Jana saa nane ya usiku dege la fly Emirates lilitua uwanja wa kimataifa wa BoT kushusha maburungutu ya T-shirts za wabunge. Wengi wao wameona sms zao walipoamka asubuhi. Hivyo wana furaha hasa wale wa CCM ambao wao huangalia zaidi mavazi yao kuliko kitu kingine! Sasa kwa hizi T-shirts za full...
Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe.
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali.
Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
Hivi kila aliye hamia CCM anadhani atapewa cheo kwenye Serikali au atateuliwa kuwa Mbunge? wanachama wa CCM waliokuwepo miaka yote watakuwa wamepoteza mvuto hadi hawa wageni kwenye chama wachaguliwe kuwa wabunge na wapewe nafasi ya uongozi Serikalini. sasa hapa ndio Mwenyekiti wa CCM anatafuta...
Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano.
Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
Nilipokuwa nikisoma kuhusu dada yake kiongozi wa Korea Kaskazini aitwae Kim Yo-jong nikapata kidogo ufahamu wa chumba kiitwacho Room 39 ambacho inasadikiwa kuwa mume wake dada huyo aitwae Choe Song ambae ni mtoto wa mtumishi wa serikali Chong Ryong-hae nae anafanya kazi ndani ya chumba hicho...
Nimeshaandika mara kadhaa kupitia hapa JF kuwa kuna pigo linaweza kuja kuwapata watu fulani na hakika pigo hili ni dhahiri litatimia kwani watu hawa wameendelea kujisahau sana na wanaendelea kumkufuru Mungu (Nature).
Niwaambie tu watu hawa kuwa linaweza kushuhwa pigo takatifu litalobadili kila...
Nakuja kwenu kwa Mara nyengine nikiwa na maombi ya kupata fursa ya kushiriki katika tasnia ya Ujenzi nikiwa ni kama Mhandisi wa Ujenzi, matamanio yangu ni kutumia ujuzi na Elimu yangu katika kuongeza thamani ya Kazi za Kampuni au taasisi, kushiriki katika kuhakikisha malengo yaliyowekwa na...
Juzi juzi wote tuliona Marais wote (yaani na wale wataafu) wakiwa Dodoma, wakapewa ndege tausi na wakashuhudia uzinduzi wa Jumba Jeupe la Dodoma.
Katika kikao hicho uwezekano mkubwa kuna mambo muhimu sana yalijadiliwa. La kwanza kabisa hata kabla ya kujua yale ya undani zaidi tuliona jinsi...
Kama utaniuliza bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni nitalikumbuka kwa jambo gani basi nitakuambia lilijenga nidhamu miongoni mwao na wananchi kwa ujumla.
Wabunge walioadhibiwa ni pamoja na Nassari, Godbless Lema na Makamu wa Rais bunge la Afrika mh Maselle.
Viongozi waliohojiwa ni pamoja na...
MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA
Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba.
Hii inatengeneza tabaka la...
Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG.
Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za...
Salaam Wakuu,
Kuna kipande kidogo cha video kinasambaa Mtandaoni, James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akielezea kusikitishwa kwake na wanaomuona kwamba anavunja nguvu upinzania.
Hapa chini nmenukuu kile alichokiongea na kukiandika hapa chini.
Ameanza kwa kusema:
"Mimi ni Mbunge wa...
Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni...
Songwe: Mkuu wa mkoa wa Songwe, Mhe. Brg. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa mwezi moja kwa wakuu wa Wilaya Mkoani humo kuhakikisha kila mfanyabiashara mdodo anakuwa na kitambulisho cha mjasiriamali mdogo.
Mkuu Wa Mkoa Wa Songwe ametoa agizo hilo alipokuwa anawakabidhi wakuu wa wilaya na...
Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona
=======
It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have contracted Coronavirus (Covid-19).
Sources in Bujumbura close to Presidency indicate that soon after the...
Mmarekani mweusi alieuwawa na polisi mjini Minnesota wiki hii bwana George Floyd na askari Derek Chauvin anaetuhumiwa kumsababishia kifo baada ya kumuwekea goti shingoni wote walikua wanafanya kazi kwenye night club moja kama walinzi wa usalama au security guards.
Derek amekua mlinzi wa club...
Leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya 'Hedhi kwa Wanawake' wote walio Hai Mimi naona nami hapa hapa nitoe Ushauri wangu Kwao...
1. Wawe wanazitupa vyema pale wanapomaliza Kuzitumia.
2. Wakiwa katika Vyoo vya Maofisini wahakikishe wawe wanazisukuma vizuri na Maji ili zisibakie.
3. Waache Kutumia...
FURAHA NA HAKI SAWA KWA WOTE
Waasisi wa The Civic United Front(CUF-Chama Cha Wananchi) walikutana katika Ukumbi wa Starlight Hotel, Mjini Dar es Salaam tarehe 20-21 Novemba 1992 walitoa Tamko ambalo ni Utangulizi wa Katiba ya Chama Chetu. Katika Tamko hilo walieleza kuwa:-
"Sisi Watanzania...
Hii ndiyo Taarifa mpya kwa sasa kutoka kwa Profesa Lipumba , aliponukuliwa akiongea kwa huruma kubwa na EA TV .
Amewaomba wale wote wenye nia ya kugombea Urais , Ubunge ama udiwani wajitokeze kuomba ridhaa hiyo kupitia CUF , huku taarifa zikionyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa chama hicho...
Mzuqa
Yani wote majina yao ya mwanzo ni ya Kiingereza na Kiyahudi (Anglo-Hebrew). Uingereza kweli iliwainfluence hawa watu.
Wareno nao hatari, japo Ufilipino Kireno siyo kwa sana lakini kwenye majina yao ni ya Kireno.
Sasa hapo Angola dah yani karibu wote wanaongea Kireno na majina ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.