wote

  1. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    Kuhusu kulipia show =========== Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu ==================== Kuhusu performance ya kuwa nzuri ===================== ================== Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri ================
  2. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
  3. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Wadada wote inawahusu hii

    Leo nahitaji kuongea na wadada. Tunajua kuwa faragha yenye huba na mahaba ni uwanja maalumu kwa wawili waliopenda na kukubaliana. Faragha uhusisha hatua tatu kimsingi ili kila mmoja afaidi na kuridhika penzi la mwenzi wake 1. Kabla ya tendo: Hapa wawili wrote wanapaswa kushiriki kikamilifu na...
  4. Kimwerymdodo5

    JamiiForums Tanzania Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
  5. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba Anawatakia Waislam Na Watanzania Wote Sikukuu Njema ya Eid El Fitr #ChukuaTafadhaliCoronaInazuilika

    Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba Anawatakia Waislam Na Watanzania Wote Sikukuu Njema ya Eid El Fitr
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli ni Rais bora kushinda Marais wote Afrika kwa sasa

    Kadri siku zinavyokwenda Tanzania, Mh. Magufuli anazidi kujipambanua kama kiongozi bora miongoni mwa viongozi wa Afrika. Sababu zipo nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja hii. Japo sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahitaji ufafanuzi wenye hazina kubwa ya mifano lukuki na kuntu. Lakini kwa leo...
  7. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Salaam za Eid El-Fitr 2020

    Mwezi umeonekana Kashimil India sasa sijajua wale wa mwezi wa kimataifa kesho watakula idi au watawasubiria Saudi jumapili
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waislamu kusherehekea Sikukuu ya Eid Kesho. Nawatakia Eid Mubarak Chadema wote

    Eid Mubarak wana Chadema wote na wana Lumumba na wananchi wengine wote kwa ujumla. Nawatakia sikukuu yenye furaha bila kusahau kuchukua tahadhari dhidi ya Corona. Siasa siyo Uadui Maendeleo hayana vyama! ============ Assalama Alaikum Ofisi ya Mufti wa Z'bar inatangaza rasmin kuwa leo...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Uingereza nao wafuata Tanzania na nchi zingine abiria wote watakaotua UK kutakiwa kujiweka karantini kwa gharama zao wenyewe kwa siku 14

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe. Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nimemkosea sana mke wangu. Ushauri wenu tafadhali

    Kiufupi tu. Ndugu zangu huwa mnafanyaje mnapojua kimada wa pembeni kapata mimba/kajifungua na mtoto ni wako? Sitaki kuona damu yangu hii inateseka wakati uwezo wa kuihudumia ninao, tatizo huwa mnafanyaje ili mke asijue na huku mtoto akipata matunzo yote ya baba? Hapa najua nimemkosea sana mke...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awataka wabunge wajenge nyumba Dodoma kwani hata wabunge wa Kenya wote wana nyumba Nairobi

    Spika Ndugai amewataka wabunge wafikirie kujenga nyumba jijini Dodoma badala ya kutegemea nyumba za kupanga. Ndugai amesema hayo baada ya wabunge kudai TBA inawasumbua kuhusiana na mikataba yao ya upangaji na kuliomba bunge liwasaidie. Spika Ndugai amewaambia wabunge wanapaswa kujenga nyumba...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza atangaza ibada kurejea kuanzia Mei 31, waumini wote watatakiwa kuvaa barakoa

    Askofu Benson Kagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona (COVID-19) zitarejea tarehe 31 Mei...
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Wapinzani mtuchambulie uongo wote kabla ya uchaguzi

    GTs, Kuelekea 2020 sisi wapiga kura wa taifa huru la Tanzania tunawahimiza wapinzani mjitokeze mmoja baada ya mwingine mtuombe msamaha mambo yote mliyowahi kutudanganya. Moja ya vitu mlivyowahi kusema: 1. JK ni dhaifu? 2. Wizi wa 1.5 trioni? 3. Hela za Uswiss? 4.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wote wa Corona wa Faeroe Islands wapona, hakuna kifo, Waziri Mkuu aanika siri ya mafanikio

    Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK. Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu: 1. Kufunga shughuli...
  15. majoto

    JamiiForums Tanzania Tusijisahau binadamu wote ni sawa

    Tukumbushane wandugu. Kumekuwa na matukio ya watu kujisahau na kujiona wao ni bora kuliko binadamu wengine. Kumbuka wewe ni udongo na mavumbini utarudi, wewe ulizaliwa na utakufa tu hata uwe na elimu au mali kiasi gani. Hebu tuache kubaguana na kujiona sisi ni zaidi ya wengine! Nimeamua...
  16. K

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na Mambosasa, kwa hili la baadhi ya watu kutokuvaa barakoa DSM mnamuangusha Rais

    Wakuu amani iwe kwenu, Rais Magufuli mara nyingi amesisitiza watu kuvaa barakoa ili kujilinda na kulinda wenzao dhidi ya kuenea kwa ugonjwa hatari wa corona. Rais amesisitiza sana hili na nilitegemea viongozi wa chini akiwemo Mkuu wa Mkoa DSM, Wakuu wa wilaya zote, Kamanda wa kanda maluum ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

    Wanabodi, Kuna vitu mimi huwa navisema humu just as hypothetical situation na watu humu wanavichukulia poa hivyo kunibeza, na wengine hata kunitukana!, ila siku vikija kutokea kweli ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini na kuheshimiana. Hivi ni baadhi ya vitu...
  18. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi Ugali Sonia Msela Ugali Radhia Sitaki Demu Kisa Demu Hatuna kitu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ahadi za CCM: Binadamu wote ni sawa, Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko na Sitatoa wala kupokea rushwa. Je, zinatekelezeka?

    Jumapili ya leo najaribu kuvirejea viapo mbalimbali nilivyowahi kuapa na ahadi mbalimbali nilizoahidi kuzitekeleza. Miongoni mwa hizo ni ahadi nilizoahidi wakati napokea kadi yangu ya uanachama wa CCM kutoka kwa mwalimu JK Nyerere katika Uwanja wa Samora mjini Iringa. Hizi ahadi zimekaa vizuri...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
Back
Top Bottom