wote

  1. JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Jeshi la Polisi liwe fair kwa watu wote bila kujali itikadi zao za kisiasa

    Kwa mara ya kwanza leo Masoud Kipanya ameanzisha mjadala wenye heshima kwa Radio Clouds. Ameanzisha mada ya kumuonya IGP Sirro baada ya magazeti kum-quote akionya wanasiasa kwa kauli ziwezavyo kuchafua amani. Wamemhoji mbona kuna mtu kila siku anajirekodi na kurusha habari za uchochezi akiwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kweli nimeamin Wanachama, mashabiki na wapenzi wa Timu ya Yanga linapokuja swala la Timu ya Yanga wote wanakuwa na akili sawa!!

    Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!! Imagine mwandishi eti anahoji mbona Morrison alikubali kwenye audio clip badala ya kuhoji Mkataba ni OG au Fake! Imagine mtu mwenye akili...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Msipompitisha Lissu watampigia Membe, msipompitisha Membe watampigia Rungwe, msipowapitisha wote raia watasusia uchaguzi

    Tunawaambia ukweli kabisa, ili mnapofanya maamuzi yenu mkae mkijua raia wamechoka na hizo ndizo options walizonazo. Kimbilio la wengi kwa sasa ni Lissu. Ila kwa sababu kuna kila dalili ya kukatwa, basi option ya pili waliyonayo raia ni Membe. Mkimkata na yeye raia wanaona ni bora hata wampe...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Lebanon yajiuzulu baada ya mlipuko wa Beirut. Waziri Mkuu asema ufisadi uliopo ni mkubwa kuliko taifa lenyewe

    Serikali ya Lebanon imejiuzulu takriban wiki moja baada ya kutokea mlipuko mkubwa mjini Beirut, huku Waziri Mkuu Hassan Diab akilaumu ufisadi kama chanzo cha ajali hiyo Katika hotuba yake, Diab amesema kilichotokea ni matokeo ya ufisadi ulio mkubwa kuliko taifa lenyewe na kwamba anaachia...
  5. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  6. JamiiForums Tanzania Ijumaa ya Kwanza ya Agosti: Siku ya Kimataifa ya Bia. Kunywa Bia kufurahia wote wanaohusika katika utengenezaji wake

    Bia ni moja ya vinywaji vya zamani vinavyojulikana. Siku ya Bia Duniani inawapa wapenzi wa kinywaji hicho sababu moja zaidi ya kunywa kila Ijumaa ya kwanza ya mwezi Agosti Siku hii ilianza huko Santa Cruz, California, kusherehekea Wataalamu wa kusindika na kuthamini wale wote wanaohusika katika...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Sababu 11 kwanini Lissu atapata ushindi wa asilimia ndogo kuliko wote tangu 1995

    1: JPM anamengi yakuonekana aliyofanya kwa wananchi Lissu hata jimbo lake tu hakuna chochote cha kuonyesha. 2: Kila vita anayoingia JPM anapata ushindi au nusu ushindi (MAKINIKIA) wa kugusika, Lissu ni nusu ushindi au ushindi wa maneno. 3: Lissu amejipanga kutumia tuhuma kujinadi wakati JPM...
  8. JamiiForums Tanzania Hata msipotwaa urais, ACT-Wazalendo mmefunika wote 'kifashoon'

    Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners". ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea? Maybe haziwasaidii lakini kongole lazima wapate. I am not too political hivyo hata nikiangalia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU ya mwaka huu ni butu, Magufuli tumbua wote ili isukwe upya

    Sitaki kuamini mpaka leo tunavyoongea kura za maoni zimemalizika ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hatujaona mahabusu mbalimbali zikijaa waliokuwa Wagombea au watia nia ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Hizi ni dalili kuwa TAKUKURU hawana nia ya dhati kupambana na rushwa bali ni wapigaji tu na...
  10. JamiiForums Tanzania Putin ndiye tajiri kuwazidi wote duniani, ila ni msiri wa ajabu

