tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,738
nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake.

ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio kabisa yani huko sijui kulifanyiwa nini.
wanaijeria wengi wamepata passport ili kupata urahisi wa kwenda nchi ambazo passport zao zina renk mbaya.
tuje kwenye hati za ardhi hapo ndio ukisikia ushuzi umepata mjambaji yani sio raia lakini anamiliki ardhi ya tanzania.

siku ikitokea raisi akisema turudie upya kuhakiki hizo nyaraka unaweza kukuta wamiliki asilimia kubwa wanatoka nchi za nje
dddddd.jpg
 
Tanzania ni Failed State. Ni Taifa ambalo limeshindwa karibia kila kitu.

Hakuna jambo katika nchi hii ambalo limefanyika na Serikali kwa ufanisi wa angalau hata 90%+.

Pathetic!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom