watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Sababu za Mtoto kuzaliwa Njiti

    Kila mwaka watoto takribani milioni 15 huzaliwa kabla ya miezi tisa yaani njiti na idadi hii imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Ni moja kati ya sababu inayochangia kwa wingi vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano duniani. Shirika la Afya Duniani (WHO) lilikadiria takribani watoto milioni...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna msemo unaosema "Mchawi akishamaliza kula watoto wa jirani, hugeukia watoto wake." Wana CCM tumejiandaaje baada ya majirani kuliwa?

    Wanasema kwamba mchawi akishakula nyama ya mtu huwa haachi. Sasa watoto wa jirani wameliwa wote, na hili dude bado lina njaa, tumejiandaaje kuliwa ndani ya chama chetu? Tutapona?
  3. M

    JamiiForums Tanzania UZI WA MITINDO KUSHONA YA WATOTO WAKIKE

    Salaam Jf, Kama title inavyojieleza huu ni Uzi maalum kwaajili wa mishono ya watoto wa kike.
  4. Mag3

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko CCM, tafadhali tuachieni watoto wetu wapate elimu na si kuongezea vichwa kwenye mikutano iliyosusiwa na wazazi wao!

    ............ ...... Kama unayo picha ongezea...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 28 Oktoba vita ya ama zao, ama zangu; kiama chao, ama changu; chama chao, ama changu. Amiri Jeshi Mkuu katangaza vita, watoto wa mama wanachonga sana!

    Wanabodi, Uchaguzi ni wakati mzuri wa kufanya tafakari mbalimbali, saa hizi niko mji kasoro, kwenye kiwanja kipya kinaitwa Star Park, mimi kama kawaida yangu, ni mimi na Joni Mtembezi, kiwanja hiki, Night Shift wanaingia mapema! Hivyo kwa wale wenzangu na mimi ambao macho hayalali njaa, kiwanja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

    Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli. Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
  7. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tandahimba: korosho ndio maisha ha yao, wanasomesha watoto kupitia korosho, nichagueni Oktoba 28 niboreshe bei ya korosho

    TANDAHIMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi wa Tandahimba na Mtwara wananufaika na kilimo cha korosho Pia, Prof. Lipumba amesema kwamba...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uzazi: Kulala chali huongeza hatari kwa Wajawazito kuzaa Watoto Njiti

    Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya. Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
  9. Sema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Malezi ~ Wazazi wana hadhi sawa katika malezi ya watoto

    Yawezekana unazo sababu nzuri tu za kukufanya utake kudhoofisha mahusiano ya mwanao na mzazi mwenzio. Labda alimkataa mtoto (ujauzito), ama hatoi matunzo (pesa na mengineyo) kwa mtoto. Ingawa sababu hizi zina mashiko, makala yetu yanataka kuangazia athari anazopata mtoto mzazi ukiamua kumtenga...
  10. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu; Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao? Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
  11. mama D

    JamiiForums Tanzania Kupeleka watoto wa miaka2 hadi miaka10 shule za bweni kwa wazazi tujitafakari sana

    Kumekua na ongezeko kubwa la wazazi kukupeleka watoto wadogo kuanzia chekechea. Kweli wazazi tumekua na majukumu mengi huku usaidizi katika malezi ukiwa changamoto kubwa sana. Lakini kwa niliyoyaona na kuyasikia wazazi tujitafakari tena, watoto wengi wanaopelekwa bweni wanateseka mnoo. Wengine...
  12. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Je, kuna umuhimu wa wazazi kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo? Unawapelekaga watoto wako? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia matukio mengi sana zaidi ya mara 4 katika misiba niliyopata...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kikwete ashauri Serikali kupunguza gharama za matibabu kwa watoto wenye Usonji hasa hospitali za Serikali ambazo zinatumia kodi za wananchi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo. Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga...
  14. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi (zaidi wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend? How do you find it?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wazazi wengi (hususan wamama) hupenda watoto wao kuoa/kuolewa katika familia za rafiki? Did you marry from a family friend au uliwahi kushawishiwa kuoa/kuolewa katika familia rafiki? How do you find it...
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ripoti WHO: Watoto takriban milioni 2 hufia tumboni mwa mama kila mwaka

    Mashirika ya kimataifa yamesema takriban watoto milioni 2 wanafia tumboni kila mwaka. Shirika la Afya Duniani, WHO, Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia Watoto, UNICEF, pamoja na washirika wake wamesema vifo hivyo vinatokea zaidi kwenye nchi zinazoendelea. Kwa mujibu wa takwimu za dunia...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Serikali upande wa elimu irasimishe vituo vya watoto chekechea kufundisha hadi darasa la 3 ndipo wajiunge na shule za msingi kuendelea darasa la 4

    Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi; Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools). Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo hivyo vya chekechea kwa maana ya baby class mwaka mmoja, middle class mwaka wa pili na top class mwaka...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Anayestahili kulaumiwa kosa la watoto wadogo wa shule kubebwa mshikaki kwenye bodaboda

    Pamoja na kwamba Sensa haifanyiki siku hizi! Wacha nijikite kwenye mada tajwa! Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya watoto wadogo wa shule kubebwa zaidi ya mmoja kwenye pikipiki moja (mshikaki). Kitendo hiki kinahatarisha Sana usalama wa Watoto hao lakini Je; Anaestahili kulaumiwa hapo ni Nani...
  19. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanachofanya CCM na Magufuli ni udhalilishaji kwa Watoto

    Hayo yaliyofanywa na CCM Mbeya na Magufuli ni Uzalilishaji na Ukiukaji wa Haki ya Mtoto. Angalia huyu mtoto anavozalilishwa mbele ya umati huu. Badala ya Mtoto kuwa darasani amekodishwa na Serikali ya CCM kumburudisha Magufuli na kuvutia umati kwene Kampeni. Shame on you CCM.
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

    Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali. Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.
Back
Top Bottom