Video: Mbatia aitaka serikali iweke wazi msimamo wake kuhusu Ushoga

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.

Mbatia amesema,

"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”

ANGALIA VIDEO HAPA

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Msimamo wa CCM na Serikali yake ni huu hapa
Screenshot_20210126-171647.jpg
tapatalk_1570946898001.jpg
 
Haya mambo sijui kwa nini yanakuwa hivi kwani hao mashoga wakifanya hayo mambo yao faragha huko wala tusingekuwa na haya malumbano kuhusu ushoga.
 
Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.

Mbatia amesema,

"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895173

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Anatafuta kiki
 
Mbatia kwa wewe unayeamini uwepo wa mungu, kuna wasio amini uwepo wa mungu ukisema alituleta tuzaliane hawatakuelewa kama wewe ambavyo huwaelewi kupenda ushoga! Ongea kama philospher, siyo ka Kinana!
 
Huyu Meku kwake ndio la muhimu hilo?
Mbatia kakomalia Ushoga
Lipumba kakomalia lishe
Rungwe kakomalia Ubwabwa
Hamad Rashid,Mamose Cheyo na vyama 13 visivyo na wabunge Wala madiwani ---wakekomalia Chadema
Nchi ya
Hii Wagagagigikoko inamaana gani tafadhali kuna mzee wa bagamoyo anapenda sana kusema hili neno
 
Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji.

Mbatia amesema,

"Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia, Serikali ieleze bayana msimamo wake kuhusu suala la Ushoga & Usagaji, kwani kila siku serikali yetu inapiga magoti kwa mataifa yanayounga mkono ushoga kuomba mikopo”

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2895173

Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
Mwenezi atasaidia kujibu hilo
 
Huyu Meku kwake ndio la muhimu hilo?
Mbatia kakomalia Ushoga
Lipumba kakomalia lishe
Rungwe kakomalia Ubwabwa
Hamad Rashid,Mamose Cheyo na vyama 13 visivyo na wabunge Wala madiwani ---wakekomalia Chadema
Nchi ya Wagagagigikoko
Ulichosahau ni Chadema wamekomalia ruzuku. Wacha ubaguzi.
 
Of all the issues we are facing as a nation ameona ushoga ndio priority kwa sasa ? Halafu huyu nae kama nakumbukaga .... anyway..
 
Attachments

  • 20231218_195220.jpg
    20231218_195220.jpg
    18.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom