Mmojawapo wa wakuu wa HAMAS auawa kwenye shambulio la bomu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Gaza inaendelea kusambaratishwa huku HAMAS wakiliwa, kuna huyu Mohammed Abu Shamala kawahishwa kule kwa mabikira.....

Israel attacks elite Hamas unit in Gaza, killing top-ranking officer

The Israeli military has reported that it has attacked several operative HQs from which Hamas had organised the terrorist invasion of Israeli territory, and killed a top-ranking naval officer.
Source: The Jerusalem Post and The Times of Israel
Quote from the JP: "IDF [Israel Defence Forces - ed.] fighter jets carried out a night of airstrikes across the Gaza Strip, targeting Hamas' elite fighting unit Nokhba, which spearheaded the mass infiltration from the Strip on 7 October."
Details: The IDF also reported that it had killed Mohammed Abu Shamala, a senior Hamas naval forces official, by striking his house.
Mohammed Abu Shamala was a senior Hamas naval forces official in the southern part of Gaza.
His home was also used to store naval armaments, which might have been used for the attack on the State of Israel.
 
Kujisemea tu na ku-copy copy kutoka propaganda za pravda.com.au!!

Wewe unajua who was the brains behind this brilliant excuted oparation ambayo ina defy hata mega smart war planners Duniani, kusema kweli ni MK-254 pekee ambaye anaona operation hii si lolote si chochote ie kwake ni jambo la kawaida tu - kuuwawa WISRAEL 1500 na kujeruhiwa zaidi ya 3000 kwa mpigo ni jambo la kawaida kweli??
 
Heheh sheikh Pole kwa hii misiba, kuna yule mkuu wenu bomu lilipigwa juzi na kuua mwanaye, raundi mligusa pabaya...takbir.
Nasubiri nione kesho mkiandamana na mikanzu yenu.
 
Huu mtindo wa mauaji"Targeted Killing" ulitumiwa sana na Kikosi vya Anga cha Israeli miaka ya nyuma kuwaondoa hawa viongozi wa wavaa vipedo na makobazi.Ismail Haniya kiongozi wa sasa wa Hamas,kabla yake walishauwawa viongozi wenzake wengi,akiwemo muanzilishi wa kikundi cha kigaidi cha Hamas,Ahmed Yassin."Targeted Killing "imemfanya Kiongozi mwingine wa kikundi cha kigaidi huko Lebanon,Hezbollah , Hassan Nasrallah,aishi kwenye mashimo kama Nguruwe pori kuogopa kuuwawa na vikosi vya Israeli 🤔
 
Gaza inaendelea kusambaratishwa huku HAMAS wakiliwa, kuna huyu Mohammed Abu Shamala kawahishwa kule kwa mabikira.....

Israel attacks elite Hamas unit in Gaza, killing top-ranking officer

The Israeli military has reported that it has attacked several operative HQs from which Hamas had organised the terrorist invasion of Israeli territory, and killed a top-ranking naval officer.
Source: The Jerusalem Post and The Times of Israel
Quote from the JP: "IDF [Israel Defence Forces - ed.] fighter jets carried out a night of airstrikes across the Gaza Strip, targeting Hamas' elite fighting unit Nokhba, which spearheaded the mass infiltration from the Strip on 7 October."
Details: The IDF also reported that it had killed Mohammed Abu Shamala, a senior Hamas naval forces official, by striking his house.
Mohammed Abu Shamala was a senior Hamas naval forces official in the southern part of Gaza.
His home was also used to store naval armaments, which might have been used for the attack on the State of Israel.

Vipi hajauwawa mwingine? Na ule upande mwingine wao hafi mtu?

IMG_20231210_205810.jpg
 
Kwenye kumfurusha mmarekani Vietnam walikufa wangapi?

Mnatumia nguvu nyingi sana kutetea haya magaidi yenu mpaka mnakosa mantiki.
Marekani aliacha nchi yake akaenda kilomita zaidi ya 13,000 kwenda kupambana na watu kwenye nchi yao.
Lakini hili lenu mnataka mfute jamii ya Wayahudi muwapeleke baharini, sasa tatizo wao wana nguvu kuwazidi nyie, Mungu wao ana nguvu kuliko 'miungu' yenu, maana mnakufa na kuendelea kufa, kila mkijaribu huwa mnakufa sana.

Na hii iwaingie masheikh wote, haitokuja siku mfute jamii ya Wayahudi, hicho kitabu chenu kiliwachonganisha pale kimeandikwa muue Wayahudi, mtaishia kufa nyie, someni historia ya jamii ya Wayahudi, hata mtume wenu alijaribu kuwaua ila akaishia kufa yeye.....

Hili andiko linaishia kuwachonganisha bure
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Kumbe wakenya wangapi walikufa kwenye Mau Mau?

Mau Mau rebellion - Wikipedia

Kulikuwa na ulazima huo?
 
Muingereza aliacha nchi yake akaenda kilomita zaidi ya 10,095.73 kwenda kupambana na MAUMAU kwenye nchi yao.

Dunia yote ni Mungu. Mungu hakuweka mipaka ya nchi Wala bara. Kwa hiyo Mau Mau dhidi ya mkoloni ilikuwa sawa kwa sababu mkenya ni mtu zaidi?
 
Mungu hakuweka mipaka ila binadamu tulijiwekea mipaka na ndio maana unajiita Mtanzania, maana mzungu kabla hajaondoka, alikuwekea mpaka na kukuamrisha ujiite Mtanganyika na ubaki ndani ya huo mpaka, na kweli umetii hadi leo.

Kwa hiyo kufa mkenya akiipigania mipaka yake sawa ila mwingine ni ujinga?
 
Mkenya alikufa akipambania ardhi na kumfukuza mzungu aliyetoka kilomita zaidi ya 10,000 kuja kupambania ardhi ya Wakenya, na kwa hakika alishinda hadi mzungu akarudi kwao.

Hata mpalestina anakufa anapigania ardhi yake aakiungwa mkono na dunia:

IMG_20231211_073312.jpg
 
View attachment 2839169

Mnatumia nguvu nyingi sana kutetea haya magaidi yenu mpaka mnakosa mantiki.

Hapo mahali pamezikwa mababu za Wayahudi hata kabla ujio wa Waarabu, hata kabla uislamu haujabuniwa na muarabu yule, yeyote anayepahitaji lazima akubali kuishi na Wayahudi kwa amani.

Hata mababu wa wapalestina wamezikwa hapo:

IMG_20231211_073312.jpg
 
Hamas kamatieni hapo hapo
Bado mupo kwenye njia sahihi wapigania uhuru
Nawapenda uhuru tupo pamoja nanyie Muumba atazidi kuwasaidia
 
Mnatumia nguvu nyingi sana kutetea haya magaidi yenu mpaka mnakosa mantiki.

Hapo mahali pamezikwa mababu za Wayahudi hata kabla ujio wa Waarabu, hata kabla uislamu haujabuniwa na muarabu yule, yeyote anayepahitaji lazima akubali kuishi na Wayahudi kwa amani.
Israel ni nchi ya Israel tangu enzi za Nabii Ibrahim!
Tambueni huu ukweli enyi viumbe mnaoongea kwa mihemko bila tafiti!
 
Back
Top Bottom