Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,817
- 4,568
Habari!
Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma.
Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo.
Kuna ugumu gani kuweka wazi taarifa ya viongozi wetu kuugua ikiwa wao ni binadamu sio suala la kushangaza.
Nimeona habari ya Mfalme Cherles wa Uingereza (Soma Hapa) amegundiliwa kuwa na saratani na Uingerezawameweka suala hili wazi kwa Umma.
Nini kinafanya jambo hili liwe gumu kwa nchi yetu?
Je, Kuna kanuni au Sheria inayozuia?