Msaada katika ku-confirm kozi kati ya programu hizi

The thinker27

Senior Member
Sep 15, 2023
123
131
Habari zenu wakuu,

Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.

Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu soko katika ajira au kujiajiri, ikiwezekana na kuja kuwa nani endapo ntasoma katika kozi yoyote hapo juu, naomba kuwasilisha maana ushauri ni muhimu pia kwa kijana wenu.
 
Ni B. Sc In Agriculture General and not in Agriculture in General. Hiyo ulioyoandika wewe haipo kabisa hapo SUA iliyopo ni hiyo ambayo nimukuandikia hapo
 
Habari zenu wakuu,

Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.

Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu soko katika ajira au kujiajiri, ikiwezekana na kuja kuwa nani endapo ntasoma katika kozi yoyote hapo juu, naomba kuwasilisha maana ushauri ni muhimu pia kwa kijana wenu.
Kama unapenda kilimo nenda na hiyo ya sua.. ni nzuri kwenye kujiajiri
 
Habari zenu wakuu,

Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST.

Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu soko katika ajira au kujiajiri, ikiwezekana na kuja kuwa nani endapo ntasoma katika kozi yoyote hapo juu, naomba kuwasilisha maana ushauri ni muhimu pia kwa kijana wenu.
Kasome agriculture general kwa kuwa
1.Ni rahisi kujiajiri kwa maana ya kufanya shughuli za kilimo, kuanzisha duka la pembejeo za kilimo.

2.Ina uwanja mpana wa ajira kwa mfano serikalini, kwenye miradi ya kilimo kwenye NGOs local na za kimataifa, unaweza fanya kazi benki upande wa afisa mikopo ya kilimo.

Chaguo la pili kasome
Bsc in Laboratory Science and Technology
kwa kuwa unaweza ajiriwa kama mtu wa maabara kwenye hospital, unaweza kujiajiri kwa kufungua maabara yako binafsi, unaweza ajiriwa kwenye miradi ya afya kwenye local na intl NGOs.
Sikushauri kabisa ukasome
Bsc in Environmental health science
Kwa kuwa ina uwanja finyu wa kupata ajira na hata kujiajiri pia

Kwa kozi ya kwanza na ya pili while unasoma tafuta somewhere ujiattach pia kufanya vijikazi ili upate uzoefu, usitafute malipo bali tafuta uzoefu. Komaa kupata GPA nzuri as pia unaweza kuacha kabisaa kufanya kazi za ulichosomea instead ukafanya kazi kama za auditing, business consulting, data analytics provided una uwezo mzuri kwenye analysis, mathematics, communication skills n.k. Hapo namaanisha ukipata GPA kali kajaribu bahati yako pia kwenye big 4 auditing firms if unataka kubadilisha fani as wao huwa wanaangalia if unaweza kuwa trained very quick na ukafanya kazi zao. Kingine unaweza bakia as Tutorial Assistant pia hapo chuoni so komaa na GPA na kupata other soft skills.
 
Kasome agriculture general kwa kuwa
1.Ni rahisi kujiajiri kwa maana ya kufanya shughuli za kilimo, kuanzisha duka la pembejeo za kilimo.

2.Ina uwanja mpana wa ajira kwa mfano serikalini, kwenye miradi ya kilimo kwenye NGOs local na za kimataifa, unaweza fanya kazi benki upande wa afisa mikopo ya kilimo.

Chaguo la pili kasome

Sikushauri kabisa ukasome

Kwa kuwa ina uwanja finyu wa kupata ajira na hata kujiajiri pia

Kwa kozi ya kwanza na ya pili while unasoma tafuta somewhere ujiattach pia kufanya vijikazi ili upate uzoefu, usitafute malipo bali tafuta uzoefu. Komaa kupata GPA nzuri as pia unaweza kuacha kabisaa kufanya kazi za ulichosomea instead ukafanya kazi kama za auditing, business consulting, data analytics provided una uwezo mzuri kwenye analysis, mathematics, communication skills n.k. Hapo namaanisha ukipata GPA kali kajaribu bahati yako pia kwenye big 4 auditing firms if unataka kubadilisha fani as wao huwa wanaangalia if unaweza kuwa trained very quick na ukafanya kazi zao. Kingine unaweza bakia as Tutorial Asistant pia hapo chuoni so komaa na GPA na kupata other soft skills.

Nashukuru sana mkuu kwa uushauri mzuri hakika watu kama nyinyi ndiyo mnahitajika humu JF
 
Acha mengine somea utajiri na ujanja Agric General ndio baba lao dadeki, tunapiga maisha kama hatuna akili, nimeajiri vijana wa Agric General wanakula maisha
 
Back
Top Bottom