Wakuu,ivi unapohisi umekuwa exposed kwenye mazingira au umefanya sex na mtu ukahisi ana HIV, kisha ukaanza LTD (pep) within 72 hrs. Lakn badae ukagundua ulie sex nae Hana HIV ila Ilikuwa ni hofu tu, je pep TLD inaweza kuwa na madhara yepi?
I'm stressed, issue ipo hivi juzi Christmas mida ya saa tatu usiku, Kuna mrembo aliingia room kwangu kama kawaida si mnajua ujana huu nikapiga show fresh mtoto akarudi kwako.
Sasa Jana mida ya jioni napata taarifa kuwa yule demu yupo kwenye dose ya Arv inshort she is HIV positive, nirivurugwa...
Haya ukisoma tu hii Thread yangu GENTAMYCINE kama Wewe ni mpenda Ushirikiano basi Karoge sana na kama ni muamini Mungu kama Mimi basi nakuombea ufanye mno Dua kwani muda wowote nimeoteshwa na Mizimu yangu Mikali ya Kizanaki ( Mara ) na Kiyao ( Mtwara ) kuwa kuna reshuffle kwa Mawaziri na Wakuu...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga.
Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa...
jf ni kisima cha maarifa , hapa kuna wadau wa kila aina.
napanda tena jukwaani ,nikiomba ushauri kwa ajili yangu na kwa wengine pia.
ndoto yangu ya kuzitumikia UN AGENCIES mfano UNDP,FAO,IFAD,WFP NK pamoja na serikali kuu bado haijafa. nina bachelor ya uchumi na mbeleni nataka nianze na...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea mchango wa Walimu Wakuu wa shule za Sekondari nchini kwaajili ya waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope na mawe kutoka mlima Hanang uliowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed...
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka interface hapa kurahisisha.
Kwa ambaye amefanya hii kitu akafanikiwa please help
Link ni...
Habari ya muda huu,
Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.
Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
Nina Google Pixel 4XL inanisumbua, sometimes inazima yenyewe ukiiwasha inaleta ujumbe "problem reading battery meter". Kwa mwenye experience na shida hiyo suluhisho lake ni lipi naomba kujuzwa 🙏🙏
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.
Wenye nguvu ndani...
Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi
wake wa kike. Mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya...
Nina umri wa miaka 24 ni Mwanachuo lakin nimeweza kuahirisha mwaka kutokana na Hali ya kiuchumi kuwa hairuhusu kuendelea naomba mwenye connection ya kazi yoyote WAKUU ya kuingiza kipato ANISAIDIE hata Kama no wewe mwenyewe utaona ninafaaa sawa kunipa kazi hata Kama no part time.
Nilikuwa...
Nina shida na window ambayo haina shida Maana nahangaikia Window mwezi wasita huu.
Jana kuna Window nimepata ila nikiconnect wifi PC inajizima, pia kila software nayo download inagoma kufunguka au inaweza kufunguka ila ukizima.
PC ukiwasha ishaliwa yaani Nimateso na Antivirus nikifunga bado...
Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa 23 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki. Kauli Mbiu ya Mkutano huo ni "Kuharakisha ufufuaji wa uchumi kupitia hatua za hali ya hewa na kuimarisha usalama wa chakula kwa ajili ya kuboresha maisha"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.