Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,330
24,212
1705988959577.png

General JJ Mkunda.

1705989207445.png

Commissioner General Immigration Anna Makakala.

Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.

Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.

Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?

General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.

Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.

Hii natisha

Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.

Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
 
View attachment 2880164
General JJ Mkunda.

View attachment 2880166

Big up General Mkunda. We are proud of you. Ingia ndani zaidi.
 
Taifa na vyombo vya usalama vimejikita kulinda madaraka na watawala na kusahau majukumu muhimu ya kulinda taifa mwisho ndo haya.

"Kama wenye akili timamu wasipo jishughulisha na mambo muhimu kwenye taifa lao mwisho hutawaliwa na wajinga"Plato
 
View attachment 2880164
General JJ Mkunda.

View attachment 2880166
Commissioner General Immigration Anna Makakala.

Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.

Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo pekee, Jeshi la Uhamiaji.

Je ni kwamba Jeshi la Uhamiaji halijui tishio hilo la Ulinzi na Usalama kwa nchi, na kutoliweka hilo hadharani?

General Mkunda si tu amelezea kuwepo tatizo la wakimbizi wengi nchini waliokaa muda mrefu bila kurudishwa kwao, lakini kaweka wazi kuwa wamefanya utafiti kuwa kuna wakimbizi waliokaa nchini kwa muda mrefu kiasi kwamba watoto wao au wao wenyewe wameanza kupata vyeo vya kimaamuzi ndani ya serikali na taasisi za umma.

Tunamshukuru Gen JJ Mkunda kwa kuiona the bigger picture(Vision) ya kiusalama, vision mbayo Idara ya Immigration imeshindwa kuiona.

Hii natisha

Ulinzi ni pamoja na kuondoa threat ya the 5th Column, adui aliyepandikizwa from within.
Serikali isiposhughulikia hili kwa haraka itajilaumu yenyewe within 5 to 10 years.

Vile vile Jeshi la Uhamiaji lifumuliwe kwa kuota vitambi na kutofanya kazi iwapasayo.
ngoja tuone kesho January 24 na tutajiridhisha vizuri ni nani atakaeumbuka kwenye maandamano ya Nyumbu na panyarodi 🐒
 
Back
Top Bottom