    Mali yake imefuatwa kimya kimya na kukadiriwa kuwa $200b, hiyo ni sawa na ukijumlisha GDP ya mataifa kama saba hivi ya Afrika, lakini jamaa ni msiri kupita maelezo............ They say money equals power, and Vladimir Putin has plenty of power of right now. But how much money does he have...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa: Imani za kishirikina nyumbani Lupaso zilisababisha Mama, bibi na bibi yake mama kupigwa na kuteswa kwa tuhuma za kusababisha ukame

    Kisa hiki kipo kwenye kitabu chake na kinasimuliwa na Profesa Mkandala Kutokana na Familia ya Mkapa kuonekana inajiweza kidogo ilionewa wivu na chuki, Mwaka 1947 kulitokea ukame mkali watu wakamleta mganga wa kienyeji pale Kijijini kwao Lupaso, wakaamua Mama mzazi wa Mkapa, bibi yake na Bibi wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka

    "Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!" Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema: "Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo" Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko...
  14. JamiiForums Tanzania JAY Z: Malumbano ya familia/ Kumpiga kaka yake RISASI / Usaliti kwa Beyonce/ Msamaha na Funzo kwa mabaharia wote

    Nampenda Jay kwasababu anaimba na kuandika maisha yake halisi. Ukisikiliza nyimbo yake ya You Must Love Me na Kill jayz, amewahi kutaja kisa cha kumpiga risasi kaka yake, akiwa na umri wa miaka 12. Walipitia maisha magumu na familia yake na ni msimu ambao hata baba yake aliitelekeza familia...
  15. JamiiForums Tanzania Baba na Mama wote ni O+ Inakuwje mtoto ana A-?

    Habari zenu wadau, Nina serious issue, inanisumbuaga miaka nenda rudi, nashindwa kuelewa, whether ni uelewa wangu mdogo wa group za damu au la? Ninaomba msaada kwa mtaalamu anayeweza kunidadavulia,nitashukuru sana. Inawezekanaje Baba na Mama wote wakawa O positive na kuzaa mtoto mwenye damu A...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi

    Hii haivumiliki na GENTAMYCINE nasema tena kuwa hii haivumiliki na namuomba Waziri wa Michezo aamuru Jeshi la Polisi nchini Tanzania chini yake IGP upesi sana wamsake (wamtafute) popote pale alipo Kocha wa Yanga SC Raia Ubelgiji Luc Eymael kwa ‘ Matamshi ‘ ya Kuidhalilisha Tanzania na hadi Sisi...
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki maandamano yenu Jumatatu kumpokea Lissu, tuko katika msiba mkubwa wa kitaifa wa Marehemu Benjamin W. Mkapa

    Kama kichwa kinavyojieleza hatutaki kuona maandamano yenu Jumatatu kwa kumpokea mtu wenu huyo tuko katika majonzi makubwa kwa kuondokewa na Rais wetu mstaafu marehemu Mhe. Benjamin Mkapa. Na Mungu wetu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa zamani wote wameshinda kasoro 35 tu, inamaanisha nini?

    Kitu ninachojiuliza Kama wabunge karibu wote wa Bunge lililopita wengi wamerudi basi bunge lijalo litakuwa halina tofauti sana na ndo maana najiuliza huenda Spika Ndugai alijua hadi akawahakikishia wabunge wa CCM kuwa wote watarudi na mwezi wa 11 Mh Kessy alete hoja yake ya kubadili katiba ya...
  19. JamiiForums Tanzania Uingereza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni nchini humo kusajiliwa kwenye daftari la wapelelezi wa kigeni

    Serikali ya uingereza inafikiria kuanza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni(foreign spies) wanao ishi nchini humo kusajiliwa kwenye register ya wapelelezi wa kigeni. Wapelelezi wote wanaishi kwa mwamvuli wa diplomasia au diplomatic missions kwenye balozi zote nchini humo wanatakiwa kusajiliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu. Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…