technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Wakati anamteua Doto Biteko na kumwapisha alituaminisha kwamba katoa miezi 3 tatizo la umeme likome lakini sasa ni miezi 8 imepita!
Vipi Bwawa la Rufiji lini linaanza kazi?
Vipi maji yakikauka tena mwezi 8?
Mgao umeisha au bado upo?
Mbona makampuni ya kuuza solar na generator yanaongezeka kwa kasi kuna nini?
Rais awaanbie ukweli Watanzania mafisadi ya umeme yamemshinda.