Jifunzeni kusali na watoto wenu asubuhi kabla ya kwenda shule

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
52,368
24,092
Familia nyingi zinateseka na watoto sababu ya kuachia kila kitu mabinti wa kazi

Wako leo hii waliojisahauu na sasa mabinti wakazi wamekuja sec wife na hawana nguvu ya kuwaondoa anaelipa mume kumbe ni kwa ujinga wako mwenyewe

Turudi kwenye màda kifupi ningeombà mjitahidi watoto wenu kabla ya kwenda shule msali nalo

Wengine mtajiuliza msali nn kwani awajui kusali

Apana wanajua

Ipo nguvu maalum ya maombi kwa wazazi juu ya watoto wao

Kemea mapepo yanayosumbua watoto wasielewe mashuleni

Wafundishe mwanao wakaingia darasani tu wasali pia kufungua ufahamuu waoo kufungua nafsi zao

Waombee waende salama na kurudi salama

Waombee wawe na heshima kwa wakubwa na wadogo zako

Kubwaa kabisaa waombee wamjuee mungu wamshike Mungu wawe na hofu ya mungu milele

Hii itawasaidiaa kutofautisha mema n lipi baya n lipi la shetani

Tuombe

Mungu mwenyezi ahsante kwa kutupa uhai ahsante kwa nafasi hii tena ya kukutukuza wewe tunaomba uwalinde na kuwahifadhi watoto wetu na roho zote mbaya za yule muovu shetani

Wape hofu yako wakujue wewe wakatende yale mema yanayokupendeza wewe tunaomba na kushukuru

Amen
 
Jambo la msingi sana
 
Naunga mkono hoja.
Kingine wazazi wafundishe watoto wao namna ya kukiri mistari ya biblia kila siku.
 
Familia nyingi zinateseka na watoto sababu ya kuachia kila kitu mabinti wa kazi

Wako leo hii waliojisahauu na sasa mabinti wakazi wamekuja sec wife na hawana nguvu ya kuwaondoa anaelipa mume kumbe ni kwa ujinga wako mwenyewe

Turudi kwenye màda kifupi ningeombà mjitahidi watoto wenu kabla ya kwenda shule msali nalo

Wengine mtajiuliza msali nn kwani awajui kusali

Apana wanajua

Ipo nguvu maalum ya maombi kwa wazazi juu ya watoto wao

Kemea mapepo yanayosumbua watoto wasielewe mashuleni

Wafundishe mwanao wakaingia darasani tu wasali pia kufungua ufahamuu waoo kufungua nafsi zao

Waombee waende salama na kurudi salama

Waombee wawe na heshima kwa wakubwa na wadogo zako

Kubwaa kabisaa waombee wamjuee mungu wamshike Mungu wawe na hofu ya mungu milele

Hii itawasaidiaa kutofautisha mema n lipi baya n lipi la shetani

Tuombe

Mungu mwenyezi ahsante kwa kutupa uhai ahsante kwa nafasi hii tena ya kukutukuza wewe tunaomba uwalinde na kuwahifadhi watoto wetu na roho zote mbaya za yule muovu shetani

Wape hofu yako wakujue wewe wakatende yale mema yanayokupendeza wewe tunaomba na kushukuru

Amen
Afadhali leo hujaandika kwa maherufi yako makubwa
 
Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom