Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
Kumekuwa na tabia ya wazazi, viongozi na walimu kutishia watoto kuwa wasiposoma watakuwa wakulima maisha yao yote. Hii ikiwajengea dhana kwamba kilimo ni kazi ya mtu aliyekataa shule.
Ni viongozi hao hao ambao huwaambia vijana wenye shahada zao kuwa wakajiajiri kwenye kilimo baada ya kushindwa...
Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima.
Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa.
An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
Poleni na majukumu wadau,
Story ipo hivii,,
Mtaani kwetu huku Sutimbi, kuna jamaa flani ni mchizi wangu kiaina maana tumefahamiana Bar miaka kadhaa iliyopita (tumwite Masudi) na mara nyingi tunakutana baada ya saa za kazi na weekends.
Jamaa anafanya kazi shirika flani la kimataifa linamlipa...
Waondoe hofu
Dkt Punam Krishan, ambaye ni daktari wa familia nchini Uingereza mwenye mtoto wa miaka sita, anasema ni muhimu kumuondoa hofu na kumuelea kuwa hali hiyo ni sawa na mtu anapopata mafua au kipindupindu na kutapika.
Anaamini kuwa wazazi wanapaswa kuwa wawazi, kuwaeleza ukweli kuhusu...
Karibuni nyote katika mada hii inayokusudia kupata ufafanuzi na ufahamu juu ya JICHO BAYA katika maada hii najaribu tu kuchokoza wajuzi wa mambo kama akina Mshana Jr waje kutufahamisha na wengine;
Hoja ni JICHO ila ntaita jicho baya
kwa ufupi tu ni jicho ambalo mtu humtazama hasa mtoto kwa...
Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni mnamo Tarehe 22.Feb.2020
Msaada huo...
Kipindi nakua, kuna kajimbo ambacho tulikuwa tunawaimbia watoto vikojozi kama njia ya kuwafunza waache kukojoa kitandani. Wimbo huu ulipokuwa unaimbwa yule mtoto kikojozi anabebeshwa mashuka yenye mikojo (kama alikuwa mkubwa kidogo alikuwa anabebeshwa godoro lenye mikojo) na kutangulizwa mbele...
Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatano, inasema ulimwengu umeshindwa kumlinda mtoto na hatari za kiafya zinazotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na lishe hafifu.
Ripoti hiyo iliyopewa kichwa cha habari 'Hatma ya watoto ulimwenguni'imetolewa na timu ya wataalamu zaidi...
Unaweza kufikiri ni simulizi tu pengine ya kusadikika. Lakini ni uhalisia. Tujikumbushe. Unaikumbuka familia ya Matumla iliyosheheni wanamasumbwi ikiongozwa na Rashid Matumla aliyetamba ndani na nje ya nchi?
Ni hivi. Kama masumbwi yalivyotawala kwa kina Matumla ndivyo taaluma ya udaktari...
Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf
sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza
@Demiss jina tamu sana hili ata utamkaj wake simple sana
joanah hili ndo namba tatu yangu kajina flani hakana mbwembwe...
Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta.
Watoto wote 13 wanatoka familia moja magharibi mwa Uganda na inasemekana kwamba waliokuwa walikuwa na umri wa 5 na...
Watoto wa mijini wanawahi kuelewa mambo mapema.
Wanajifunza mambo mengi nyumbani yale ambayo zamani tulijifunzia shule. Nyimbo, kuhesabu, abcd, na a e i o u.
Kama haitoshi wanafundishana wenyewe wakiwa wanacheza. Mfano juzi mwanangu wa miaka miwili kaja ananiimbia da de di do du. Amefundishwa...
Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika.
Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
Tunaomba tafadhali muweke matuta. Watoto wanagongwa na watu wazima wanajeruhiwa. Barabara ni nzuri sana na nyoofu ila madereva wanalala mbele sana kwenye barabara hii na ukizingatia iko mtaani 'uswazi' watoto wafyekwa kwelikweli hapa. Hivi juzi akina mama waliweka mawe hapo barabarani.
Nami...
Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop.
Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu).
Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.