watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A

    Strength Of A Woman: Kutana na mhudumu wa ndege ya Pan Am Flight 73 aliyepigwa risasi mgongoni akiwa amewakumbatia watoto 3 na passports 41 za U.S.A Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  2. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Halmashauri Nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni

    Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao. Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ninayoweza fanya biashara ya mitumba ya watoto Mbeya tofauti na Kabwe

    Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa eneo hilo. Kwa wazoefu wa hii biashara mbeya je eneo gani lingine naweza fanya hii biashara kwa hapa...
  4. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Msanii kutoka Hong Kong, ndugu Jackie Chan apanga kutoacha urithi kwa watoto wake. Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Afrika?

    Je, maamuzi haya magumu yanatuma ujumbe gani kwa wazazi wa Tanzania? Kuwa mtoto wa nyota wa sinema wa kimataifa kama Jackie Chan ni dhahiri kwamba huja na marupurupu mengi na faida. Mtoto wa Jackie Chan, aliyekuwa na umri wa miaka 33 kwa wakati ule anayeitwa Jaycee, aliishi maisha yaliyojaa...
  5. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu kwa watoto katika shule

    Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule. Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
  6. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Jinsi malumbano ya wazazi yanavyowaathiri watoto ndani ya familia

    Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya watoto tena bila aibu. Kisaikolojia mtoto hujengeka zaidi na kuwa mwenye furaha kutokana na kuwepo...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa tumbo moja kuwa na uadui

    Watoto waliozaliwa tumbo moja wakiwa wadogo huwa wana mshikamano na wanakuwa na upendo ila sasa wakikua na kila mmoja akawa na mji wake ndipo changamoto zinapoanzia. Ule upendo wa utotoni upotea na kuanza kuwa maadui. Hii huwa ni kwanini? Nimejaribu kupitia vitabu mbalimbali ikiwamo na biblia...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daktari: Wapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine

    DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Wazazi Wenzangu: Kuna umuhimu (faida) gani kwa baadhi ya watoto kuwa na majina mawili? Jina la shuleni pamoja na lile la nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Chuchu bandia ni hatari katika unyonyeshaji watoto kwa sababu hujaza gesi tumboni na kupunguza kiwango cha unyonyaji wa mtoto

    Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatuma Mwasora amesema chupa na chuchu bandia ni hatari kwa afya ya mtoto kutokana na chuchu hizo kujaza gesi tumboni na kupunguza kiwango cha unyonyaji wa mtoto. Fatuma alisema madhara zaidi ya chuchu hizo na chupa...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maombi maalum kwa wanaosubiria kupata watoto. Mungu anaweza, usikate tamaa

    SPECIAL PRAYERS FOR WAITING MOTHERS 1. I bring to judgement before the Lord, every spiritual cause that is delaying your child bearing in Jesus name. 2. Every physical cause of your delay, that has been hidden to medical knowledge, I ask that they be made obvious for immediate correction in...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Asilimia 31.8 ya watoto chini ya miaka mitano Nchini wana Utapiamlo

    Waziri wa Afya ndugu Ummy Mwalimu amesema kuwa Katika nchi yetu ya Tanzania, watoto chini ya miaka mitano asilimia 31.8 wana utapiamlo. Waziri akaendelea kusema kuwa, hali hiyo inahatarisha maendeleo ya ukuaji ubongo wa watoto hao kitu kinachoweza kupelekea udumavu wa akili. Mimi binafsi...
  13. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Viti Maalumu Vijana Watoto wa matajiri waongoza

    Wajumbeeee! Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia. Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake. Akisoma maelezo ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jifunzeni kusali na watoto wenu asubuhi kabla ya kwenda shule

    Familia nyingi zinateseka na watoto sababu ya kuachia kila kitu mabinti wa kazi Wako leo hii waliojisahauu na sasa mabinti wakazi wamekuja sec wife na hawana nguvu ya kuwaondoa anaelipa mume kumbe ni kwa ujinga wako mwenyewe Turudi kwenye màda kifupi ningeombà mjitahidi watoto wenu kabla ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya watoto (Vikembe) wa wanyama/viumbe

    Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga? Majina mengine ya watoto (vikembe) wa wanyama mbalimbali ni kama ifuatavyo: Ng'ombe......Ndama Nzige...kimatu/maige/tunutu/matumatu/funutu Ndege....Kinda...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UNICEF yasema watoto milioni 40 Duniani wameshindwa kusoma chekechea kutokana na Corona

    Mkanganyiko wa elimu uliosababishwa na janga la COVID-19 unawazuia watoto kuanza kupata elimu yao wanayostahili ilisema taarifa ya UNICEF Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto-UNICEF lilisema Jumanne kwamba kufungwa kwa majengo ya elimu kutokana na janga la COVID-19...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Wanawake wakali wanataka watoto hawajapata

    Wadau nimeona nijiajiri.kazi zimekuwa ngumu sana. Nikaangalia haya maisha na changamoto zake kuzigeuza kuwa fursa. Nmepata wazo, kuna watu huwa mpaka wanaenda nje ya nchi kutaka pandikiza mimba.mimi naona hiyo ni gharama. Nitakuwa tayari kuwapa mimba wanawake ambao wana uhitaji.bei...
Back
Top Bottom