wote

  1. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Wale wote ambao Waliishia tu kwenye Interview za kutaka kuingia JKT tusimuliane ilikuwaje

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016 Mkoani Ofisi ya Mkuu wa Wilaya nimeingia pale ndani nikiwa nimeshavaa kiheshima mpaka basi, Nimekutana pale Wanajeshi tofauti wenye Vyeo wamezunguka Meza huku ya Veti vyangu Original vinazunguka Mikononi Mwao, Yani nilitegemea ntaulizwa Mambo kama Mkuu wa majeshi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Angalizo: Kumdhibiti Godbless kunahitaji " timing" vinginevyo watatumbuliwa watendaji wote wa Arusha!

    Si kwamba Lema ni mwanasiasa mzuri sana au utendaji wake ni wa viwango, kiukweli huyu jamaa ametokea tu kukubalika. Inahitajika saikolojia ya viwango kuweza " kumfifisha" huyu jamaa mbele ya machalii wa A - town na siyo hii ya kuadhibu wataalamu barabarani kana kwamba nao ni wanasiasa. Watu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu

    9 Julai 2020 Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu Source : Jenerali Online Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

    Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania na Wananchi wao wote Matapeli tu. Huu ushahidi

    Miezi kadhaa Ago Ndugu Gwajima alikuwa Shujaa sana wa Chadema kwa kuongea kwake pumba na maneno ya hovyo hovyo.sisi wenye akili hatukuwa tunakubaliana naye. Hata ile Video ya Mkono wa Baunsa CCM waliisimamia kuwa ni yeye na Chadema wakasema si yeye ni Mkono wa Baunsa. Leo imekuwa kinyume. CCM...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  7. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Anguko kubwa kwa watu wote maarufu wanaodandia siasa za CCM wakati wa uchaguzi

    Mwaka huu wa 2020 kuna uchaguzi mkuu, kumekuwa na heka heka kila kona ya nchi, katika vyama mbali mbali watu wakipigana vikumbo kuomba kugombea nafasi mbali mbali, hususani viti vya ubunge. Kwa leo hapa nitajikita kuchambua heka heka hizo kwa nafasi ya ubunge hasa kwa chama cha mapinduzi (CCM)...
  9. Zegota

    JamiiForums Tanzania Nilimpenda mdogo mtu, Dada mtu akanipenda zaidi hali iliyopelekea kuwa nao wote kwenye mahusiano

    Mapenzi bhana. Kuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio macho na hisia zangu ziliangukia kwake, alifanya kila weekend nisafiri kutoka Mtwara nilipokuwa kikazi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wote wasifiwe kwa kujilinda na korona, Mungu ashukuriwe inaisha.

    Sasa naamini Mungu anailinda Tanzania na korona, lakini pia sababu sisi ni wasafi sana kuhusu pua na mdomo, tunakinyaa cha vyote kutoka puani na mdomoni. Yaani dunia nzima inavyoogopa korona na bado kuipata kwa wingi zaidi, pamoja na lockdown zao kali za hata kuuwa wananchi wasiofuata sheria...
  11. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kugombea Urais ruksa hata Wabunge wote lakini kugombea Uenyekiti unatafuta matatizo makubwa na ni hatari sana

    Ndani ya CHADEMA democrasia zero lakini wakiwa nje ya CHADEMA democrasia 100% Kuna wakati nakumbuka walikuwa wanamsema marehemu Nkurunzinza na Kagame wanang'ang'ania madaraka wakati wenyewe Mzee Mbowe anavipindi zaidi ya vinne ofisini, ni ngumu sana mtu kuwaelewa hawa watu. Leo hii wameweka...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

    na #TUNDU_LISSU Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema; Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu. Wakifanya hivyo basi...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya Serengeti, watunukiwa vyeti vya heshima

    Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki: Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeishiwa kupendwa wabunge wote wanaohama vyama mbalimbali hakuna anayeenda CHADEMA wanaenda vyama vingine

    Moja ya sifa ya chama kupendwa ni kuangalia wabunge wahama vyama CHADEMA imepoteza mvuto wa kupendwa. Wabunge wake wengi wanaondoka chadema kwenda vyama vingine na wanaohama vyama vingine hakuna hata mmoja hadi sasa aliyehama chama chochote kuelekea chadema!! Hata chama kidogo Kama ACT...
  16. Agustin jr

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili combination ya HGL kwenda CBG huku nikiwa na F ya hesabu?

    JAMANI naomba kujua nitawezaje kubadili combination ya HGL ambayo nimepangiwa,ingawaje na combination ya CBG,imebalanca lakini mathematics nimepata alama "f" Naombeni mnisaidie wakuu
  17. K

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi,

    Mimi ni mgeni humu ndani, nawapenda wote
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma. Maendeleo hayana vyama!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Wahuni Wote Peponi

    Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wachezeeni na Waibieni Watu wote wa Makabila mbalimbali nchini Tanzania, ila Kaeni mbali kabisa na Wazanaki

    Watu wawili wakazi wa kijiji cha Busegwe wilaya ya Butiama mkoani Mara wanaodaiwa kuwa ni wezi wa ng’ombe wamejikuta katika hali ya kula majani na kung’oa majani mithili ya ng’ombe baada ya kuiba ng’ombe wanaodaiwa kuwa na thamani ya shilingi milioni mbili. ITV Tanzania Wewe eneo limetoa Raia...
Back
Top Bottom