watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka mitatu

    Kuna post nyingi kuhusu kutafuta shule ninaamini ni jambo muhimu kwa kila mzazi. Ningependa uzi huu ndio uwe kimbilio la wengi kama unafahamu shule yoyote nzuri mkoa wowote mwaga sera zake hapa ada zake, mgawanyiko wa ulipaji. Mimi ningependa kufahamu shule nzuri kwa watoto kuanzia miaka...
  2. FRANCIS DA DON

    Watoto wa mitaani hawatendewi haki

    Watoto wa mitaani hawatendewi haki, walipaswa kuwa shule ila wanaachwa kuzagaa hovyo bila muelekeo. Watoto hawa wanapaswa kuwa chini ya uangalizi, RC yupo, ustawi wa jamii wapo, wanakula mishahara na kupishana chooni tu. Tunataka maelezo, mnakwama wapi? Napaza sauti kwa niaba ya watoto hawa...
  3. matunduizi

    Je, ni kweli ukioa mwanamke Mtutsi lazima apandikize mtoto wao kwenye watoto wako?

    Hii story niliisikia kitambo ikaniogopesha kuoa Hawa watu wazuri wa uso kutoka Rwanda. Kwamba ukioa Mtutsi, eti ukizaa watoto watano ujue mmoja au wawili sio wako. bidada huyo atafanya juu chini agegedwe na ndugu Yake au mtutsi mwenzake aliyekaribu nae ili ampe mimba. Huyo mtoto anahesabiwa...
  4. Suley2019

    Iringa: Matukio takribani 404 ya ukatili wa kingono kwa watoto yaripotiwa katika kipindi cha Januari mpaka Novemba mwaka 2019

    Mkoa wa Iringa kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019 umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini. Hayo yamebainika mkoani Iringa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo...
  5. Kinoamiguu

    Elimu bure, watoto wa wanyonge wakataliwa kuandikishwa shule huko Makambako.

    Kengele imepigwa, muhula umeanza vituko vya zima moto kwenye elimu za watoto wa wanaoitwa masikini navyo vimeanza. ni viroja alimuradi kura zipatikane hata kwa kukwiba hapo 2020. kuna ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo ya sekondary lakini hawajulikani walipo, sijui taarifa za...
  6. Miss Zomboko

    Idadi ya watoto wanaozaliwa kwenye kambi za wakimbizi yahatarisha usalama wa nchi

    ZAIDI ya watoto 600 wanazaliwa kila mwezi kwenye makambi ya wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) yaliyopo mkoani Kigoma. Hali hiyo imetia hofu wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa Kigoma, ambao wameeleza kutishwa na kasi kubwa ya kuzaliana kwa wakimbizi hao. Hivyo...
  7. Justine Marack

    Nimevunja uchumba sababu ya Majina ya Watoto na gharama za harusi

    Nimendika baada ya kuona post kama hii ila ina utofauti kidogo. Kwa upande wangu hii ilinitokea Mwakajana ambapo kuna dem nilimuweka target nikasema huyu anaweza kuwa mke kwa mvuo wake, maana binafsi ninajali sana hisia zangu na ninajua mizigo inayo niwehusha. Basi huyu alikua anakaba engo...
  8. YEHODAYA

    Viongozi wa vyama vya siasa, Serikali na Bunge acheni unafiki shule zote za Serikali ziwe English medium watoto wenu mbona wanasoma English Medium?

    Kuna maana gani viongozi wa Serikali, bunge na vyama vya siasa kusomesha watoto wao English medium schools halafu wanaacha watoto wa wengine wasome Swahili medium? Huu ni unafiki mkubwa. Badilisheni shule zote za Serikali ziwe English medium. Wanafiki wakubwa nyie msio na haya Hizi ndizo...
  9. May Day

    Hivi bado hatuoni haja ya kuwafundisha Watoto wetu elimu ya uzazi/viungo vyao vya uzazi tangu utotoni?

