Mimba za Utotoni kwa Watoto wa Kike Mkoani Ruvuma ni kama vile Israeli na Roho ya Binadamu!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,363
108,401
Jumla ya wazazi 35 wakazi wa Kata ya Nalasi katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuwafungia watoto wa kike chini ya miaka minane huku wakiwafundisha mbinu za kuishi na wanaume maarufu kama “Msondo” mila ambayo imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha mimba za utotoni wilayani humo.

ITV Tanzania.
 
Na Mimba nayo ni Muhimu kuipata mapema?

Mimba ni matokeo tu, kwa mujibu wa sheria inakuwa kosa ila kimaumbile hakuna ‘mtoto’ anaweza kupata mimba.

Ni raha sana kutafuna fundi aliyefunzwa vema, sio hawa wa kwetu unamvua nguo anafunika uso!
 
Back
Top Bottom