wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel wakamata wakuu wa hospitali ya Shifa, watolee maelezo kuhusu handaki lililogunduliwa humo

    Haiwezekani handaki lililogunduliwa la mita 55 liwe chini ya hospitali bila wao kujua na muda wote walikua wanakana halipo, watahojiwa zaidi. ====================== The director of Shifa Hospital in Gaza City was arrested by Israeli forces on Thursday morning, and taken for questioning by the...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

    Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa. Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki Wanakutana Arusha Katika Mkutano Unaojadili Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Chakula

    Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana Jijini Arusha hivi punde katika mkutano Mkuu unaojadili mabadiliko ya tabia ya Nchi na Chakula. -- Rais Samia azungumzia baadhi ya vipaumbele vya Tanzania aliposhiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  4. Morogoro kaskazini

    JamiiForums Tanzania Wakuu matumizi ya addition assignment (+=) Kwenye JavaScript animation Huwa ni Nini?

    Jamani naomba msaada WA matumizi ya addition assignment kwenye JavaScript animation
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu Tanzania wanafanya kazi nzuri sana wapongezwe, waombewe kwa Mungu

    Ni dhahiri na ukweli usiopingika, Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalamaTZ, na safu yake nzima ya viongozi serikalini. Wanaiongoza nchi kwa umahiri mkubwa, uwazi sana, weledi wa viwango, upendo, bidii na mapenzi ya dhati sana. Mipango yao inachochea...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watoto wa viongozi wakuu wa nchi walipwe ili kuwatia moyo

    WATOTO WA VIONGOZI WAKUU WA NCHI WALIPWE ILI KUWATIA MOYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimefurahi muswada wa kuwalipa wenza wa viongozi wa nchi. Ni uzalendo wa hali ya juu sana. Hii itachochea maendeleo makubwa ya nchi. Lakini ninaishauri pia serikali, isiishie tuu hapo iende mbali...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwenye pikipiki aina ya TVS, tatizo la kutochaji battery linasababishwa na nini?

    Wakuu habarini naomba msaada kujua hivi pikipiki Tvs tatizo la kuocharge battery linasababishwa na nn na nn tiba yake mana nimenunua makolokolo meng
  8. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nikipataga seat kwenye mwendokasi huwaga najiona kama nimefanikiwa kimaisha vile wakuu

    Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha. Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  10. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Hivi nifenyeje ili nipate mood ya kusoma kwa bidii?

    Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa. Naomba ushauri wenu nifenyeje
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, kuna mtu anaweza kuniangalizia namba ya NIDA?

    Habari zenu, nimekwama nahitaji kuangalia namba ya NIDA ya binti yangu, ila nikiingia kwenye wrbsite ya NIDA naingiza taarifa vzur inagoma! Mwenye uwezo wa kunisaidia wakuu🙏
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mtaji wa milioni 200 nataka kufanya biashara ya kuuza magari

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
  13. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kweli kua uyaone! Natamani nirudishe siku nyuma nirekebishe nilipokosea ila siwezi

    Nilipo angalia majibu yangu ya kidato cha nne nililia sana nilipoona nimepata 4 kumbe kilio kile niliona mbali sana wakuu. Maisha yananichapa vibaya sana kulala njaa kwangu imekuwa jambo la kawaida. Inafika hatua naeanda kwenye mihangaiko wiki nzima siambulii chochote daah 😠. Natamani...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  16. Objective football

    JamiiForums Tanzania Sikia tu kwa mtu wakuu hichi kichapo cha goli 5 sijui tumeteleza wapi

    Hali ni mbaya wakuu natamani kudanja, mkiona sipo hewani mjue either ni simu imezima au mimi nimezima kabisa tumekubali 5 kwelii kwa hawa wakulima wa nyanya.
  17. BB_DANGOTE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia ya kufungua account ya forex bila ya kitambulisho cha mpiga kura

    Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu mnisaidie experience zenu katika biashara hii.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  19. SHANTI

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Waziri Mkenda umechemka, acha kutumia vibaya cheo chako kwa nidhamu ya woga

    Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. : 1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
  20. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Viongozi wakuu wa Nchi kwa Vyombo vya kiuchunguzi

    Habari za asubuhi wadau. Kuna jambo naona Viongozi wetu wa kitaifa wanapoaamua kufanya maamuzi kwa mambo ya kitaifa juu ya wizi na ufisadi kwa Halmashauri Fulani isiishie kuwa timua tu watumishi wa Halmashauri Bali hata watumishi wa vyombo vya uchunguzi maana ni watu wameishi pamoja na hao...
Back
Top Bottom