    Ni muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza hili swali, haswa ninapokuwa na kijana Wangu mdogo wa kiume mwenye umri wa miaka kumi. Kuna wakati tupo sebuleni tunasikiliza Redio au TV, na habari inayosikika ni kuhusu Mtoto aliyelawitiwa, Binti aliyepewa mimba, Mwanamke aliyebakwa n.k. Hapa huwa...
  10. J

    Wanasiasa wa Kenya wengi ni watoto wa wapigania uhuru lakini Tanzania ni watoto wa wakulima, wafugaji na Chadema wafanyabiashara

    Nilikuwa nasoma historia za wanasiasa wa Kenya akina Mudavadi, Ruto, Kalonzo Musyoka, Raila na wengine wengi nimeona 95% ni watoto wa wapigania Uhuru. Yaani wana ile spirit ya siasa. Nikarudi hapa nyumbani kwa wakina Mwigulu, Mbowe, Tundu Lissu, Zitto, Nape, January na wengine wengi nimegundua...
  11. Makanyaga

    Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  12. Luqman mohamedy

    Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
  13. Miss Zomboko

    Apple, Google, Tesla na Microsoft zafunguliwa kesi kwa kuwatumikisha watoto katika migodi kinyume cha sheria

    Apple, Google, Tesla na Microsoft ni baadhi ya makampuni yaliyotajwa katika kesi ya madai ya fidia ya vifo na majeraha ya wachimbaji watoto wa migodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC. Kesi hii ilifunguliwa na mawakili wa kimataifa wa haki za binadamu kwa niaba ya familia 14 DRC...
  14. OLS

    Malezi ya watoto ni Taaluma sio kitu cha asili

    Na Justine P. Kakoko. Ni kwa miaka mingi sasa jamii za Afrika zimekuwa zikiamini ya kuwa malezi ya watoto ni kitu cha asili, yaani mzazi/mlezi haitaji kutafuta wala kujiongezea maarifa yahusuyo malezi ya mtoto/watoto wake. Wazazi/walezi wengi wamekuwa wakijiuliza, kuna haja gani ya wao...
  15. Analogia Malenga

    Watoto wafariki kwa kula mihogo yenye sumu

    Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia nchini Tanzania, baada ya kula mihogo inayodaiwa kuwa ilikuwa na sumu. DW imezungumza na Dr. Sadick Sizya kuhusu madhara ya kiafya yanayoweza kusababishwa na mihogo mibichi ama michanga.
  16. O

    Naomba kujuzwa hospitali ya magonjwa ya watoto kwa Dar es Salaam

    Ndugu zangu, naomba kujuzwa hospital nzuri ya kutibu magonjwa ya watoto kwa hapa Dar es Salaam. Kijana wangu anasumbuliwa na kifua. Nimezunguka hospital kadhaa bila msaada wa maana. Anayejua tiba au hospital ninayoweza kupata matibabu mazuri, naomba anisaidie.
  17. Sky Eclat

    Anza mapema kuwafundisha watoto wasitoe siri za ndani

    Sisi tunaoishi kwenye nyumba za kupanga. Kuna wanaopenda wajue umekula nini leo, na maisha yako kwa ujumla. Kama umepanga vyumba viwili, chumba cha watoto weka double decker, sofa moja na coffee table. Hii coffee table ndiyo dining table pia. Pembeni weka meza ya jiko la gesi na chini ya...
  18. Sky Eclat

    Gadgets zimewapotezea watoto uwezo wa kuandika kwa mkono

    Dunia ya utandawazi imerahisisha sana elimu. Siku hizi mtoto kujua jina la mji mkuu wa Zambia hahitaji kusoma vitabu library, ana Google tu search engine inampa jibu. Pamoja na hayo matumizi ya computer, smart phones, tablets nk yamepunguza uwezo na ushawishi wa vijana na watoto kuwa na...
  19. The Assassin

    Just a reminder: Mwakani watoto waliozaliwa mwaka 2002 wanakua watu wazima, wanaruhusiwa kupiga kura😂.

    Huu ni ukumbusho tu kua mwakani watoto waliozaliwa mwaka 2002 wanakua watu wazima, wanakuja kuongeza ushindani sokoni, wanaruhusiwa kupiga kura na mambo mengine😂. Watoto wote waliozaliwa mwaka 2002 mwakani wanakua halali kuliwa kisheria, hapa hutahitaji chumvi. Pamoja na kua wamekua wakiliwa...
  20. Suley2019

    Shinyanga: Wakinababa wadaiwa kuwaozesha watoto wao wadogo kwa pombe

    Jambo hili lilibainishwa jana katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto,yaliyofanyika katika kijiji cha Penzi kata ya Mondo kupitia Shirika lisilo la kiserikali la World Vision chini ya mradi wa Enrich. Taarifa inaeleza kuwa, wanawake...
Back
Top Bottom