.? Labda uombe usaidizi kutoka Uganda 🤣🤣Na tunaona matokeo., nyie mnatafunwa na miradi haisongi., maisha ni yale yale, uswazi zinazidi kusambaa taifa mzima., hamna nafuu yoyote., Kisha serikali imewabana hamna sauti., mtafinywa mkipiga kelele jiangalie sana,
Unatafuta pakutokea eti?🤣🤣🤣🤣., njia ya kukwepa kujibu kiukweli.,Ukweli upi. Ukimuona mkenya anasema jambo kuwa ni ukweli ujue njaa imemshika. Umekula?
Per Capita sio Capital, na naongelea ya counties.., ama umekurupuka tu bila kusoma na kuelewa? Mbona zezeta hivi?🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,Per capital income inajumlisha hela inayotoka central government inamaaanisha makusanyo ya kra. Hii haikasi uhalisia wa eneo husika bali county revenue inaakisi hali halisi ya economic activity husika
Dunia yote inajua kundudwellers njaa ni kali. Tuambie lini njaa itaisha?Unatafuta pakutokea eti?🤣🤣🤣🤣., njia ya kukwepa kujibu kiukweli.,