Mkuu Tayana,

Ulishawahi kufanya kitu halafu baada ya kukifanya unashangaa nimefanyeje hichi kitu mimi?!!

Hufikirii labda kulikuwa na dawa zingine walizotumia ambazo huenda akili isiwe sawa?

Hata mimi nashangaa kwanini alifungua mlango.

Ila kuna situation unaweza kufanya vtu halafu bado unabaki kama umepigwa butwaa imekuwaje
Mkuu!
Hapana mimi nitasema hapana..
Hii kitu inatia mashaka sana
Kuanzia ilivyokuwa mpaka ilivyotokea..

  • Swali La kwanza....
Kwanini kaka yake alipofunguliwa Mlango alimuangalia Hakimu moja kwa moja Sehemu zake za siri na sio sehemu nyingine..?

Na alishtuka alipoona sehemu zake za Siri zimesimama na hapo hapo akakimbia kwenda kumuangalia Mdogo wake ..Hii mantiki haiingii akilini Kabisa kipi kilimfanya Yeye ahisi Mdogo wake kafanyiwa kitendo hicho maana Kusimamisha kwa mwnaume Kunaletwa na mambo mengi na sio Lazma kufanya kwanini moja kwa moja amfikirie mdogo wake tena mwenye miaka 29 baada ya kuona hakimh kasimamisha?

  • Swali la 2....
Mtoa taarifa anasema Kuwa yeye ni kaka Yake na yule jamaa (Mlawitiwa) Alikuwa anaishi kwenye chumba kimoja na aliishi peke yake..
Kaka yake hakuwa na Pa kuishi? Alienda kufanya nini Usiku wa Saa tatu nyimbani kwa mdogo wake?

  • Swli la 3
Kumkuta Mdogo wako.kalala Ndani uchi, Na kumkuta Hakimu sebuleni Kasimamisha haisuggest kuwa huenda hakimu Alimfanyie kitu mdogo wake..Labda kama kuna Ushahidi mwingine uliomfanya Yeye kuita watu na kumfanyia ukagusi Mdogo wake..

  • swala la 4
Kuwepo kwa michubuko Haja kubwa pekeee hakujustify kwamba kabakwa au kalawitiwa ..

I Think kuna kitu Beyond Our understanding..
lets Just kukichimba..
Na ili ukipate hicho kitu fatilia Miondoko ya hakimu fatilia Kesi zote alizoamua..

Fuatilia kama Kuna ugomvi wowote aliokuwa nao na jamii fuatilia Kama kuna kesi aliyowahi kuiamua Ilikuwa Against serikali.na akaaendelea kushika misimamo yake fuatilia Tabia zake..
Kama hakuwa na Viashiria vyovyote vya matukio hayo hapo.awali BHASI JIBU NAFIKIRI UNALO
 
Sheria haisemi hivyo, sheria inasema kuwa hiyo hali ya Ulevi Inatakiwa iwe Imesababishwa na mtu mwingine, yaani hakimu awe ameleweshwa na mtu mwingine sio yeye.
Ishu ni ile ile.. kwamba alilewa. Na walikuwa wanakunywa wote hizo pombe.
 
Kijana huyo alipelekwa katika hospitali ya Wasso kwa matibabu na taarifa za daktari zimethibitisha kuwepo na michubuko sehemu za haja kubwa pamoja na mbegu za kiume.
Ina maana akina mama wa Loliondo wako expensive kuliko bodaboda?
 
Mkuu!
Hapana mimi nitasema hapana..
Hii kitu inatia mashaka sana
Kuanzia ilivyokuwa mpaka ilivyotokea..

  • Swali La kwanza....
Kwanini kaka yake alipofunguliwa Mlango alimuangalia Hakimu moja kwa moja Sehemu zake za siri na sio sehemu nyingine..?

