Mtawala Saudi Arabia Mohammed Bin Salman alivunjika moyo kujua wazi hatamuoa binti wa mfalme wa Dubai

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,722
29,084
Mzuka wanajamvi.

Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.

Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti pamoja na mdogo wake.

Inasemekana MBS ali huzunika sana. Hako kasichana ni pisi balaa.

Mfalme/mtawala wa Dubai na familia ya Salman ni marafiki wakubwa sana. Na walitaka kuimarisha urafiki zaidi bond kwa MBS kuoana na hako kabinti ambaye sasa hivi ni miaka 17.

Source: mama yake huyo binti Haya binti Hussein ambaye ni mdogo wake king Hussein wa Jordan alipokuwa akitoa ushaidi mahakmani uingereza.

20240211_142935.jpg
20240211_142903.jpg
 
View attachment 2900801View attachment 2900802
Alishindwa kukaibukia hukohuko Angleterre akamuoa, au ingeleta uhssama kimahusiano?
 
Mama yake alikataa. Anasema hataki binti yake awe mtumwa anataka akue kwa uhuru. Ndo maana alitorokea uingereza. Na alishinda kesi ya talaka na kulipwa 200 millions pauni na mtawala wa Dubai.

Cha kushangaza hakimu alitupilia mbali madai yake hayo ya binti yake kutaka kuolewa na MBS na kumuambia n8 mambo ya familia. Ila hata hivyo alimpa full custody ya binti yake na mtoto wake mwengine.
 
Walinzi wanafaidi bwana.....
Huyo hapo nyuma kambeba kijana wake. Inasemekana walinzi wengine walimuonya jamaa anachofanya nikinyume na maadili ya kazi hakusikia. Mspenzi yalinoga hadi Hawa akamnunulia jamaa nyumba, Saa ghali za Rolex na range. Ila sasa hivi anaishi kama digidigi akihofia maisha yake yeye anavyodai.
gettyimages-1287191585-612x612.jpg

15913540-0-image-m-4_1562846098244.jpg
 
Mzuka wanajamvi.

Mtawala wa Saudi Arabia Mohammed Bin Salman (MBS) aliahidiwa na mtawala wa Dubai al maktoum atamtunukia binti yake amuoe.

Lakini baada ya mtawala wa Dubai kugongewa mkewe Haya bint Hussein na mlinzi ndoto za MBS zikatoweka baada ya Hawa kutorokea uingereza na huyo binti pamoja na mdogo wake.

Inasemekana MBS ali huzunika sana. Hako kasichana ni pisi balaa.

Mfalme/mtawala wa Dubai na familia ya Salman ni marafiki wakubwa sana. Na walitaka kuimarisha urafiki zaidi bond kwa MBS kuoana na hako kabinti ambaye sasa hivi ni miaka 17.

Source: mama yake huyo binti Haya binti Hussein ambaye ni mdogo wake king Hussein wa Jordan alipokuwa akitoa ushaidi mahakmani uingereza.

View attachment 2900801View attachment 2900802
Waarabu wa bongo bana! Wanajiona wao ndio wanajua uaraaabu, wanajifunika nguo gubigubi, kwa Wana wake. Wanaume vipedo na furushi la midevu lakini ona wenye dini na Mila zao wanakula Raha wewe wamekuachia utumwa. Eti unasubiri firidausiii .....ogopa
 
Ww ndio mjinga hapa duniani kila mtu alizaliwa peke yake atakufa peke yake ,atazikwa peke yake,ataulizwa peke yake,ata hukumiwa peke yake na ataadhibiwa peke yake.
Siku ya hukumu hutoenda mbele ya Mungu na kujitetea kuwa nilifanya hili kisa fulani alikuwa anafanya.
Suala la yeye kutovaa hijabu yeye ndo atajua atacho jibu mbele ya Mungu wake na sio waisilam wengine.

Mbele ya mwenyezi mungu kila mtu atahukumiwa kutokana na matendo yake hapa duniani na sio kwa cheo,nguvu,umaarufu na fedha alizo kuwa nazo.

Alafu kila mtu ana haki ya kuvaa anavyo taka, ww kama unaona ni haki yako kuvaa vimini basi na wengine wana haki ya kuvaa hizo unazo ita gubi gubi la msingi amelinunua kwa hela yao.
 
Back
Top Bottom