wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
  2. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Ada ya mja hunena, muungwana ni vitendo. Ni wazi kuwa kuna watu waliandika andiko la kuonesha uhitaji wa chakula mashuleni na kuomba msaada kwa wahisani. Kinyume na matarajio, tumeletewa nafaka halisi tena zenye virutubisho. Tulitarajia tuletewe fedha ili tujue cha kufanya (tuzipige) kama...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwako, Dr. Haya Land

    Kwako Mkuu Dr, Binafsi Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi mwaka wa tatu moja ya a chuo kikuu hapa jijini (DSM), binafsi Dr, naona wewe ni mtu humble, passionate na mwenye utu sana. Dr Haya Land, mm binafsi naona na mengi sana ya kujifunza Toka kwako hasa inje ya...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa Wanaume: Kwa nini ndoa za mitala zinapigwa vita sana? kasoro yake nini? Tuoe bana kila mtu kwa uwezo wake

    Ndugu zetu Islam na wazee wa Mila wameweza kudumisha ndoa za wenza wengi na kutokana na elimu waliyonayo ni jambo linalowezekana sana na linatibu jamii ambayo infidelity imekuwa order of the day. Wakristo na Serikali wamejikita kwenye ndoa ya mme mmoja to mke mmoja ambapo ukiangalia ratio ya...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Ali Hassan Mwinyi kama Rais haiko wazi

    HISTORIA YA UONGOZI YA ALI HASSAN MWINYI KAMA RAIS HAIKO WAZI UTANGULIZI Makala hii nimeiandika baada ya kuulizwa maswali baada ya kufanya kipindi cha Maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi na Afrika TV2. Najaribu hapo chini kujieleza. Katika kipindi hiki cha televisheni yapo mengi katika maisha...
  7. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Nape Nnauye

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.@ Dk Dorothy Gwajima Na... Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mhe. Nape Moses Nnauye. Wasalaam, Poleni kwa kazi. Ninakuandikieni barua hii ili kuwajulisha na suala linaloleta wasiwasi mkubwa ambalo...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea ni wazi kuwa kuna watu wanamhujumu Rais Samia. Hatua za haraka zichukuliwe kuwadhibiti

    Mgao mkali wa umeme, gharama kubwa za Internet (mabando), uhaba wa sukari na vitu kuchelewa kutoka bandarini. Ni wakati sahihi Mama kufuatilia wazembe wanaomhujumu na kuwachukulia hatua kali. Asiwachekee. Hizi siasa za waziri Bashe sio za kusikiliza. Apigwe tu chini maana kashindwa kazi...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    Mimi nasema Tanzania itaendelea mtake msitake. Pamoja na maneno haya kusemwa na Quran naamini itakuwa si kwa ajili ya nchi yetu. Labda kwa maeneo mengine. Tuendeleeni kumuunga mkono samia katika harakati zake. Haya mambo mengine yasitutoe kwenye mstari. Lazima tukubaliane dunia imebadilika. Au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

    Mzuka wanajamvi. Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe. Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  12. Cheology

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Paul Makonda msaada wa dharula unahitajika tunakufa

    Paul Makonda baba Keagan tafadhali tunaumizwa huku. Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo. Leo tumepokea hii taarifa Sisi hayo masaa ambayo maji hayatatoka.mbona sisi tuna masaa, wiki na miezi...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Mbatia aitaka serikali iweke wazi msimamo wake kuhusu Ushoga

    Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji. Mbatia amesema, "Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia...
  14. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

    Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo. Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  17. OLS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba hiyo. Hata hivyo katika kutumia lipa namba, kuna gharama ambayo mteja anakatwa, lakini gharama...
  18. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

    General JJ Mkunda. Commissioner General Immigration Anna Makakala. Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud. Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
Back
Top Bottom