Na alishtuka alipoona sehemu zake za Siri zimesimama na hapo hapo akakimbia kwenda kumuangalia Mdogo wake ..Hii mantiki haiingii akilini Kabisa kipi kilimfanya Yeye ahisi Mdogo wake kafanyiwa kitendo hicho maana Kusimamisha kwa mwnaume Kunaletwa na mambo mengi na sio Lazma kufanya kwanini moja kwa moja amfikirie mdogo wake tena mwenye miaka 29 baada ya kuona hakimh kasimamisha?

  • Swali la 2....
Mtoa taarifa anasema Kuwa yeye ni kaka Yake na yule jamaa (Mlawitiwa) Alikuwa anaishi kwenye chumba kimoja na aliishi peke yake..
Kaka yake hakuwa na Pa kuishi? Alienda kufanya nini Usiku wa Saa tatu nyimbani kwa mdogo wake?

  • Swli la 3
Kumkuta Mdogo wako.kalala Ndani uchi, Na kumkuta Hakimu sebuleni Kasimamisha haisuggest kuwa huenda hakimu Alimfanyie kitu mdogo wake..Labda kama kuna Ushahidi mwingine uliomfanya Yeye kuita watu na kumfanyia ukagusi Mdogo wake..

  • swala la 4
Kuwepo kwa michubuko Haja kubwa pekeee hakujustify kwamba kabakwa au kalawitiwa ..

I Think kuna kitu Beyond Our understanding..
lets Just kukichimba..
Na ili ukipate hicho kitu fatilia Miondoko ya hakimu fatilia Kesi zote alizoamua..

Fuatilia kama Kuna ugomvi wowote aliokuwa nao na jamii fuatilia Kama kuna kesi aliyowahi kuiamua Ilikuwa Against serikali.na akaaendelea kushika misimamo yake fuatilia Tabia zake..
Kama hakuwa na Viashiria vyovyote vya matukio hayo hapo.awali BHASI JIBU NAFIKIRI UNALO
Mkuu,

Hakika umenifikirisha sana!
Kuna mtu mmoja huko juu alisema huenda watu wanajaribu kuua career ya huyu ndugu hakimu.

kuna mambo huenda alifanya au alitenda haki kinyume na wengi kupenda katika kesi zake, hivyo ili kumpoteza wakaamua kutumia njia hii.

Lakini huyu msimuliaji anavyosema akakuta wanakunywa pombe ndani huku mtuhumiwa ndio aliyenunua alijuaje kama mtuhumiwa kanunua?

Na usiku huo alifata nini kwa mdogo wake? Wakati mdogo wake mara nyingi anakaa peke yake?

kitendo cha polisi kufika hapo haraka, jamaa kufungua mlango haraka bila kusika kina walakini sana.

Vipi kama bodaboda na kaka walitumiwa na watu kumtia hatiani hakimu?

Hapa mkuu umenena vyema sana, kuna interest huenda zikawa zinagombaniwa aidha ni cheo, au kwenda kinyume na maagizo.
 
Juzi kinondoni katikati ya studio na mkwajuni mida ya saa sita za usiku. Kwa mara ya Mwanza nikaona wapenzi wa kiume. Walitembea free kabisa wakishikana shikana. Na wakifika kwenye kiza wanapigana denda. Mwanzoni nilidhani ni mtu na mwanamke wake lakin nilipowasogelea zaidi nikaona ni vijana wadogo early 20s na wote ni wanaume na wataonekana washikaji kabisa
Kusema ukweli kuwa uyaone...nilichukua picha kwa kuibiaibia.
 
Attachments

  • PXL_20240202_201844324.jpg
    PXL_20240202_201844324.jpg
    2.5 MB · Views: 4
  • PXL_20240202_201844490.jpg
    PXL_20240202_201844490.jpg
    2.4 MB · Views: 3
  • PXL_20240202_202406442.jpg
    PXL_20240202_202406442.jpg
    2.1 MB · Views: 4
Back
Top Bottom