wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

    Wakuu leo naandika nikiwa na mawazo mengi sana. Mara nyingi nimekuwa nikileta nyuzi za masuala ya kitaifa ila leo huu uzi ni wa ishu yangu binafsi. Mimi kada mtiifu wa CCM kwa sasa kuna mambo nimeshindwa kuelewa kabisa kwa huyu mwanamke ambaye nimetangaza nia ya kumuoa. Nataka ushauri wenu...
  2. Nuru kids

    JamiiForums Tanzania Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
  3. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Sijapendezwa na uzinduzi wa jezi za Simba kuwekwa majina ya viongozi

    Ni jambo la kushangaza kwa kile kilichofanyika na club ya simba kuchanganya mpira na siasa Nilipendezwa na wazo la club ya simba kutambulisha jezi yao kwenye mlima mkubwa zaidi Afrika hivyo kufanya kuwa kivutio kikubwa kinachotambulika dunia nzima niliona ni jambo jema Leo mida ya asubuhi...
  4. ElsaAnna

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi

    Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Madini yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na Nchi za Afrika

    #Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ufadhiliwe na Benki ya dunia?

    Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani. Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao? Are we...
  7. Umuzukuru

    JamiiForums Tanzania Naombeni maoni na mapendekezo yako kuhusu hii beat

    Nisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada. Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk. Karibuni.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania CCM ina udhaifu wa kupata viongozi wakuu wa nchi, Sasa nchi imeuzwa!

    Hadithi mitaani ni kwamba kumbe hata Ngorongoro ilikuwa ni dili la mwarabu! Misitu MWarabu! kila kitu sasa ni mwarabu. Ni maamuzi ya rais Samia. Tuliamini ni rais mwema, CCM iliamini ina kiongozi wa Tz. Zipo hadithi tofauti juu ya samia kuingia ktk siasa. Yeye mwenyewe alieleza safari yake kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Marekani ya kutengeneza semiconductors waitaka serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China

    17 July 2023, Washington Umoja wa makampuni ya kutengeneza semiconductor (chips) nchini Marekani US-based Semiconductor Industry Association (SIA), umeitaka serikali ya Biden kuondoa vikwazo ilivyoiwekea China katika kuiuzia baadhi ya semiconductors na katazo la kutoruhusu makampuni ya...
  10. Zee la Masonko

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai: Wakuu wa Mikoa/Wilaya wanatumia vibaya mamlaka ya kukamata na kuweka watu maabusu, waondolewe hayo mamlaka

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amebainisha kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanalalamikiwa kutumia vibaya madaraka yao ya kukamata na kuwaweka wananchi maabusu kwa mujibu wa Kifungu cha 7 na 15 cha Sheria ya Tawala za...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

    wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu. Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi...
  13. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anasalitiwa?

    Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye. Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais Tinubu awafuta kazi viongozi Wakuu wa Taasisi za Usalama

    Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya Kwa muda mrefu Nigeria imekabiliana na wimbi la mashambulizi yanayosababishwa na makundi ya Jihadi na Magenge ya...
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Halima Dendego ni moja ya Wakuu wa Mikoa mizigo

    Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe. Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachotokea kwa viongozi wakuu wa CWT (M/Kiti na Katibu wake) ni UONEVU wa waziwazi

    Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya. Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais! Kama kweli...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Habari za leo wakuu. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi. Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker. Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine. Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's...
  18. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais ateua Makatibu Wakuu Watatu na Mkurugenzi Mkuu wa TANROADS

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao:- i) Amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS). ii) Amemteua...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu nielewesheni kuhusu kubadilisha Tahasusi

    Mwanangu kasoma masomo ya sayansi na yote kafaulu kapata c 3 ya math, phizikia, kemia na biolojia kapata B lengo alitaka kuwa injinia au daktari Sasa wamemchagua hkl nifanyeje wakuu maana analia tuu hajafurahia
  20. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wakuu

    Hello getlemen and ladies i'm coming ti you once again for another request but this mostly for only mind girl mostly beutiful girl but even there man or boys who love mteremko it si fine na problem Nakuja kwenu nahitaji mke wowote yuke imradi mke even malaya tutajuana mbele kwa mbele haina...
Back
Top Bottom