Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Analala kwa watoto, saa nane anaingia room

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,678
Reaction score
37,859
Najua wengi mnakumbana nayo haya, wanandoa kama sio analala kwa watoto basi atakaa sebuleni mpaka usiku wa manane arudi chumbani

Huyu ndiye anaitwa mke, ndoa zimeficha mambo mengi sana, kesho tujadiliane suluhisho ya haya yote
 
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununua?
Siaaa NILIWAHI ONGEA yalionikuta ndoani nkaacha KILA KITU2005 ndaniya MWEZI
MWANAMKE ANASEMA tuandike KILA KITU Mr n Mrs UNAWAZA katymwa kalogwa HAPANA a UNAWAZA Kwaoo n masikini HAPANA omba muyamalize akahamia loundry room dah yakanishinda naminikahamia......
Juzi Nimekutana na KIJANA MMOJA ana HELA chafu aliokwauoendo ANAJUA anaenda KUWA babaa weweeee
....tutaendeleaa kesho akanikumbusha mbalii vyema TUSHIRIKIANE NAJUA WAPO amjalala mnaoambana na haya
 
Muache tuu mkuu hapo rohoo inamuuma bhasi tu anataka kujikuta shujaa
 
Let us be realistic. Wanawake ndio chanzo kikuu cha matatizo ndani ya ndoa nyingi.

Yani hata haingii akilini,mtu analala chumba cha watoto na ukiangalia kitchen party alifanyiwa kabisa.
Matatizo makubwa ya ndoa nyingi ni kukosa mawasiliano. Yale mawasiliano mliyotumia kutongozana mpaka mkakubaliana kwanini yasitumike kueleza sababu ya kulala chumba cha watoto au kununa?
 
Back
Top Bottom