Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi.
Wakati wa mchana, hakikisha mlo wa mchana unakuwa kati ya saa sita mpaka saa saba mchana ulivuka hapa we...
Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme.
Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga?
Pili tafakurini wote...
Pope Francis ni mwanasayansi aliyesoma Chemical Technician huyu anasemekana kuwa ni miongoni mwa watu wenye akili nyingi zaidi Duniani
Angel Merkel huyu mama mjerumani ana degree ya Physics masters ya Physical Chemistry ni miongoni mwa viongozi wenye mvuto zaidi Duniani na ushawishi mkubwa sana...
Nawatakia wanahabari wote, ikiwemo timu nzima ya Jamii Forums, maadhimisho mema ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hii ni tasnia ngumu sana na inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Ukipewa jukumu la kutetea ukweli, ni rahisi kutengeneza maadui wengi, hata wale wanaokolewa na ukweli huo.
Tuzidi...
Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi .
Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
Salaam Wana jamvi, leo ni siku kuu ya wafanyakazi wote duniani. Ni siku ambayo wafanyakazi wakada mbalimbali hukutana pamoja na kupongezana kwa kazi nzuri wanazo fanya ili kuhakikisha maisha ya watu yanasonga.
Tofauti na miaka yote wafanyakazi wetu hawatafanya sherehe kutokana na tishio la...
Hii ni picha ya hakimu katika jimbo la Ohio nchini Marekani anayeitwa Michael Scott. Hakimu huyu amevuta hisia za watu kutokana na hukumu anazozitoa dhidi ya wahalifu wanaokwenda kinyume na sheria kwa mujibu wa makosa yao.
Aliwahukumu watu 7 wapande miti 70 baada ya watu hao kukata miti katika...
Nchini singapore ni kosa mtu kutoka bila kuvaa barakoa/ mask ! endapo hili litakiukwa mtu atalipishwa faini ya $300 na akirudia atalipishwa $1,000
Czech republic na slovakia ni nchi nyingine ambazo zimepitisha sheria ya kila mtu lazima avae barakoa ili kupambana na ugomnjwa huu wa COVID19...
Ujumbe wake huu hapa chini kupitia twitter:
Wabunge wote mliopo Dodoma muwekwe karantini, mpimwe na mfuatiliwe ( contact tracing ). Minister Mwalimu there shall be no two set of laws - for MPs and for the people. Wabunge watengwe, wapimwe na wafuatiliwe. Tulishauri toka mwanzo kuwa Bunge...
Leo mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amezindua utaratibu wa kupulizia dawa mabasi yote na vyombo vingine vya usafiri mkoani humo.
Katika tukio la kushangaza wananchi waliokuwepo stendi kuu kushuhudia zoezi hilo walimtaka mkuu huyo wa mkoa kutoa agizo la kuwaweka katika Karantini abiria wote...
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania umesema Wadau wote wa Mahakama pamoja na Wananchi kwa ujumla watakaofika Mahakamani kuanzia Jumatatu Aprili 20, 2020 watatakiwa kuvaa Barokoa
Hatu hii ni moja ya mikakati iliyowekwa na Mahakama katik kuzuia kuenea kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa wateja wake...
Maajabu ya Cheetah mnyama anayekwenda mbio zaidi kuliko wanyama wote nchi kavu.
Huyu ni katika wanyama jamii ya paka, na anafanana zaidi na mnyama anayeitwa puma. Cheetah ni mnyama mwindaji kama walivyo chui, simba na mbwa mwitu. Ijapokuwa cheetah wanafanana kwa sura na maumbile lakini unaweza...
Kwenye siasa, ambamo nimo kwa miaka takribani arobani, timu hazikosekani. Kuanzia kwenye vyama vya siasa na hata kwenye chaguzi, ushindi hupatikana kupitia timu. Timu huratibu bila tabu; hutibu kama tabibu; hunogesha kama mkesha na hurekebisha kama maisha. Timu ndiyo kila kitu kwenye siasa na...
Ndiyo ! Hayo ni maoni yangu ya dhati kabisa ili kupunguza matumizi ya fedha za umma
Tanzania ina halmashauri 185 tu ambazo zingetosha kabisa kuwakilishwa na mbunge mmoja mmoja kila halmashauri wakisaidiwa na madiwani
Kuwa na wabunge 384 kwa nchi kama tanzania ambayo ina changamoto nyingi za...
Hizi ndio salamu zangu za Sikukuu ya Pasaka kwenu nyote , Wanachama , Wapenzi pamoja na viongozi wote popote mlipo duniani , nyinyi ndio nguzo ambayo watanzania wameichimbia ili nyumba isibomoke , juhudi zenu zinatambulika , vikwazo mnavyopitia ndio ile " njia nyembamba " inayotajwa kwenye...
Sio tu kwamba wana madaraka makubwa ya kisiasa nchini mwao, bali wana elimu kubwa kwenye fani mbalimbali jambo linalothibithisha usemi wa Kiingereza wa “readers are leaders,” yaani viongozi ni watu wenye hulka ya kusoma sana.
Hii ni orodha ya wakuu wa nchi za Afrika wenye elimu kubwa zaidi...
Kamaa hali ndioo hii
Mil 50
30M mnabaki Nazo ATI promo
Nashauri serikali iamuru washindii WOTE waliopita WA BSS WAPEWE MIL 30 ZAO NDIPO mashindanoo yaendelee
Atakuwa busaraa kama huyu analipwa cash na waliopita waachwe
Hahaa mashindano yamekuwa na uhuni mwingi sana sana nahisii yamefikia...
Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak.
Kwangu hwa ndio walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.