Leo napenda kuvipongeza vyombo vyetu vya usalama na wakuu wa inchi na sisi raia

dump

JF-Expert Member
Mar 23, 2020
588
858
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, nimekaa Congo drc nimeona mengi kuhusu usalama.

Inchi ya Congo usalama ni ziro kabisa, Wanajeshi na police ni majambazi, wanatembea mtaani na bunduki za kivita kabisa mpaka baa wanaingia na siraha.

Ni kama hakuna serikali kabisa,kila siku matukio ya watu ku uwana hovyo,watu wote wana penda rushwa sana ukiwa na hela unaweza kuabudiwa.

Muda wowote tu kina nuka,pia ni wabaguzi wa waziwazi kabisa,usalama kwao sio kipao mbele.

Wana jeshi, police na watumishi wengine wanalipwa pesa kidogo sana,wana jeshi na police wakiomba kuongezewa masilahi,wana ambiwa wewe tumekupa bunduki na risasi unaomba kuongezewa pesa una akili kweri.

Nawapongeza viongozi wetu wangazi ya rais,vyombo vya usalama,na sisi raia tujipongeze kwa kutii sheria bila shuruti.

Kwa mda nilio ishi huko nimejifunza mambo mengi sana, zaidi usalama ni mhimu sana tufanye kila kitu, lakini kila mtu kwa nafasi yake tudumishe amani na usalama.

Usalama ukikosekana kila kitu kina halibika kabisa, semahani kwa mwandiko wangu mbovu kwa sasa nipo tz najisikia vyema, tofauti na nilivyo kua inchi ya watu mimi sio mwandishi mzuri.
 
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, nimekaa Congo drc nimeona mengi kuhusu usalama.

Inchi ya Congo usalama ni ziro kabisa,wana jeshi na police ni majambazi,wanatembea mtaani na bunduki za kivita kabisa mpaka baa wanaingia na siraha...
Umenena kwa ukweli haswa katika ulimwengu huu tunaoishi amani ndio kila kitu na mambo yote ya kimaisha yanafanyika vizuri kwa sababu tuna amani kwa hiyo tuilinde tunu yetu ya amani ili tufurahie maisha
 
Back
Top Bottom