watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

    Kwa mujibu wa sheria za nchi ofisi rasmi ya raisi ni Ikulu, Ikulu zozote zilizo ndani ya nchi na wala siyo nyumbani kwake. Kwa sasa zaidi ya siku 50 Rais anafanyia kazi za nchi ndani ya nyumba yake huko Chato, sijajua yale mafaili confidential ya nchi anayaweka sebuleni kwake au dining room...
  2. B

    Wapi nitapata Daktari wa kutahiri Watoto wadogo kuanzia mwaka

    Habari ya jumatatu, Napenda kufahamu alipo Dr mzuri kwa hapa Dar ambaye anaweza kutahiri mtoto mdogo kuanzia mwaka nakuendelea. Nitashukuru sana.
  3. Analogia Malenga

    Ugonjwa mpya unaohusianishwa na Covid19 wawashambulia watoto

    Watoto wengi nchini Uingereza na Marekani wameathirika na ugonjwa usio wa kawaida unaosababisha uvimbe wenye kuhusishwa na #CoronaVirus Watoto 100 nchini Uingereza wameathirika na utafiti unaonesha kwamba dalili kama hizo zimeonekana kwa watoto wa sehemu nyengine barani Ulaya Dkt Mike Ryna...
  4. Equation x

    Tuwajengee watoto wetu misingi ya kujiamini na kujitegemea kiuchumi

    Ni vizuri watoto wako wajue kazi au shughuli zinazokuingizia kipato, ikiwezekana uanze kuwapa misingi tangu wakiwa wadogo labda miaka 3+. Kama wewe ni mfanya biashara au una kampuni yako inafanya shughuli fulani, ni vizuri kuongozana na watoto wako ili kuwajenga kihisia katika utafutaji wako...
  5. Witmak255

    USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi pale ninapojariwa kitu. Mwaka jana nilienda kutembelea kituo flani cha yatima ili kutoa...
  6. Mzukulu

    Serikali wasaidieni haraka wakazi wa Makongo kwani wanalalamika wachezaji wa Timu ya Ligi Kuu ya KMC kutembea na Wake, Dada na Watoto wao

    Katika kile kinachoonyesha kuwa huenda baada ya Michezo Kusitishwa kwa muda na baadae Wachezaji kuanza Kambi kwakuwa Ligi Kuu ya Vodacom inakaribia Kuendelea Wachezaji wa Klabu ya Ligi Kuu ya KMC wao wameamua kuja na aina yao ya Kipekee kabisa ya Kimaandalizi duniani. Wakizungumza kwa nyakati...
  7. OLS

    Ili kuwalinda Watoto Sera ya Elimu yapaswa kuboreshwa

    Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana miaka mingi iliyobaki wao kuwepo kuliko mimi ambaye nakaribia ule wastani wa mtu kuishi duniani...
  8. S

    Baada ya shule kufungwa, haya ndio yanayoendelea kwa watoto walio Uswazi

    Naona WATOTO wadogo wengi wakiwa wamekusanyika pamoja wakiendelea na michezo yao tena kwa furaha kubwa na mama zao wakiwa nao wamekaa kwenye vikundi hapa mtaani story za hapa na pale zikiendelea. WATOTO waliorudishwa majumbani na serekali kwa nia nzuri tu ya kuwakinga na maambukizi haya ya...
  9. Infantry Soldier

    Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ukimtendea mtu wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe bali ukaja ukawalipa watoto wako au wajukuu zako miaka ya...
  10. Mzukulu

    Ni kwanini watoto wengi wachanga ukiwa umelala nao kitandani na mama zao muda wa kujamiiana ukifika tu na wao usingizi huenda likizo kwa muda?

