wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Examination Officer written interview

    Wakuu habari ya leo, Naomba kupata muangaza kidogo katika written interview za examination officer aina ya maswali yanayoulizwa.
  2. Mademoiselle

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wakuu

    Igweee... Jamani ni wapi naweza pata hii nguo kwa hapa Tanzania? Very urgent need...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwa na mahusiano lakini mabinti wanakataa kabisa. Nifanye nini?

    Toka primary, secondary, advance na hivi sasa chuo kikuu. Sijawi kuwa na mpenzi na hata marafiki wa kike na kutana na tu kwenye academic field only. Napata changamoto sana mana Kila binti nae mu approach anakataa na Wengine Wanasema wapo kwenye mahusiano Tayari. Nimejaribu kumuuliza moja ya...
  4. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...? Civics D History D Geography C Kiswahili C English D Physics F Chemistry D Biology C Mathematics F Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie huyu binti kwa ushauri kulingana na matokeo yake kidato cha nne

    Wakuu tumsaidie huyu dogo mana nimekosa Cha kumshauri kwa Sasa, Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka Huyu binti kapata Division Four ya 30. Civics D Kiswahili D History D Geography D Biology C Masomo mengine kapata F Je, sehemu ipi Inamfaa huyu binti?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji washirika

    Habari wakuu. Kijana mwenzenu nimefungua chuo na nimekiendesha kwa miaka kadhaa sasa. Nahitaji washirika wa kusaidiana kupata wanafunzi kwa mkataba maalum wenye manufaa kwa pande zote. Chuo kipo arusha kina mazingira mazuri mno kimesajiliwa na kilakitu kipo sawa. Dm for more information
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Albert Chalamila: Usafi wa Wanajeshi hautoathiri maandamano ya CHADEMA

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema usafi uliopangwa kufanyika hautaathiri maandamano yaliyopangwa kufanywa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Januari 24 iwapo watakuwa na kibali cha kufanya hivyo. Chalamila ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Januari 22, Jijini Dar...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi CCM huwapa nini Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na kupelekea wao kukaa kimya hata pasipobidi?

    Hilo ndilo swali huwa najiuliza siku zote. Wazi huwa yapo mambo mengi ambayo kwa macho ya kawaida kabisa, huhitaji Vyombo vya Dola viikemee Serikali inayoongozwa na CCM kwa kuhatarisha usalama wa Taifa. Ajabu wala hawajishughulishi! Mbaya zaidi, CCM hutumia sababu ya machafuko kama silaha ya...
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hadi leo sielewi shida ni nini, mimi binafsi siwezi na sidhani kama nitakuja kuweza kufanya ngono na mwanamke asiye wangu!

    Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu hapa JF lakini pengine yawezekana ndivyo nilivyo! Tangu nimekuwa mtu mzima huwa sitamani mwanamke...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wakuu jimbo liko wazi kwa Zuchu

    Kama haufagilii mizigo mikubwa mikubwa ya Sheikh Kipozeo unapenda wastani basi mali hii hapa imerudi sokoni wakuu.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuunganishwa ajira. Nina shahada ya ualimu (Hesabu & IT)

    Wakuu, nina degree ya ualimu (kwa masomo ya MATHS & IT). Nimehangaika sana angalau kupata sehemu napoweza kupiga kibarua nipate chochote kitu ila wapi! Naomba kama kuna mtu anaweza kuniunganisha au kunisaidia kupata job afanye hivyo tafadhali. Natanguliza shukrani.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii ni positive au negative

    wakuuu msaada apo ni positive au negative.........three weeks before nilipima hospital nikaambiwa nipo fresh kabisa yaan negative
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipo safi au ni nini hii?

  14. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  15. HB.com

    JamiiForums Tanzania Wakuu Hivi injini ya pikipiki inapakwa rangi?

    Jamani msaada, nina ka TVS kangu kamechakaa sana je naweza nikakapaka rangi na ni rangi gani nzuri? Nataka nipake sehemu zote injini hadi chassis
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Wakuu mawazo na msaada wenu kuhusu Chango!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda! Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu. Hospitali tushanunua dawa...
  17. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Siku ya leo kwangu imekuwa siku mbaya sana kwasababu mimi huwa nina huruma sana na huwa naguswa na matatizo ya watu wengine wanayopitia!. Leo nilikuwa nimeenda Hospitali moja pale Sinza,nilimpelekea Dada mmoja hivyo ikabidi nipaki nje kumsubiri!, Sasa...
  18. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Nani mwingine amegundua leo wote profile picture zetu zinafanana?

    Wakuu Leo nimegundua kitu mbali na hizi fataki za mwaka Mpya hapa jukwaani JF,Ni Nani mwingine amegundua leo wote profile picture zetu zinafanana? Happy New Year 2024 n More Blessings to ya'll.
  19. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kununua kiwanja naomba kujua ni hatua zipi za kufuat wakuu

    kwema wakuu, Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani. Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda kukamilisha hii ndoto yangu maana naogopa kutapeliwa wakuu
  20. pentoxide

    JamiiForums Tanzania Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

    Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
Back
Top Bottom