    Kuna muda huwa unatamani hata ukipige tu Kibao au Mbata kilale kabisa ili uweze Kumshughulikia vizuri ( ipasavyo ) Mama yake ila sema huwa tunaogopa kuzidi Kuandikisha Dhambi zetu katika Kitabu cha Hukumu cha Mwenyezi Mungu huko Mbinguni. Utakuta muda wote kameshalala tena Usingizi mnono kabisa...
  11. J

    Huyu mama watoto wangu nashindwa kumuelewa

    Nimezaa na mdada flani hivi lakini tunaishi mbalimbali Kila mmoja na shuhuli zake. Yeye ni mjasiliamali na Mimi ni mwajiriwa. Baada ya kusumbuana kuhusu matumizi ya mtoto ndipo nilipomshauri mwenzangu aje tuishi wote ili kupunguza garama za maisha lakini alikataa kwa jeuri kubwa kwamba hawezi...
  12. Miss Zomboko

    Ripoti: Janga la Corona kusababisha watoto milioni 116 kuzaliwa mpaka ifikapo Desemba 2020

    Katika matarajio ya siku ya Mama duniani,ifanyakapo kila mwezi wa Mei, ripoti ya Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF linakadiria kuwa katika kipindi cha janga la covid-19,watazaliwa watoto milioni 116 ulimwenguni kote kati ya Machi hadi Desemba mwaka huu. Taarifa ya UNICEF...
  13. Ronee

    Magonjwa ya watoto

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa hospitali (doctor) nzuri kwa magonjwa ya watoto specifically ya ngozi kwa dodoma. Ahsante
  14. Miss Zomboko

    Vifo vya watoto wachanga vyapungua kutoka 25 mpaka 7

    Vifo vya watoto wachanga wenye umri wa chini ya siku 28 vimepungua kutoka 25 kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwaka 2015/16 na kufikia saba kwa kila vizazi hai 1000 kwa mwezi Machi mwaka huu. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto...
  15. Miss Zomboko

    Mwanza: Mama mbaroni kwa kuwatelekeza watoto kwenye majaruba ya mpunga usiku

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza limemtia mbaroni mama mmoja aitwaye Happyness Mafuru, kwa tuhuma ya kuwatelekeza watoto wake wawili katika majaluba ya mpunga, huko mtaa wa Mtakuja kata ya Nyamhongolo wilayani Ilemela Jijini Mwanza. Watoto hao wameokotwa wakiwa hai na kisha kupelekwa katika...
  16. Equation x

    Mabaharia wenzangu wazoefu, ni kweli watoto wa Mbulu ni wazuri?

    Kuna mdogo wangu anapiga mishe mishe maeneo ya Babati na Mbulu, katika mawasiliano yangu na yake akaniambia braza njoo utalii huku maeneo ya mbulu kuna watoto wazuri kuliko hata waarabu. Nikamwuliza garama zao zikoje, akaniambia hawana garama, wenyewe ni nyama na bia tu, hawana wivu katika...
  17. The Assassin

    Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

    Sijui ni dhiki ama ni tabia. Mabinti wengi wa kitanzania wanawaza pesa za mwanaume tu. Utasikia mwanaume lazima uwe na hela, maanaume asie na hela simtaki, sijui vitu gani. Mabinti wengi wa kitanzania wanajifunza tabia za kikahaba toka wakiwa wadogo, wanawaza pesa za mwanaume tu. Ni kweli...
  18. RoadLofa

    Watoto na UFO (Unidifined Flying Objects) Aliens

    Baada ya kusoma kitabu cha messengers of deception by an UFO investigator Jacques Valley, akielezea uwepo wa viumbe kutoka sayari nyingine baadhi ambazo hazijavumbuliwa wanaokuja mara kwa mara kutembea duniani kujifunza vitu vilivyopo duniani na kuwafunza vitu vipya vilivyopo kwa vinavyohusu...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Ushauri: Usiwalishe watoto tembele kila siku na kutokuwanunulia nguo mpya kisa unajenga.

    Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi. Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi. Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka...
  20. steve_shemej

    Mama awapikia watoto wake mawe akiwadanganya ni chakula

    Mjane mmoja nchini Kenya amepikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva. Mwanamke mmoja nchini kenya ameelezea vile ambavyo amekuwa akiwapikia watoto wake mawe kuwadanganya kwamba chakula kinaiva. Penina Bahati, mama wa watoto wanane hajafanikiwa kupata kazi zisizohitaji ujuzi...
Back
Top Bottom